Mama Magufuli aaga rasmi shule ya Mbuyuni

Mama Magufuli aaga rasmi shule ya Mbuyuni

Huyu mama angesemwa na Jk angekua kazin mpaka mwaka mmewe anaukwaa urais!?

Yeye kamsema mke wa mwenzie kisa mke wa waziri . Daaaaaaaa
 
Kuna jamaaa haajuagi shughuli za kinamama au kujali mwaliko hata kitchen part anang'ang'ania kuingia...Mr.Misifa au Zero thinker au Mdogo nepi
Inamaana walikuwa wote unataka kuniambia!!!!
 
Mama yetu,, First lady Ameyasema hayo pindi alipoitembelea shule ya Msingi mbuyuni kuwaaga wanafunzi wake na walimu wenzake.. ameahidi atamkumbusha Mh Rais changamoto za walimu kwani zinafanana nchi nzima.Na anazifahamu..
Viva Mama yetu, Walimu tupo Nyuma yako usituangushe...
 
Back
Top Bottom