Mama Dorothy Gwajima suala la ushoga hulioni? Mbona linazidi kushika kasi? Umenyamazishwa?

jimama26

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2013
Posts
3,257
Reaction score
4,360
Kwako Mama Dorothy Gwajima. Natumai unaendelea vizuri na majukumu yako.

Hivi Mama Gwajima, suala la ushoga hapa nchini Tanzania unaliona linavyozidi kasi au hulioni? Nakuelekezea wewe hii mada nikiamini kabisa ni eneo unaloliweza vilivyo tu, ila siku hizi umelikalia kimya, kama halikuhusu. Nafahamu ni jambo pana, ila walau upande wako ungekuwa unalishughulikia, ingesaidia sana. Vyombo vyote husika vya serikali including wizara yako, wote mko kimya mambo yanazidi kuharibika.

Jamani hii serikali ya Samia hamuoni movements mitandaoni za ushoga zinavyozidi kutamalaki? Angalieni hasa mtandao wa TikTok. Mashoga huko wako hadharani wanajielezea kila kitu. Wanaelezea hadi wanavyofanya mapenzi. Wanavaa kike wala hawabughudhiwi hata kutishwa tu. Bado kuna vi-online TVs kibao wanahoji mashoga, content creators nao wanapush contents za ushoga!! Kwenye taarabu na vibao kata, mambo ni mashoga tu.

Jamani mbona hamtendei haki uongozi wenu? Hivi hata mnawaza uwajibikaji wenu mbele za Mungu? Au kuna order kutoka juu mkae kimya jamani? Tanzania inazidi kuharibika kwa ushoga. Inasikitisha sana sana kuona huu uRais wa Samia unafumbia macho suala la maadili, kama si one of the focus areas za serikali kabisa. Bila serikali kuwa na ukali, jamii haiwezi kitu kwenye hili suala.

Inaudhi sana. Haya endeleeni kukaa kimya, kesho mtakuwa na cha kujibu.

Jimama.
 
Tatizo Kubwa la nchi hii si ushoga. Ni utekaji, mauaji, wizi wa mali za umma, samia kuuza nchi yetu Tanganyika while sparing Zanzibar , demokrasi etc.. Ushoga ni suala la binafsi! Sawa si zuri, ni uhayawani, uhuni, ukosefu wa maadili mema, lakini mimi halininyimi usingizi. Wazungu wanasema, My body , my Right!
 
Serikali ingetunga sheria kali kwa wanaopromoti maswala ya ushoga lakini hili tatizo linatakiwa litatuliwe kuanzia ngazi ya familia.
Mashoga wengi wameanzia huko kwa kufanyiwa ufirauni na watu wa karibu na wakati mwingine mambo yanapojulikana yanamalizwa kimyakimya.
Shule za boarding, wahuni wa mitaani na mitandao ya jamii ni sehemu ya tatizo hilo.
 
Ni kweli tatizo la ushoga linakuwa kwa kasi na inaonekana dunia nzima ina lose against this war, sio Tanzania tu. Sikuhizi wamekuwa unstoppable tayari hata ukiwatungia sheria bado hawatapungua, na hii ni kwa sababu nahisi binadamu bado hajui chanzo cha ushoga, sababu nyingi zinazotajwa ni za kukisia tu. Ingekuwa kweli binadamu anajua chanzo chake nadhani kungekuwa na tiba tayari ya kuwasaidia hao watu, kwa hiyo ni ngumu kushindana na kitu ambacho hujui chanzo chake

The best they can do ni kuwazuia kuandaa content za ushoga, kuwazuia kujiuza hadharani, na pia kuzuia wanaume wanaoact kama wanawake mitaani kwa sababu haipendezi kwenye jamii
Mashoga wengi content zao ziko sexual oriented 100%, huwa hawapendi kujadili issue za maana kama maendeleo, teknolojia, fursa za biashara, kilimo, entertainment (movies, mpira, mziki) nk wao ni sexual content tu, ni vyema wakafungiwa kuandaa content
 
Basi redio zote bongo ni za kishoga.
 
Basi redio zote bongo ni za kishoga.
Elezea how?
Sio kila sexual content ni ya kishoga. Na pia sio vizuri kuandaa over sexualized content hata kama sio za kishoga, kwa maadili ya Tanzania

"Redio zote Bongo ni za kishoga" HOW??
 
0F21E1CA-ED59-4308-AD7B-9A308649234A.jpeg

Kwa ambao hamuelewi kwa haraka!
 
Kwako Mama Dorothy Gwajima. Natumai unaendelea vizuri na majukumu yako.

Hivi Mama Gwajima, suala la ushoga hapa nchini Tanzania unaliona linavyozidi kasi au hulioni? Nakuelekezea wewe hii mada nikiamini kabisa ni eneo unaloliweza vilivyo tu, ila siku hizi umelikalia kimya, kama halikuhusu. Nafahamu ni jambo pana, ila walau upande wako ungekuwa unalishughulikia, ingesaidia sana. Vyombo vyote husika vya serikali including wizara yako, wote mko kimya mambo yanazidi kuharibika.

