Mama Joyce Ndalichako: | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mama Joyce Ndalichako:

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by CHUAKACHARA, Feb 27, 2012.

 1. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #1
  Feb 27, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,206
  Likes Received: 3,828
  Trophy Points: 280
  Kwanza Pole na kazi nzuri.
  Pili, naomba hili uliweke maanani: Mzazi Mwenzetu Kikwete na mama Salma walikwazika sana kwa jinsi jamii ilivyokuwa ikimjadili mtoto wao aliyekuwa Feza Girls,matokeo hayakuwa mazuri. Sisi kama wazazi tulikwazika sana. Suppose it were your daughter? Put yourself in the shoes of these parents!!!
  OMBI: matokeo ya mitihani yatambuliwe kwa namba za watoto tu. After all matokeo ni haki ya mtahiniwa kuyaweka public or not.
   
 2. Ndokeji

  Ndokeji JF-Expert Member

  #2
  Feb 27, 2012
  Joined: Jun 9, 2011
  Messages: 525
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 45
  Ni kweli mkuu mimi na kumbuka mwaka wetu 2006 nafikiri hata 2008 waliweka number tu matokeo ni kitu privacy wala siyo public, Assume kama ungekuwa wewe unawekwa kwenye public wanajadili matokeo yako this is not fair wakuu , Nasiyo mtoto Jk tu hatawengine kuna mijamaa ilishashindwa shule kazi yake kuulizo mtoto wa fulani kapata nini ili yafurahi kama amefeli. Kucheka vijana wanapofeli kwa ujumla siyo vizuri tuhuzunike tutafute mawazo tusaidie vp hiki kizazi
   
 3. m

  mashambani kwao JF-Expert Member

  #3
  Feb 27, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 371
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  watanzania hatuwezi kuendelea kwa sababu hatutaki kuambiwa ukweli majina yaendelee kama kawaida.
   
 4. D

  Dopas JF-Expert Member

  #4
  Feb 27, 2012
  Joined: Aug 14, 2010
  Messages: 1,151
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Waweke majina au namba sio suluhisho la chochote, eti aibu kuonekana umefeli. Sasa wewe unataka mtu aliyefeli aonekane kuwa kapata div.1 point 7? Eti sababu ni wa rais au sijui ni maarufu kiasi gani? We utakua mjinga ikiwa mtoto wako akifeli unaogopa eti aibu, watu watazungumza. Hakuna mtoto anayependa kufeli, wala hakuna wazazi ambao wangependa mtoto wao afeli.
  Kufeli ni matokeo. Kwa wengi wa watoto wetu kufeli ni mazingira mabovu waliyonayo, ona shule za kata. Kwa kesi ya mtoto wa JK sijui tatizo, kwani mazingira yote mazuri ya kumwezesha afaulu alikuwa nayo.
  Sasa Ndelichako aseme huyu kapata div.1 wakati ana f4. kwani F4 ni za kina nani? Alafu mnasema rushwa itaisha?
  Inafaa wewe uchunguzwe katika eneo lako la kazi, inawezekana ni miongoni mwa wanaokwamisha rushwa isiishe. Maana ungekuwa nafasi ya Ndelichako usingeonesha huyo mtoto kuwa na div.4, na hiyo usingefanya bure.
   
 5. M

  Mpigaji JF-Expert Member

  #5
  Feb 28, 2012
  Joined: Feb 6, 2011
  Messages: 386
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wewe matokeo yako yaliwekwaje?
   
 6. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #6
  Feb 28, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,206
  Likes Received: 3,828
  Trophy Points: 280
  Rafiki hujanielewa. Ninachosema hapa ni usiri. Hata wewe hapo una siri ambazo hutaki watu wazijue. Privacy ya mtu iheshimiwe. Matokeo ya mtu ni haki kuwa siri yake, natural justice dictates that. It should not be for public consumption. Hatusemi abadilishe matokeo, afiche siri za matokeo ya mitihani ya watoto. Ni mazoea ambayo yanakiuka haki za mwanafunzi. najua tumezoea hivyo tangu ukoloni. It is now time to reverse that trend.
   
 7. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #7
  Feb 28, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Bwana weee swali mujarabu hlo,hahahahah,unlec hakutahiniwa na Dr Ndalichako
   
 8. K

  Kimweli JF-Expert Member

  #8
  Feb 28, 2012
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 865
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 45
  Tanzania ya watu kama wewe hatufiki popote.
   
 9. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #9
  Feb 28, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,768
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  Kikwete na mke nafikiri hawajitambui,
  hawa jamaa ni publick figure
  sisi kama watanzania tutajadili lolote linalofanywa na hawa watu,ikitokea shemeji yetu akatoka out na jamaa mwingine na tukajua tutajadili tu,waambie hata watoto wao waishi maisha ya displine hata shule wahakikishe wanakuwa serious na masomo ili tuache kuwajadili
   
