wazazi wote ni bora ila wanatofautiana mawazo kila mzaz ana maono tofauti.litambue hiloWengine mna bahati mbaya sana. Mungu aendelee kumbariki sana bimkubwa wangu. Sijawahi kuona mama bora kama mama yangu. Upuuzi wa kumchagulia mwanae mwenza hajapata hata kuuwaza.
Kwani mna mali kiasi gani?
mm ndo muoaji .na bimkubwa ndo kila kitu kwangu
A direct, unambiguous kind.Duuuh !! What kind of question is this
Sasa waweza kukuta binti wa watu kwao zimepaki evoques, housemaid wa 3, shopping ya vijiko ni dubai, sofa leather, home theater system ni alpine e.t.c.Sufuria tatu, vijko vikombe, sahani, shamba ekari 1, sofa, tivii, redio, vitanda, nyumba, nk
elewa lakini bimkubwa kanibeba 9mnth na kanilea hadi hapa nilipo,its my hard time
wazazi nao wanahaki ya kusikilizwa.pande za wakina nje ya box 18
ndoa za jamii za kiafrica, ni muunganiko wa familia 2 na sio watu 2 tu.
Theoretically Yes, but practically a big NO
Sasa waweza kukuta binti wa watu kwao zimepaki evoques, housemaid wa 3, shopping ya vijiko ni dubai, sofa leather, home theater system ni alpine e.t.c.
Sasa wewe na mama ako mnavyoviona mali wenzenu vinapatikana servant quarters! Zaidi zaidi unaweza kufundishwa ku hustle kijana!
Umefanya vice versa. Theoretically ndoa au mahusiano ni ya watu 2 lkn practically ni ya familia 2. Kinacjobaki cha watu 2 ni tendo lá ndoa tu.