Jamani hii serikali ya Samia hamuoni movements mitandaoni za ushoga zinavyozidi kutamalaki? Angalieni hasa mtandao wa TikTok. Mashoga huko wako hadharani wanajielezea kila kitu. Wanaelezea hadi wanavyofanya mapenzi. Wanavaa kike wala hawabughudhiwi hata kutishwa tu. Bado kuna vi-online TVs kibao wanahoji mashoga, content creators nao wanapush contents za ushoga!! Kwenye taarabu na vibao kata, mambo ni mashoga tu.

Jamani mbona hamtendei haki uongozi wenu? Hivi hata mnawaza uwajibikaji wenu mbele za Mungu? Au kuna order kutoka juu mkae kimya jamani? Tanzania inazidi kuharibika kwa ushoga. Inasikitisha sana sana kuona huu uRais wa Samia unafumbia macho suala la maadili, kama si one of the focus areas za serikali kabisa. Bila serikali kuwa na ukali, jamii haiwezi kitu kwenye hili suala.

Inaudhi sana. Haya endeleeni kukaa kimya, kesho mtakuwa na cha kujibu.

Jimama.
Wanasema masikini hana jeuri
 
wanaodiscuss ushoga kama wewe ndio mashoga in disguise, solution ya mashoga ni kuwakalia kimya na kutowapa attention yoyote ile, yaani wachukuliwe kama mataahira hivi
 
Kuna hii article kwa ajili ya wale wanaotumia DINI kupinga ushoga: Why the Bible Does Not Condemn Homosexuality or Being Transgender

******
For centuries, people have been taught that the Bible outright condemns homosexuality or gender diversity. However, modern biblical scholarship, historical context, and translation studies reveal that the verses most often cited are misunderstood, mistranslated, or pulled out of context.

1. The Word “Homosexual” Was Never in the Bible Until 1946

The first time the English word homosexual appeared in any Bible translation was in the 1946 Revised Standard Version (RSV). Before that, the verses now translated as “homosexual” used different words that referred to specific acts (often linked to exploitation or abuse) rather than loving, consensual relationships between adults.

2. The Old Testament Context (Leviticus 18:22 & 20:13)
  • These verses are part of the Holiness Code, written for the ancient Israelites to set them apart from neighboring nations.
  • Many of these laws are no longer followed by Christians (e.g., wearing mixed fabrics, eating shellfish, planting two kinds of seed together).
  • The Hebrew phrase “toevah” (often translated “abomination”) actually means “ritually unclean,” not morally evil.
  • Scholars note that these verses likely addressed male temple prostitution in Canaanite fertility rituals, not loving same-gender relationships.
3. Sodom and Gomorrah (Genesis 19)
  • Often cited as a condemnation of homosexuality, but the text itself says the sin of Sodom was violence, arrogance, and lack of hospitality, not consensual same-sex love (Ezekiel 16:49 explicitly states this).
  • The attempted sexual violence in the story is about power, humiliation, and dominance — similar to other ancient war crimes — not orientation or identity.
4. The New Testament “Clobber Passages”

Romans 1:26–27

  • Paul’s words refer to idol worship in the Roman world, where both men and women engaged in sexual acts as part of pagan rituals.
  • The phrase “against nature” (para physin in Greek) was used in ancient literature to describe actions outside one’s own usual behavior — in this context, likely referring to heterosexual people engaging in same-sex acts in idol worship, not a universal statement on orientation.
1 Corinthians 6:9 & 1 Timothy 1:10
  • The Greek words arsenokoitai and malakoi are notoriously difficult to translate.
  • Malakoi literally means “soft” and was often used to refer to laziness or moral weakness, not sexuality.
  • Arsenokoitai is rare and likely refers to exploitative relationships (such as sexual slavery or abuse), not mutual love.
5. The Bible and Transgender Identity
  • The Bible does not explicitly address transgender people.
  • Verses like Deuteronomy 22:5 (“A woman shall not wear a man’s garment…”) are part of ancient Israelite purity laws tied to cultural dress codes, not modern understandings of gender identity.
  • Ancient cultures recognized gender-diverse people — eunuchs, for example, are mentioned positively in Isaiah 56:4–5 and included in the early church in Acts 8.
  • Jesus Himself speaks of eunuchs in Matthew 19:12 without condemnation, acknowledging that some are “born that way.”
6. The Core Message of Scripture

When you step back, the Bible’s central themes are love, justice, and inclusion. Jesus never spoke a word against same-sex relationships or gender diversity. Instead, He broke social boundaries to include those considered “unclean” or “outsiders.”

“By this everyone will know that you are my disciples, if you love one another.” — John 13:35

✅ Summary: The so-called “anti-gay” and “anti-trans” verses are about ancient cultural practices — idolatry, exploitation, or ritual purity — not committed, loving LGBTQ+ relationships or gender identity. When understood in their historical and linguistic context, the Bible does not condemn LGBTQ+ people.

******
 
Back
Top Bottom