Malori ruksa kubeba watu kwenye kampeni za CCM

Malori ruksa kubeba watu kwenye kampeni za CCM

October 25 itakua mwisho wa uhuni huu.

attachment.php
11057313_679136095521580_1824937381225503105_n.jpg
 
Hii ndio njia pekee ya kutengeneza artificial nyomi kirahis 2015,
 

Attachments

  • COtAcGXU8AAErEw (1).jpg
    COtAcGXU8AAErEw (1).jpg
    68.1 KB · Views: 723
ahahahahahahahahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa duh ngashtuka viatu vya vikarawanda nyie mnavijua
 
Ila nitakuja nijifunze ..ili na mm nijaze nyomi.......
 
Naona wame upgrade from FUSO to SCANIA


Nahisi itakuwa huko Rorya siku ya jana,kuna jamaa kaniambia watu wamesombwa wengine kutoka Serenget na bunda kwenda Musoma na Rorya.
na kuwa Wajaluo watafungiwa CCTV kuzuia wezi wa cows.
kama kuna mtu wa Rorya humu tunamuomba afunguke.
 
Hivi Malori ya CCM yana speed kama chopa?
Maana mikutano inafanyika zaidi ya miwili na umbali kutoka unapofanyika mkutano mmoja na unaofutatia ni zaidi ya masaa 2 kwa lori la kawaida. Hapa inamaana lori kwenda na kurudi ni zaidi ya masaa 4. Swali hivi ,malori haya ya CCM yana speed ya chopa?
 
Back
Top Bottom