Mama Kamkataa Mchumba Wangu

Mama Kamkataa Mchumba Wangu

marriage have got nothing to do with anyone's tribe ,kwani bimkubwa ndo ataishi na huyo yf wako ? mulize bimkubwa akupe sababu tano za kutomtaka bidada wakichaga kama they sound poa , if you got a good yf marry her no need of worrying bana life its self uncertain only death is certain.
 
elewa lakini bimkubwa kanibeba 9mnth na kanilea hadi hapa nilipo,its my hard time
 
elewa lakini bimkubwa kanibeba 9mnth na kanilea hadi hapa nilipo,its my hard time

fine you argue with reasons bana akupe sababu za kumkataa , mind you its you who are going to live with maisha hayana formula bana
 
fine you argue with reasons bana akupe sababu za kumkataa , mind you its you who are going to live with maisha hayana formula bana
2rue bt they told me 3 strong point & I can't accept it is lyk stremely bt...
 
elewa lakini bimkubwa kanibeba 9mnth na kanilea hadi hapa nilipo,its my hard time

kumbe mpaka hapo wewe mwenyewe una majibu umebebwa miezi 9 unataka sisi tushauri nini tena? ila kumbuka hata huyo aliyekataliwa amebebwa miezi 9
 
mi nataka ushauri na wala si risala uelewe hilo

Sasa wewe umeleta uzi halafu unakua mkali, unataka watu wakujibu unavyotaka wewe!
Ungeweka "Character/Word Count" tujue basi!
 
Sasa wewe umeleta uzi halafu unakua mkali, unataka watu wakujibu unavyotaka wewe!
Ungeweka "Character/Word Count" tujue basi!
sio ukali ni mambo ya kueleweshana tu mkuu
 
Habari wana jf,
J/pili yangu imekuwa mbaya kwa kweli.Nina mpenzi wangu yapata mwaka sasa ila sikuwahi kumtambulisha kwa ndugu yangu yeyote,mpenzi wangu ni Chagga girl,hivyo basi nikaona nimfanyie Suprise ya kiaina bimkubwa nikamtambulishe amjue mkwe wake nikamvutia waya bimkubwa alifurai sana,akaniuliza KABILA GANI?nikamwambia ni MCHAGGA,Daah!!nilichoka kwa kweli namnukuu,"tena ishia hapohapo na kama mko njiani geuza mlipo toka unatuletea mchaga unataka aje ahamishe mali zote kwao,tena sitaki kusikia hizo habari"mwisho wa kumnukuu ila ma bby hakusikia chochote nikavunga kwamba bimkubwa hayupo hom yupo mbali 2kaback at home.Ushaur pliziiiiiiiiii nampenda sana huyu dem na Bimkubwa nampenda kuliko maelezo

Bi mkubwa anajua anachokupa huyo mchaga?..usimfiche mwambie hadi staili zinazokudatisha kutoka kwa huyo mchaga hadi miguno yake kitandani...maana inaelekea bi mkubwa anajua ndio kwanza unataka kumtongoza.mweke wazi atakuelewa unachomaanisha maana na wao wamepita hukohuko
 
Back
Top Bottom