Mwananchi online linaripoti kukwama kwa malori bandarini.
Je wapo wanaopima kina cha maji?
Uzi tayari? Jingalao ni wewe kweli? Mbwa habweki tena baasa ya bosi kupoteaMwananchi online linaripoti kukwama kwa malori bandarini.
Je wapo wanaopima kina cha maji?
Bandari ipi?Mwananchi online linaripoti kukwama kwa malori bandarini.
Je wapo wanaopima kina cha maji?
Hao Mwananchi wameanza kujitokeza walikokuwa wamejificha,walikuwa wameufyata mkia miaka yote sita ya mwendazake,kutwa walikuwa wanaimba na kusifia awamu ya 5, utafikili waliungana na TBC ,Uhuru na mzalendo,Mwananchi online linaripoti kukwama kwa malori bandarini.
Je wapo wanaopima kina cha maji?
Taga linaendelea kutaga.Mwananchi online linaripoti kukwama kwa malori bandarini.
Je wapo wanaopima kina cha maji?
Hakili za hovyo hizi. Jifunze kuhimiza utendaji sio simulizi. Maadereva wenyewe wanasema afu wewe umekaa kwenye key board unaaandika tu.Hao Mwananchi wameanza kujitokeza walikokuwa wamejificha,walikuwa wameufyata mkia miaka yote sita ya mwendazake,kutwa walikuwa wanaimba na kusifia awamu ya 5, utafikili waliungana na TBC ,Uhuru na mzalendo,
Kwa Sasa Mwananchi hawana hata sofa ya kifungia vitumbua.
Mkuu, waache kuripoti habari Kwa sababu utasema harudi tena?Taga linaendelea kutaga.
Piga ua zaragaza zika fukua harudi tenaaaaaaaaaa!
Muacheni mama achape kazi. Hatutaki porojo za kisoro.Mkuu, waache kuripoti habari Kwa sababu utasema harudi tena?
Kazi zipi zinakwama Kwa kuripoti kukwama Kwa malori bandarini?Muacheni mama achape kazi. Hatutaki porojo za kisoro.