sijamuuliza nadhani inawezekana kuna aliyeshawahi kuuliza ili anisaidie. My concern ni wale watoto. Acha ulofa safari
Wasiliana na Gazeti la Mwananchi watakupa "details zote" za huyo Mama:
Pale hana kazi: alikuwa Mwalimu wa Shule za Msingi miaka ya 70 katikati, unfortunately MME wake wa ndoa alifariki late 70s na baada ya hapo maisha yakaenda mrama! Hapo alipo anadai "mafao" yake ya ualimu takribani sh 11m lakini alishawahi kulipwa laki 7 tu!
Kila mtoto aliyenae pale yupo na baba tofauti tofauti: As of late amejifungua mtoto wa 5!
JAMANI NISAIDIENI. KUNA MAMA MMOJA ANA WATOTO WATANO, KILA SIKU ASUBUHI MAPEMA SANA LAZIMA, NASISITIZA LAZIMA, UTAMKUTA MAENEO YA UFUKWE WA BAHARI YA HINDI ENEO LA OCEAN ROAD NA WATOTO WAKE WOTE. HUWAGA ANAKAAGA MPAKA AROUND SAA TANO THEN HUONDOKA.
wATOTO WAKE WANA AFYA NJEMA TU NA WANAVAA VIZURI SANA ALWAYS UTAWAKUTA WAMEVAA TRAKI SUTI NZURI.
WATOTO HAO WENGI NI WA UMRI WA KUWA SHULE MAANA YAKE HAWASOMI SABABU KILA SIKU ASUBUHI WAKO HAPO.
Kuna ambaye ameshamuona?
Ana dili gani pale?
au akili si njema? kama ndio wanatunzwa na kuvalishwa vizuri na nani?
Kama haujawaju kumuona na njia yako asubuhi ni ocean road, ukipita angalia kwenye ule msingi uliojengwa kuzuia maji ya bahari utamwona
Wasiliana na Gazeti la Mwananchi watakupa "details zote" za huyo Mama:
Pale hana kazi: alikuwa Mwalimu wa Shule za Msingi miaka ya 70 katikati, unfortunately MME wake wa ndoa alifariki late 70s na baada ya hapo maisha yakaenda mrama! Hapo alipo anadai "mafao" yake ya ualimu takribani sh 11m lakini alishawahi kulipwa laki 7 tu!
Kila mtoto aliyenae pale yupo na baba tofauti tofauti: As of late amejifungua mtoto wa 5!
Tatizo sio kufunga kizazi, tatizo ni wale wanaomzalisha au baba watoto watafutwe ili wawajibike kulea.Buguruni, nakushukuru kwa hadhari uliyonayo juu ya huyu mama na watoto, kuna siku Naibu Waziri, Dr. Lucy Nkya alisimama akaongea nae, nilijua mateso ya yule mama na watoto yameisha? lakini bado wapo palepale, ni vyema yule mama akapelekwa hospitali ya wagonjwa wa akili na watoto wakapelekwa kituo cha malezi Kurasini. Ila ni vyema watu wa Ustawi wa Jamii wakafanya kazi yao, kuhusu huyu mama kwa kweli wamelala. Kama bado anaongeza watoto pale plae pwani huku hana uwezo wa kuwatunza basi ni vyema afungwe kizazi?
Buguruni, nakushukuru kwa hadhari uliyonayo juu ya huyu mama na watoto, kuna siku Naibu Waziri, Dr. Lucy Nkya alisimama akaongea nae, nilijua mateso ya yule mama na watoto yameisha? lakini bado wapo palepale, ni vyema yule mama akapelekwa hospitali ya wagonjwa wa akili na watoto wakapelekwa kituo cha malezi Kurasini. Ila ni vyema watu wa Ustawi wa Jamii wakafanya kazi yao, kuhusu huyu mama kwa kweli wamelala. Kama bado anaongeza watoto pale plae pwani huku hana uwezo wa kuwatunza basi ni vyema afungwe kizazi?
Tatizo sio kufunga kizazi, tatizo ni wale wanaomzalisha au baba watoto watafutwe ili wawajibike kulea.
Tatizo sio kufunga kizazi, tatizo ni wale wanaomzalisha au baba watoto watafutwe ili wawajibike kulea.