Tuwapate wapi kina Samson wa kizazi hiki mmmmmh
Ninaamini kuwa kama foundation ya relationship yenu iko imara, long distance inazidi kuimarisha penzi.Elimu, Kazi nzuri, Kujimudu kimaisha kwa kila kitu kabla ya ndoa (wote mwanamme na mwanamke) na vya ziada "miscellaneous" ndiyo ufunguo wa maisha mazuri ya ndoa yenu.
Sasa hawa kwa bahati wamekutana wote wakisoma UDSM hivyo imekuwa Ice on the cake, na wakajiwekea mikakati.
Pia kila mtu ametoa uhuru kwa mwenzake licha ya kukaa mbali kwa ziaidi ya miezi sita!
Kila baada ya miezi sita timu zaingia uwanjani.
Ni nadra sana kukuta mambo haya kwenye dunia ya leo.
Goodluck to Samson na missus to be.
Kumbuka Delilah alitumia njia nyingi sana, jamaa wapi!Samson wa Delila alikuwa na mbwembwe nyingi ndiyo maana ikawa rahisi kumkamata.
Ninaamini kuwa kama foundation ya relationship yenu iko imara, long distance inazidi kuimarisha penzi.
That's the side A of a story!Ninaamini kuwa kama foundation ya relationship yenu iko imara, long distance inazidi kuimarisha penzi.
Ni kweli kabisa mkuu, kwanza mkiwa compatible, mnaongea na kuelewana na wote mna malengo sawa, sex ni kama accessory tu.You are right, makosa mengi yanatokea kwenye foundation.
Kuna mahali nilijifunza kwamba foundation inaweza kuchukua hadi miaka mitatu maximum.
Hapa kila kitu kinajengwa, uimara, udhaifu, wapi pa kurekebisha, halafu kuna mambo mawili ya msingi, Dini na uaminifu.
Kuna couple moja niliwahi kukutana nayo ni walevi kupindukia, wanakwenda kunywa wote na kisha wanarudi nyumbani lakini njiani, hadi nyumbani ni ngumi tu na kelele nyingi.
Lakini neighbours wanawafahamu na wanaelewa kwamba hiyo ni one off issue maana kesho yake wanaonekana wakienda kazini pamoja huku wakicheza na kuongeza kama kawaida.
Jumapili hawakosi kanisani na hawanywi Jumamosi maana huwezi kwenda kanisani umelewa jumapili na jumamosi wanakwenda shambani kwao.
Hii couple wana kazi nzuri, ila hawakujaaliwa na hawana watoto, wao ni pombe tu kila weekend.
Hivyo utaona kwamba initial stage walikutana wote wakiwa walevi na wakajenga msingi tangu pale na hadi wanakufa nafikiri watakuwa ni walevi.
Nimejaribu kutoa mfano kwenye hii foundation stage.

Mapenzi ni kitu cha ajabu sana, moyo unapopenda huwezi kuulazimisha. Kuna story moja niliisoma, baba wa kiarabu kutoka Irak alikwenda Uingereza kusoma, akiwa kule alikutana na mama wa kizungu, mama alikuwa na msimamo mkali wa dini yake, hakukubali kubadili dini na mwarabu alimwambia ni lazima aoe Kiislam. Baada ya masomo mwarabu alirudi Irak, alioa na kuanza familia.Miaka 35 bado anafanya uzinzi eti ana mchumba Botswana, tena anapata opportunity ya mke bado analeta stori, haya maisha ya mjini yanaharibu sana vijana!!
Hapo kwenye Foundation sina hata cha kuongezeaElimu, Kazi nzuri, Kujimudu kimaisha kwa kila kitu kabla ya ndoa (wote mwanamme na mwanamke) na vya ziada "miscellaneous" ndiyo ufunguo wa maisha mazuri ya ndoa yenu.
Sasa hawa kwa bahati wamekutana wote wakisoma UDSM hivyo imekuwa Ice on the cake, na wakajiwekea mikakati.
Pia kila mtu ametoa uhuru kwa mwenzake licha ya kukaa mbali kwa ziaidi ya miezi sita!
Kila baada ya miezi sita timu zaingia uwanjani.
Ni nadra sana kukuta mambo haya kwenye dunia ya leo.
Cha msingi hapo tunajifunza uaminifu.
Goodluck to Samson na missus to be.
