Ujumbe maalum kwa Rais Samia kuhusu uzembe unaofanywa na wafanyakazi wa Bandari Jijini Dar

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,331
33,146

Wana Bahati sana hawa Wafanyakazi wazembe wa Bandari mjini Dares-Salaam. Laiti kama ningelikuwa ndio mimi Rais wa nchi ninge wasimamisha kazi na huku uchunguzi unafanyika na ikibainika maneno anayo yasema huyu mfanya biashara kijana ni maneno ya ukweli basi ningeliwafukuza kazi wote wanao husika na kumpa onyo kali Waziri wa Mawasiliano na uchukuzi kwa kutofanya kazi yake vizuri.

Inaonyesha Waziri Muhusika nae pia hawajibiki ipasavyo kwani anaonyesha nae Waziri Mhusika ni mzembe wa kazi aliyopewa na Mheshimiwa Rais Mama Samia.

Kwani itafika wakati wafanya biashara watahamia bandari ya Mombasa kutoa mizigo yao wakati Bandari yetu haitpata wateja na Serikali itapata hasara kubwa kwa kukosa kufanya biashara na wafanya biashara .
 
Huwezi kuanzisha vita na wachagga ukashinda, kama waliwahi kuacha kwenda kanisani KKKT kisa Mangi mmoja. Wanama tunapiga sabotage ya maana mpaka DP world na mama wanyooshe mikono.
Tatizo lake ni kuwa Mama Rais anawalea hawa Wazembe Wafanya kazi wa Bandari angelikuwa Simba RIP Magufuli yasingeweza kutokea hayo matatizo ya baadhi ya Viongozi wachache waliopo Bandarini wanaotaka kuwakwamisha Wafanya biashara Wanaoleta Makontena nchini kwetu.

View attachment 2834678
Eti anataka tena, anashindwa hata kujithmini kwamba hana uwezo wa kuongoza, kuwalea viongozi wa aina ya Samia inchi itajifia.
 
View attachment 2834663

Wana Bahati sana hawa Wafanyakazi wazembe wa Bandari mjini Dares-Salaam. Laiti kama ningelikuwa ndio mimi Rais wa nchi ninge wasimamisha kazi na huku uchunguzi unafanyika na ikibainika maneno anayo yasema huyu mfanya biashara kijana ni maneno ya ukweli basi ningeliwafukuza kazi wote wanao husika na kumpa onyo kali Waziri wa Mawasiliano na uchukuzi kwa kutofanya kazi yake vizuri.

Inaonyesha Waziri Muhusika nae pia hawajibiki ipasavyo kwani anaonyesha nae Waziri Mhusika ni mzembe wa kazi aliyopewa na Mheshimiwa Rais Mama Samia.

Kwani itafika wakati wafanya biashara watahamia bandari ya Mombasa kutoa mizigo yao wakati Bandari yetu haitpata wateja na Serikali itapata hasara kubwa kwa kukosa kufanya biashara na wafanya biashara .

Huyo jamaa ametoa clip nyingine akifafanua kilichotokea. Fuatilia vizuri. Anaeleza kuwa aliampa mtu kibarua cha kufuatilia hayo makontena kumbe akawa anamdanganya. Alipofuatilia mwenyewe personally, akafanikiwa kutoa mzigo wake bila vikwazo vyovyote. Hali ni shwari bandarini hakuna kizuizi chochote.
 
Kahamisha magoli
Kabadilisha upepo
Huyo kapigwa mkwala kanywea
Tatizo la huyo lukosi mihemuko sana

Ova
 
View attachment 2834663

Wana Bahati sana hawa Wafanyakazi wazembe wa Bandari mjini Dares-Salaam. Laiti kama ningelikuwa ndio mimi Rais wa nchi ninge wasimamisha kazi na huku uchunguzi unafanyika na ikibainika maneno anayo yasema huyu mfanya biashara kijana ni maneno ya ukweli basi ningeliwafukuza kazi wote wanao husika na kumpa onyo kali Waziri wa Mawasiliano na uchukuzi kwa kutofanya kazi yake vizuri.

Inaonyesha Waziri Muhusika nae pia hawajibiki ipasavyo kwani anaonyesha nae Waziri Mhusika ni mzembe wa kazi aliyopewa na Mheshimiwa Rais Mama Samia.

Kwani itafika wakati wafanya biashara watahamia bandari ya Mombasa kutoa mizigo yao wakati Bandari yetu haitpata wateja na Serikali itapata hasara kubwa kwa kukosa kufanya biashara na wafanya biashara .
Ayasemayo huyu jamaa ni ukweli mtupu, kuna jamaa Mzambia nilikutana naye bandarini mwaka juzi katika hali ya huzuni sana. Jamaa alikuja na invoice yake ikionyesha kila kitu kimelipiwa, kaja hapa Tanzania kuchukua mzigo wake anaambiwa alipe tena ushuru ambao alishalipia online tayari. Nilimkuta jamaa analia na kuropoka hovyo kuwa atakwenda kushitaki ubalozini kwao na alihapa kuwa angefanikiwa kutoa mzigo wake hawezi tena kutumia bandari ya Dar Es Salaam. Binafsi namlaumu Mama Samia. Huyu Mama angekuwa makini kwa kutimua na kufunga wafanyakazi wazembe na wabadhilifu huu ujinga usingekuwepo. Ujinga wote serikalini na kwenye taasisi za umma lawama apewe rais maana kama hakamati na kunyonga watu nobody will take her serious. Ujinga huu huwezi fanya Rwanda hata siku moja.
 
Wana Bahati sana hawa Wafanyakazi wazembe wa Bandari mjini Dares-Salaam. Laiti kama ningelikuwa ndio mimi Rais wa nchi ninge wasimamisha kazi na huku uchunguzi unafanyika na ikibainika maneno anayo yasema huyu mfanya biashara kijana ni maneno ya ukweli basi ningeliwafukuza kazi wote wanao husika na kumpa onyo kali Waziri wa Mawasiliano na uchukuzi kwa kutofanya kazi yake vizuri.

Inaonyesha Waziri Muhusika nae pia hawajibiki ipasavyo kwani anaonyesha nae Waziri Mhusika ni mzembe wa kazi aliyopewa na Mheshimiwa Rais Mama Samia.

Kwani itafika wakati wafanya biashara watahamia bandari ya Mombasa kutoa mizigo yao wakati Bandari yetu haitpata wateja na Serikali itapata hasara kubwa kwa kukosa kufanya biashara na wafanya biashara .
Huyu Mama mwenyewe mzembe.
 
Back
Top Bottom