Mama kibosile 'ananitega' kazini

Mama kibosile 'ananitega' kazini

Daah sema simu yangu imeisha chaj ninge kupa bonge la ushauri[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] nisubiri badae
 
Maza anataka kutupunguzia nguvu kazi huyo. Kijana akumbuke tuu kutumia kinga kwani inaonekana nae tayari mama amemvutia tayari
[emoji1] [emoji1] ni kweli mkuu. au amwambie wapime kwnza ndo aanze kupiga ?
 
Vjana wa leo tunaonekana kama cyo wanaume kamili,huwez jihusisha kmapenz na jirani yako au m2 unayefanya nae kazi kwenye ofc moja huo ndyo mwanzo wa kuharibi kaz!
Mkuu jamaa yeye kafatwa tu na maza
 
Daah sema simu yangu imeisha chaj ninge kupa bonge la ushauri[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] nisubiri badae
Poa mkuu tunangoja ushaur
 
Back
Top Bottom