Mama kibosile 'ananitega' kazini

Mama kibosile 'ananitega' kazini

Wadau kuna jamaa yangu kakutana na mmama mtu mzima huko kunako ofisi. Huyu mmama inaelekea hapewi sawasawa ile haki ya 6*6 huko nyumbani muda wote ni km ana full miwasho huko chini na akikutana na jamaa kazini inakuwa majaribu tupu.

Mama ni kibosile fulani wkt jamaa ndo kwanza kaanza kazi. Jamaa anadai akikutana na maza basi ni full mitego. Kikubwa inaelekea huyo maza anataka kukunwa kule "pahala".

Kwa jamaa yangu huu ni mtihani mkubwa kifupi yupo njiapanda hajui afanyw nini, je ampe maza mambo au la? Lakini hajui km akimpa akanogewa itakuwaje kwa saabu jamaa naye ana maisha yake huko kitaa. Je maza akinogewa akadai waendelee itakuwaje?

Kaniomba ushauri nimeona ni ishu ya ajabu kidogo ni km ndo kwanza naisikia kiuhalisia hivi. Wadau ushauri jamaa amalize au aendelee kumpotezea maza?
Wengine huwaga wana ukimwi, ajihadhari asije badae akajutia.
 
Vjana wa leo tunaonekana kama cyo wanaume kamili,huwez jihusisha kmapenz na jirani yako au m2 unayefanya nae kazi kwenye ofc moja huo ndyo mwanzo wa kuharibi kaz!
Mahusiani na jirani hayafai mkuu au sijakuelewa?
 
Mwambie..... Sumu haijaribiwi kwa kulambwa
 
Mwambie aache ujinga akapime aanze kula maisha kiulaini. Hizo fursa zinatafutwa huku. Mamaza ya dizaini hiyo akikukubali unahudumiwa kila kitu.
 
Mwambie acheze kama
Yan cheza kama ww
 
Duh!! Yeye hajielew, nawe pia vile vile sasa si atafute rafk mzur anaweza fikiria baya na zuri na kumshauri. Maana kuna siku nyote mtaoga tope
 
Mwambie aache ujinga akapime aanze kula maisha kiulaini. Hizo fursa zinatafutwa huku. Mamaza ya dizaini hiyo akikukubali unahudumiwa kila kitu.
Hawa vjana wa skuhiz yan wanacheza
Kama gol keepa wakat n player
 
Kwanza badilisha heading isomeke "Naomba Ushauri Mfanyakazi Mwenzangu Ananitaka". Huyo ni mfanyakaz mwenzio mmepishana umri.

Mamama kama hayo yanayotembea na nye.ge ukijfanya kugusa kalio kdogo tu moto lazma uwake fasta hapohapo lazma akung'ang'anie si unajua mishipa yote imepita kule chini.

Kuanzia hapo mambo yooote yanakwenda kwa mnyoooko. Haya kaz kwako kijana kumbuka usiuze mechi tumia zana utapotea mengine yanakua tayar yameungua hayo.
 
mwambie amle tuu
sema hawa huko chini unakuta hakuvutii..ma strech mark,mavitambi,sura mbovu ya papuchi na ukurutu huko chini ni baadhi tuu ya mambo yanayo kera..unless kama alikua anajua kujitunza
 
Back
Top Bottom