Mama kibosile 'ananitega' kazini

Mama kibosile 'ananitega' kazini

Wadau kuna jamaa yangu kakutana na mmama mtu mzima huko kunako ofisi. Huyu mmama inaelekea hapewi sawasawa ile haki ya 6*6 huko nyumbani muda wote ni km ana full miwasho huko chini na akikutana na jamaa kazini inakuwa majaribu tupu.

Mama ni kibosile fulani wkt jamaa ndo kwanza kaanza kazi. Jamaa anadai akikutana na maza basi ni full mitego. Kikubwa inaelekea huyo maza anataka kukunwa kule "pahala".

Kwa jamaa yangu huu ni mtihani mkubwa kifupi yupo njiapanda hajui afanyw nini, je ampe maza mambo au la? Lakini hajui km akimpa akanogewa itakuwaje kwa saabu jamaa naye ana maisha yake huko kitaa. Je maza akinogewa akadai waendelee itakuwaje?

Kaniomba ushauri nimeona ni ishu ya ajabu kidogo ni km ndo kwanza naisikia kiuhalisia hivi. Wadau ushauri jamaa amalize au aendelee kumpotezea maza?
NI dhambi hasimguse kabla hawajaoana ni dhambi sanaaa....mwambie aache afu ni kama mama yake hyo🙂🙂🙂🙂🙂
 
MIMI NINGEMLA

ILA NINGEMWAMBIA TUKATEST KWANZA HIV NA MPIRA UNGEHUSIKA.


ANGEKITULIZA
 
Hyo ana tofauti na mama ake bana..amkaushie
 
Akigusa tu kaenda na maji, hao wamama watu wazima sio watu wa mchezo mchezo wanakuganda kama yule mdudu anaitwa luba achana nao kbs
 
HAYUKO SERIOUS, TUNATAKA HAPA ULETE UZI "NIMEMTAFUNA KIBOSILE KANIGANDA NIFANYAJE!?"
NDIO TUTAKUPA USHAURI WA KIUME
 
Back
Top Bottom