Siyo tu kufundisha, bali pia amesoma katika shule hiyo kuanzia darasa la kwanza hadi la saba. Ana historia ndefu katika shule hiyo, maana pia kafundisha hapo kwa miaka 17!...
Nadhani kupitia u-first lady wake shule hii inahitaji ulezi wake na hili likimaanisha sapoti ya kutosha ya kufanya lobby kwa wadau wa maendelesho ili waweze kuchangia kwa hali na mali iwe juu kimasoma!.

Hao watoto walio na smartphone ni watoto wa Kiislamu(ANGALIA MAVAZI YAO).Waislamu ni wakali kwa kushinikiza mambo.Angalia hata walivyoshinikiza hiyo uniform ya shule wavae kihijabu tofauti na wanafunzi wengine.Watakuwa wameshinikiza kuwa watoto wao lazima wawe na smartphone shuleni.Mwalimu atafanyeje? Na viboko vilishafutwa mashuleni?
Shuleni wakristo wengi hawataki watoto wao waende shule na simu ili wa concentrate kwenye masomo.Hilo la simu ni jipu ambalo waislamu wenyewe ndio wanatakiwa walitumbue.
sioni shida hao Watoto kuwa na simu. Sisi watanzania bana yani mwanafunzi eti hadi afaulu lazima asome kwa shida mazingira magu yani ni kama sifa flan hiv. Utakuta wengine wanajisifu nilisoma hadi nikakonda na nikafaulu. Ndio maana hamna innovation. Kwa wenzetu wanafunz wanasoma kwa anasa na bado wanaelimika
Samahani- ndio kwanza naiona hii translation....Tusaidiane fasili muafaka ya FIRST LADY....je aitwe "Mama Namba Moja"....au "Mama wa Kwanza" ..... Ni ufahamisho tu!
Hao watoto walio na smartphone ni watoto wa Kiislamu(ANGALIA MAVAZI YAO).Waislamu ni wakali kwa kushinikiza mambo.Angalia hata walivyoshinikiza hiyo uniform ya shule wavae kihijabu tofauti na wanafunzi wengine.Watakuwa wameshinikiza kuwa watoto wao lazima wawe na smartphone shuleni.Mwalimu atafanyeje? Na viboko vilishafutwa mashuleni?
Shuleni wakristo wengi hawataki watoto wao waende shule na simu ili wa concentrate kwenye masomo.Hilo la simu ni jipu ambalo waislamu wenyewe ndio wanatakiwa walitumbue.
Hao watoto walio na smartphone ni watoto wa Kiislamu(ANGALIA MAVAZI YAO).Waislamu ni wakali kwa kushinikiza mambo.Angalia hata walivyoshinikiza hiyo uniform ya shule wavae kihijabu tofauti na wanafunzi wengine.Watakuwa wameshinikiza kuwa watoto wao lazima wawe na smartphone shuleni.Mwalimu atafanyeje? Na viboko vilishafutwa mashuleni?
Shuleni wakristo wengi hawataki watoto wao waende shule na simu ili wa concentrate kwenye masomo.Hilo la simu ni jipu ambalo waislamu wenyewe ndio wanatakiwa walitumbue.
sioni shida hao Watoto kuwa na simu. Sisi watanzania bana yani mwanafunzi eti hadi afaulu lazima asome kwa shida mazingira magu yani ni kama sifa flan hiv. Utakuta wengine wanajisifu nilisoma hadi nikakonda na nikafaulu. Ndio maana hamna innovation. Kwa wenzetu wanafunz wanasoma kwa anasa na bado wanaelimika
Nadhani kupitia u-first lady wake shule hii inahitaji ulezi wake na hili likimaanisha sapoti ya kutosha ya kufanya lobby kwa wadau wa maendelesho ili waweze kuchangia kwa hali na mali iwe juu kimasoma!.
LEO Feb 17 2016, Mke wa Rais John Pombe Magufuli Janeth Magufuli amewasili katika shule ya msingi Mbuyuni, Dar kwa ajili ya kuagana na walimu wenzake pamoja na wanafunzi aliokuwa akiwafundisha
Shule ya Msingi Mbuyuni ni shule ambayo Mama Magufuli alisoma kuanzia darasa la kwanza na baadaye mwaka 1995 kurudi tena kufundisha hapohapo kwa miaka 17 hadi mumewe Rais Magufuli alipochaguliwa kuwa Rais wa Tanzania.
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akipokea zawadi ya saa toka kwa mwalimu Mkuu wa shule ya Msingi ya Mbuyuni, Mwalimu Dorothy Mwalecela , Oysterbay, jijini Dar es salaam wakati wa sherehe fupi ya kuwaaga rasmi walimu wenzake na wanafunzi wa shule hiyo
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akisikiliza risala toka kwa mwanafunzi wa shule ya Msingi ya Mbuyuni Oysterbay, jijini Dar es salaam wakati wa sherehe fupi ya kuwaaga rasmi walimu wenzake na wanafunzi wa shule hiyo
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akipokea zawadi toka kwa Afisa Elimu wa Wilaya ya Kinondoni katika Shule ya msingi ya Mbuyuni Oysterbay, jijini Dar es salaam wakati wa sherehe fupi ya kuwaaga rasmi walimu wenzake na wanafunzi wa shule hiyo
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akisikiliza maelezo ya utangulizi ya mwalimu Mkuu wa shule ya Msingi ya Mbuyuni, Mwalimu Dorothy Mwalecela , Oysterbay, jijini Dar es salaam wakati wa
sherehe fupi ya kuwaaga rasmi walimu wenzake na wanafunzi wa shule hiyo
Chanzo : Swahiba Media
Nadhani kupitia u-first lady wake shule hii inahitaji ulezi wake na hili likimaanisha sapoti ya kutosha ya kufanya lobby kwa wadau wa maendelesho ili waweze kuchangia kwa hali na mali iwe juu kimasoma!.
Hyo pc ya wtt kuwa na smartphone wtt wa primary? Asee wametisha, ila kwa mtazamo wangu hyo ni dalili mbaya ya malezi, maana itapelekea mtt kuwa buzy kwnye mtando na kujifunza yasiyo zaidi ya masomo..
1.Nyerere na Maria NYERERE wote walikuwa walimu wakaingia IKulu
2.Mwinyi alikuwa mwalimu na mkuu wa chuo cha ualimu Zanzibar na mkewe alikuwa mwalimu chuo cha Lugha ZA kigeni Zanzibar wakaingia ikulu
3.Kikwete alikuwa mwalimu wa Siasa JESHINI NA mkewe Salma alikuwa mwalimu wakaingia Ikulu
4.Magufuli alikuwa Mwalimu na mkewe MWALIMU wameingia ikulu
Katika maraisi watano wa nchi hii wanne wote walikuwa walimu.Walimu wana nyota ya IKULU.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.