Mama Kamkataa Mchumba Wangu

Mama Kamkataa Mchumba Wangu

sasa my sister usipomsikiliza mzazi wako utamsikiliza nan?
Mzazi yeyote mwenye busara humshauri mwanae na sio kumlazimisha afanye vile yeye atakavyo. Kuna kitu wamama wengi huwa wanashindwa kuelewa!Mtoto wa kiume akifikisha umri wa kujitegemea inamlazimu mama kumuachilia mtoto wake. Wengi wao huwa hawakubali kuwaachilia watoto wao wa kiume na kuona kwamba wana haki ya kucontrol maamuzi yao HASA KATIKA MAHUSIANO kitu ambacho sio sawa!!Nakumbuka first born wetu (mdada) alipata mchumba mchaga na wanafamilia walikuwa na negativity sana na hilo kabila na walimshauri sister asiolewe naye ila baba yangu alikuwa na busara sana, alimkalisha chini akamwambia kuwa yeye hana pingamizi na maamuzi yake ila tu awe makini maana kuna baadhi ya wachaga wana tabia fulani fulai zisizo nzuri so awe makini!!Thats what a parent should tell his son/daughet
 
Stori yako ni komedy.
sasa ndugu kama huna cha kuchangia c unapotezea kwani umelazimishwa kuandika chochote usipende malumbano yasiyo na faida kama ww ni comedian nenda kwenye jukwaa la maigizo
 
Mzazi yeyote mwenye busara humshauri mwanae na sio kumlazimisha afanye vile yeye atakavyo. Kuna kitu wamama wengi huwa wanashindwa kuelewa!Mtoto wa kiume akifikisha umri wa kujitegemea inamlazimu mama kumuachilia mtoto wake. Wengi wao huwa hawakubali kuwaachilia watoto wao wa kiume na kuona kwamba wana haki ya kucontrol maamuzi yao HASA KATIKA MAHUSIANO kitu ambacho sio sawa!!Nakumbuka first born wetu (mdada) alipata mchumba mchaga na wanafamilia walikuwa na negativity sana na hilo kabila na walimshauri sister asiolewe naye ila baba yangu alikuwa na busara sana, alimkalisha chini akamwambia kuwa yeye hana pingamizi na maamuzi yake ila tu awe makini maana kuna baadhi ya wachaga wana tabia fulani fulai zisizo nzuri so awe makini!!Thats what a parent should tell his son/daughet
upo sahihi
 
Back
Top Bottom