Mama anapodhamiria kuyang'ang'ania madaraka japo hadi 2030, CHADEMA ijizatiti kwa mapambano ya muda mrefu!

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
34,776
Reaction score
46,050
Kwamba hata iweje!

Haipo shaka nia njema kutokea kwa mama haipo na haiwezi kuwa sahihi kusema huo ndiyo ulio msimamo wa CCM au serikali yake yote.

"Samaki mmoja akioza haliwezi kuwa tenga lote."

Kuwa leo Lissu yuko Ukonga, ila waliowateka kina Mdude, Soka, nk wako huru? Waliowatendea unyama kina mzee Kibao wako huru? Walioratibu na kutekeleza shambulizi dhidi ya father Kitima wako huru? Nakadhalika, Looh!

Kwamba CHADEMA chama cha ukombozi hatimaye kimerejea mikononi mwa wananchi wenyewe?

Gq-zsaJXMAAdta5.jpeg

Haiwezi kuwa habari njema kwa mama au washirika wao. Kwamba ni nia yao kutoridhia mabadiliko yanayoweza kufanikisha upatikanaji wa ridhaa za wananchi kuhusiana na nchi inavyoendeshwa kwa njia za haki?

Kukataa mabadiliko kwa ajili ya kupata ridhaa za haki kutoka kwa wananchi, huo ni uhaini. "Mahaini wako huru na mpigania haki kupinga uhaini yuko gerezani kwa kuupinga uhaini wa mahaini." -- Askofu Bagonza.

Haipo shaka utakuwa ni mpango ulio muhimu zaidi kwao kuwaondoa ulingoni Lissu na sasa Heche na wengine wote wanaondeleza harakati hizi kwa moyo. Kwamba hiyo iwe ni kwa namna yoyote, ikiwamo vifo au hata vifungo japo hadi baada ya uchaguzi, labda October huko!

Haya mapambano hayawezi kuwa ya muda mfupi au ya mtu mmoja mmoja. Ni lazima kujizatiti zaidi kiungozi, kwa mapambano endelevu na ya muda mrefu.

Miti itakatwa sana. Kila watakapokata mti ni shuruti kuwe na mbadala, moto wa kuotea mbali (firebrand) kukamata usukani.

"One down, two to go." -- Alisema beberu.

Aluta continua!

Pia soma: Katiba Mpya: Mapambano yako katika Hatua za Mwisho
 
View attachment 3337015

Kwa kua ana pesa za kutosha ataishi ughaibuni kama mkimbizi ikisubiri hukumu yake kwa Mungu baada ya kufa! Taabu ni kwa wapambe wake ambao hawatapata pa kusimama baada ya yeye kukimbia nchi
 
Anaweza kupisha hili kwa kujipanga kuyaongoza yeye haya mageuzi badala ya kulazimishwa.

Busara hiyo haiwezi kuwa ya kuambiwa. Kwani ajue jumba bovu ataangushiwa yeye. Si Mulilo wala Muloto yule wa vipigo vya mbwa koko.

Joni au tunasema uongo?
 
Samia ni sikio la kufa...washauri wake ni vipofu na yeye alikwisha kukiri kwamba yuu kiziwi so acha tu waoane halafu tuone!
 
Ila 2030 ni mbali aisee! Lolote linaweza kutokea hapa katikati.
 
Kwamba hata iweje!

Haipo shaka nia njema kutokea kwa mama haipo na haiwezi kuwa sahihi kusema huo ndiyo ulio msimamo wa CCM au serikali yake yote.

"Samaki mmoja akioza haliwezi kuwa tenga lote."

Kuwa leo Lissu yuko Ukonga, ila waliowateka kina Mdude, Soka, nk wako huru? Waliowatendea unyama kina mzee Kibao wako huru? Walioratibu na kutekeleza shambulizi dhidi ya father Kitima wako huru? Nakadhalika, Looh!

Kwamba CHADEMA chama cha ukombozi hatimaye kimerejea mikononi mwa wananchi wenyewe?

View attachment 3337015

Haiwezi kuwa habari njema kwa mama au washirika wao. Kwamba ni nia yao kutoridhia mabadiliko yanayoweza kufanikisha upatikanaji wa ridhaa za wananchi kuhusiana na nchi inavyoendeshwa kwa njia za haki?

Kukataa mabadiliko kwa ajili ya kupata ridhaa za haki kutoka kwa wananchi, huo ni uhaini. "Mahaini wako huru na mpigania haki kupinga uhaini yuko gerezani kwa kuupinga uhaini wa mahaini." -- Askofu Bagonza.

Haipo shaka utakuwa ni mpango ulio muhimu zaidi kwao kuwaondoa ulingoni Lissu na sasa Heche na wengine wote wanaondeleza harakati hizi kwa moyo. Kwamba hiyo iwe ni kwa namna yoyote, ikiwamo vifo au hata vifungo japo hadi baada ya uchaguzi, labda October huko!

Haya mapambano hayawezi kuwa ya muda mfupi au ya mtu mmoja mmoja. Ni lazima kujizatiti zaidi kiungozi, kwa mapambano endelevu na ya muda mrefu.

Miti itakatwa sana. Kila watakapokata mti ni shuruti kuwe na mbadala, moto wa kuotea mbali (firebrand) kukamata usukani.

"One down, two to go." -- Alisema beberu.

Aluta continua!

Pia soma: Katiba Mpya: Mapambano yako katika Hatua za Mwisho
labda mapamabano ya uropokaji na utukanaji mitandaoni :NoGodNo:
 
Kwamba kang'ang'ania madarakani hadi japo 2030 hata iweje !

Zingatia hapo nilipopigia mstari.

Jambo hilo hudhani linaweza kushangiliwa na wapumbavu peke yao?
 
calm down gentleman,
ramli na ushirikina vinakutesa sana aise, kua makini usijekua crzy :NoGodNo:
 
Samia ni sikio la kufa...washauri wake ni vipofu na yeye alikwisha kukiri kwamba yuu kiziwi so acha tu waoane halafu tuone!

Ni muhimu kumtenganisha yeye na wanufaika wenzake kwa upande mmoja, na wengine kwa upande mwingine:

Mzozo wa Rais Samia na CHADEMA wakiwamo wadau wengine ni kuwa: "yeye hataki uchaguzi wa haki." Nani wa kumfunga paka kengele?

"Huyu anautaka urais japo hadi 2030 kwa namna yoyote!"

Kwamba hata iweje!

Kwamba mabadiliko awape hata Nov 2025, ila yeye achukue chake mapema kwanza, guaranteed hadi 2030.

Tate Mkuu, imhotep na wale wengine: "hii mbombo anaachiwa Mungu ndugu zangu?"
 
kibaraka anasota korokoroni ndio maana majuzi umeona mabwenyenye ya magharibi wanaomtuma na kumfadhili wamebwekabweka,

mercenaries ndio ninyi sasa waropokaji, washupaza shingo na waporomaosha matusi kumshangilia kibaraka :pedroP:

Wanaoongelewa na Julius ni watu kama nyie.

Uko wapi uhalali wa kutaka kung'ang'ania madarakani hata iweje?

GolYJ8-WMAAfLvb.jpeg

Unaweza kuhalalisha vipi kauli hiyo ndugu ostaadhi Malaria 2 kutokea msikiti wa Manyema pale?
 
Back
Top Bottom