Mama atupa mtoto wa siku 3 chooni na kutoweka

Wanawake bwana, utafikiri huwa hawajui wakipigwa dudu moja ya matokeo ni kupata mimba isiyo na address...

Wao huwa wanaona raha tu kukata mauno, kutaka dudu iingie yote, akili huanza kurudi pale siku zao zinapokosekana...
 
Yupo mama mwingine ni mzazi wa miezi mitatu hapa mtaani kwangu, mkoani mwanza.

ana mtoto wa miezi mitatu (wa kike) ametelekezwa kiaina na mume wake (mwanaume ana wake wawili).

Naona huyu mama yuko kwenye risk ya kutupa huyu mtoto maana ana siku 5 bila kupewa pesa za matumizi na mume wake.

Nimefahamiana nae siku 3 zilizopita, nimempa kiasi kidogo cha fedha aendelee kujikimu lakini aendako ni kubaya sana maana niliwasiliana na mume wake (jamaa ni dereva wa kampuni flani hapa Mwanza), jamaa akawa anakata simu tu hataki kuongea.

nikapiga tena kwa namba nyingine, aliposikia sauti ya mke, akakata!!

Huyu mama (actually ni binti wa 25-28yrs) ni mkazi wa geita, nilimshauri aongee na wazazi wake, lakini huko nako ni kuchungu sana maana baba analalamika sana kwamba mwanae alilazimisha ndoa (hawakuibariki) kwa hiyo acha ateseke.

The story is long, lakini hata jana angelala njaa huyu mama na mwanae.

Huruma yangu ni kwa mtoto, anaweza kutupwa
Hiyo ni Police Case. Ripoti Police haraka sana. Ni mhalifu mbaya sana huyo.
 
Huku mbeya kuna nini?
Halafu si wanasema ndio mji umezungukwa na zile nyumba za ibada?nyingi?
Imekuwaje tena
 
Vipi ukitumia mmama kuongea na wazazi wake?
Mkuu mzee wake kwa jinsi nilivyo ongea nae, bado anatumia mamlaka yake ya ukepteni wa jeshi kuendesha familia

Nilijitahidi kuongea nae siku ya kwanza na ya pili, ili amsaidie binti yake jamani ili tuokoe huyu mtoto lakini hajaeleweka zaidi ya kuniambia matatizo kayatafuta mwenyewe.

Natamani hata nipate mwana JF yeyote wa Mwanza mwenye uwezo amsaidie apate nauli arudi kwao akalelee huyu mtoto huko.

mimi hapa pesa sina niseme ukweli
 
Mkuu msaidie huyo Dada nenda Polisi mwenyewe uonane nao,umsaidie!.
 
Unamdanganya ww, aende polisi ili iweje yani. Polisi wenyewe ndo wale tunaowafahamu. Watamchomesha kwa mwenye mke aonekane snitch matokeo yake yampate ya kumpata bure.
 
Back
Top Bottom