 10. k

  kiliochangu JF-Expert Member

  #10
  Feb 28, 2012
  Joined: Feb 23, 2012
  Messages: 1,122
  Likes Received: 774
  Trophy Points: 280
  kama hawa watoto hawaelewi darasani watakumbuka namba zao kweli, kama awali walishawahi kutumia namba, then vifupisho vya majina wakabadili na kutumia full names mchunguze inawezekana kuna tatizo hapo.
  Labda matokeo yasitangazwe kabisa public. kama watanzania wote wangekuwa na access ya simu, Dr Ndalichako angeweza kuwatumia matokeo yao kwa kutumia SMS mtandao then wakapewa result slip. Matokeo yote yakatumwa kwa shule husika wakaangalie mashuleni, jambo ambalo ni gumu kwani binafsi tangu nimalize F4 1990 sijawahi hata kuona geti la shule niliyosoma. Mamabo mengine ni challenges za uelewa wa watanzania, bado tunasafari ndefu ya kufanya hayo
   
 11. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #11
  Feb 28, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,206
  Likes Received: 3,828
  Trophy Points: 280
  Yaliqwekwa wazi, lakini haikuwa sahihi. Yalikuwa makosa ambayo sasa yarekebishwe, mazoea toka ukoloni. OUT hawafanyi hivyo tena. Kila mwanafunzi ana electronic account number ambayo ni yeye anaweza ku-access matokeo yake.
   
 12. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #12
  Feb 28, 2012
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 0
  Hata muweke namba tutayajua tu! Inteljensia ya UMMA haishindwi kitu!
   
 13. k

  kiliochangu JF-Expert Member

  #13
  Feb 28, 2012
  Joined: Feb 23, 2012
  Messages: 1,122
  Likes Received: 774
  Trophy Points: 280
  Dr Ndalichako ebu fikiria suala la sms mtandao, watahiniwa watakiwe kuandika namba zao za simu ambazo zitaingizwa kwenye database na kuconnect na server ya baraza matokeo yakitoka tu automatically yanamfikia mlengwa. ingawa kwa vijijini bado safari ni ndefu kwa huduma hii. check if possible
   
 14. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #14
  Feb 28, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,206
  Likes Received: 3,828
  Trophy Points: 280
  Wewe umefika wapi? Jenga hoja usianze ad hominen arguments! Mimi nasema kutangaza matokeo ya mwanafunzi hadharani ni ku-infringe personal privacy. It is some sort of trespass on the case, one can argue. Indirectly you trespass on somebody's privacy.
   
 15. K

  KIMALIKE Member

  #15
  Feb 28, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Na je yangekua mazuri yatangazwe? au kwa sababu ni matokeo mabaya watanzania tufikie mahali tukubali ukweli,kuficha ficha vitu vingine ndio vinaleta mauchakachuaji.
   
 16. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #16
  Feb 28, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,481
  Likes Received: 5,861
  Trophy Points: 280
  Kwani ni mtoto huyu tu aliyefeli? Mbona wazazi wengine hawajalalamika ukiacha wale mdebwedo?
   
 17. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #17
  Feb 28, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Namshukuru Mungu sina akili fupi kama yako! Ipeleke FACEBOOK.
   
 18. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #18
  Feb 28, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,206
  Likes Received: 3,828
  Trophy Points: 280
  hata mazuri yasitangazwe. Hapa ni private property whether good or bad, ni hiari ya mtu kuiweka wazi au la!
   
 19. Rugambwa31

  Rugambwa31 JF-Expert Member

  #19
  Feb 28, 2012
  Joined: May 13, 2009
  Messages: 227
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Sio haki kutoa majina ya wanafunzi public kwani hakuna tena privacy yao. Mm naunga mkono kuweka namba tu kwan hata vyuoni tunaona kwamba namba ndozinatumika na sio majina ya wanachuo. Inabidi tubadilike na tuache kubisha bila sababu za msingi, embu tuwe watu wa utu kuliko kuwa wafuasi bila sababu za maana. Hata mambo ya kushadadia kwamba shule ya kwanza hadi ya mwisho naona tz tunakosea. Inakuaje unashindanisha Feza/Kifungilo/Saint mery's na shule za kata au za private zilizo choka bila maabara au walimu wakutosha? Angalia shule za private kama saint zinazofanya vizuri kunawalimu kibao, wanafundishwa kila muda na topic wanamaliza fasta. Tunajenga tabaka baya sana na ni bomu ambalo linakuja kulipuka siku za usoni. Watz tupamnnbane ktk katiba mpya tuweke shule za serikali zipewe kipaumbele na shule za binafsi zibanwe kuhusu ada sio wanajipangiatu huu ndoupupu tunaoufanya.

  Watz tunapenda sana sifa hoo jamaa kaongoza tz nzima je unajua aliyekuwa wamwisho hilikuwaje? kunakuwaje kwenye kusaiisha? je familia zao zinaendana kipato au tunaongea tuuuu? Tubadilike watz kama kweli tunataka tusonge mbele na kuweza kufanya revolution ya kweli.
  VIVA NYERERE BABA WA TAIFA, TUNAITAJI KIONGOZI MADHUBUTI KAMA YEYE SIKU ZA USONI HILI TUWEZE VUKA HAYA MATATIZO TULIYO NAYO. VIVA TANZANIA.
   
 20. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #20
  Feb 28, 2012
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,530
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 280
  Watoto wa shule za sekondari hususani za kata wanatoka katika jamii maskini hivyo wengi wao hawana na simu wala email address
   
Loading...