Mama Kamkataa Mchumba Wangu

Mama Kamkataa Mchumba Wangu

Bi mkubwa anajua anachokupa huyo mchaga?..usimfiche mwambie hadi staili zinazokudatisha kutoka kwa huyo mchaga hadi miguno yake kitandani...maana inaelekea bi mkubwa anajua ndio kwanza unataka kumtongoza.mweke wazi atakuelewa unachomaanisha maana na wao wamepita hukohuko
haki ya nan yaani ww shukuru mungu nakuheshim ningeku...
 
Habari wana jf,
J/pili yangu imekuwa mbaya kwa kweli.Nina mpenzi wangu yapata mwaka sasa ila sikuwahi kumtambulisha kwa ndugu yangu yeyote,mpenzi wangu ni Chagga girl,hivyo basi nikaona nimfanyie Suprise ya kiaina bimkubwa nikamtambulishe amjue mkwe wake nikamvutia waya bimkubwa alifurai sana,akaniuliza KABILA GANI?nikamwambia ni MCHAGGA,Daah!!nilichoka kwa kweli namnukuu,"tena ishia hapohapo na kama mko njiani geuza mlipo toka unatuletea mchaga unataka aje ahamishe mali zote kwao,tena sitaki kusikia hizo habari"mwisho wa kumnukuu ila ma bby hakusikia chochote nikavunga kwamba bimkubwa hayupo hom yupo mbali 2kaback at home.Ushaur pliziiiiiiiiii nampenda sana huyu dem na Bimkubwa nampenda kuliko maelezo

Alifikiria ya Ufoo Saro!!
 
mkuu nimesoma uzi wako bahati nzuri au mbaya nimekuja kumtembelea bimkubwa wangu nikamsomea jinsi ulivoandika yeye amenijibu amesema msikilize bimkubwa wako!!!

Wengine mna bahati mbaya sana. Mungu aendelee kumbariki sana bimkubwa wangu. Sijawahi kuona mama bora kama mama yangu. Upuuzi wa kumchagulia mwanae mwenza hajapata hata kuuwaza.
 
marriage have got nothing to do with anyone's tribe ,kwani bimkubwa ndo ataishi na huyo yf wako ? Mulize bimkubwa akupe sababu tano za kutomtaka bidada wakichaga kama they sound poa , if you got a good yf marry her no need of worrying bana life its self uncertain only death is certain.

ndoa za jamii za kiafrica, ni muunganiko wa familia 2 na sio watu 2 tu.
 
Hujashikwa vizuri na huyo binti wa kichaga,! Angekukamata vyema wewe ungetia pamba masikioni usisikie lolote mpk umweke ndani. Pole sana kwa kuwa na bi mkubwa wa aina hiyo..kwetu sisi tulijaaliwa kuwa na wazazi wenye kutuskiliza mawazo yetu na kutushauri inapobidi lakini sio kutumia u bi mkubwa kutupangia namba ya kuishi na wenza wetu.
Samahani. .kwani bi mkubwa kabila gani??
 
mkuu fanya maamuzi mwenyew coz mke utaenda ishi nae mwenyewe.huyo mchag umekaa nae mwenyew n wew mwenyew ndiy unayemjua na co mama yako..Baadae ucje ukamlaumu m2 bt ujilaumu mwenyew kwa uamuzi wa kumuacha au kuendelea nae mwenyew.No 1 z perfect brother.Ni hayo 2
 
wazazi nao wanahaki ya kusikilizwa.pande za wakina nje ya box 118
 
Hujashikwa vizuri na huyo binti wa kichaga,! Angekukamata vyema wewe ungetia pamba masikioni usisikie lolote mpk umweke ndani. Pole sana kwa kuwa na bi mkubwa wa aina hiyo..kwetu sisi tulijaaliwa kuwa na wazazi wenye kutuskiliza mawazo yetu na kutushauri inapobidi lakini sio kutumia u bi mkubwa kutupangia namba ya kuishi na wenza wetu.
Samahani. .kwani bi mkubwa kabila gani??
wazazi nao wanahaki ya kusikilizwa.pande za wakina nje ya box 18
 
mkuu fanya maamuzi mwenyew coz mke utaenda ishi nae mwenyewe.huyo mchag umekaa nae mwenyew n wew mwenyew ndiy unayemjua na co mama yako..Baadae ucje ukamlaumu m2 bt ujilaumu mwenyew kwa uamuzi wa kumuacha au kuendelea nae mwenyew.No 1 z perfect brother.Ni hayo 2
ni maamuzi magum ndio maana nataka ushauri ulio bora
 
this is too much,

mama anaogopa kuhamishwa mali?

mwambie awaze pia kuletewa maradhi
 
Back
Top Bottom