You are right, makosa mengi yanatokea kwenye foundation.
Kuna mahali nilijifunza kwamba foundation inaweza kuchukua hadi miaka mitatu maximum.
Hapa kila kitu kinajengwa, uimara, udhaifu, wapi pa kurekebisha, halafu kuna mambo mawili ya msingi, Dini na uaminifu.
Kuna couple moja niliwahi kukutana nayo ni walevi kupindukia, wanakwenda kunywa wote na kisha wanarudi nyumbani lakini njiani, hadi nyumbani ni ngumi tu na kelele nyingi.
Lakini neighbours wanawafahamu na wanaelewa kwamba hiyo ni one off issue maana kesho yake wanaonekana wakienda kazini pamoja huku wakicheza na kuongeza kama kawaida.
Jumapili hawakosi kanisani na hawanywi Jumamosi maana huwezi kwenda kanisani umelewa jumapili na jumamosi wanakwenda shambani kwao.
Hii couple wana kazi nzuri, ila hawakujaaliwa na hawana watoto, wao ni pombe tu kila weekend.
Hivyo utaona kwamba initial stage walikutana wote wakiwa walevi na wakajenga msingi tangu pale na hadi wanakufa nafikiri watakuwa ni walevi.
Nimejaribu kutoa mfano kwenye hii foundation stage.
These memesSamson is a man.. Moreover Samson is a a gentleman
".. Samson doesnt give a shit.
Boys be like Samson![]()
Hatakama lakini unaweza kuishi kinyume na hisia zako za mapenzi, ndiyo maana kuna waume na wake walioa/kuolewa na watu ambao hawakuwa na hisia nao lakini wamejifunza kupendana na wanaishi vizuri tu! Siyo kila hisia ya mapenzi ni ya kuendekeza!Mapenzi ni kitu cha ajabu sana, moyo unapopenda huwezi kuulazimisha. Kuna story moja niliisoma, baba wa kiarabu kutoka Irak alikwenda Uingereza kusoma, akiwa kule alikutana na mama wa kizungu, mama alikuwa na msimamo mkali wa dini yake, hakukubali kubadili dini na mwarabu alimwambia ni lazima aoe Kiislam. Baada ya masomo mwarabu alirudi Irak, alioa na kuanza familia.
Yule mama wa kizungu aliapa kuwa hatakuwa na mwanaume mwingine yeyote kwakuwa mwarabu alikuwa so special kwake, yule mwarabu alikaa kwenye ndoa lakini moyo wake wote ulikuwa kwa mama wa kizungu. Baada ya miaka 15 yule mama alipokea habari nje ya ofisi kuna mgeni wako, alipotoka alimkuta mwarabu, alimwambia nimemueleza amerudi Uingereza kabisa kwasababu yake, ana watoto na inabidi afanye kazi awatunze lakini mke ndoa ni basi.
Wote waliridhia kuishi kila mtu na dini yake, na waliishi kwa Amani. Usicheze na mapenzi bwana.
Ww wasema, historia inaonyesha inapotokea katika mahusiano mwanaume kuwa mwanifu sana kwa mwenzi wake. Mwanamke huwa si mwaminifu and the vice versa is true.Huko Botswana kwa mdada wa kibongo kucheat si rahisi, wale ni watu wazima, hawapitii jando.
Ninaamini mwanamke ni rahisi kujifunza kuishi na mwanaume asiyempenda na kujenga mapenzi kutokana na mapenzi anayoyapata kwa mwanaume yule, lakini si rahisi mwanaume kujenga hisia za mapenzi kama hazipo.Hatakama lakini unaweza kuishi kinyume na hisia zako za mapenzi, ndiyo maana kuna waume na wake walioa/kuolewa na watu ambao hawakuwa na hisia nao lakini wamejifunza kupendana na wanaishi vizuri tu! Siyo kila hisia ya mapenzi ni ya kuendekeza!
inategemeana na type ya mwanamme, tupo wachache wenye kuweza kujifunza kumpenda mwanamke ambaye hapo mwanzo hatukuwa na hisia naye.Ninaamini mwanamke ni rahisi kujifunza kuishi na mwanaume asiyempenda na kujenga mapenzi kutokana na mapenzi anayoyapata kwa mwanaume yule, lakini si rahisi mwanaume kujenga hisia za mapenzi kama hazipo.