Leak
Platinum Member
- Feb 22, 2012
- 52,942
- 43,582
unataka kumwoa mama ako ama demu wa kichagggaaa....mwanaume/mwanamke atamwacha mama ake na baba ake nao watakuwa mwili mmoja na kuanza zizi jipya
Wewe love bird umekosa busara na adabu hebu acheni maigizo ni wazi katika jamii zetu ni wengi yana wakuta haya na ni wazi wazazi wetu wana nguvu kwenye Mahusiano yetu.
Last edited by a moderator: