Mama, huyu ndio Samson

Mama, huyu ndio Samson

Hadith nzuri sana..sema umeshndwa kuimalizia vizuri.
 
Wadada wanaotaka kuolewa ni shida sana, bahati yake kamkuta huyo A mcha mungu ila ungekuwa bandidu Samson angebakiliwa mbali.
 
Samson aliingia katika matambulizi ya voda fasta kwa wakwe.
 
Mdada A naye alikuwa na haraka mno,amemkuta tu Samson muungwana,lakini asipokuwa makini na midume ya Dar inayoingia kwa gia ya kuoa atadanganywa sana.
 
Huyo A ni mzembe, ameshindwa kutumia hata mbinu ya Delilah!?
So sad!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom