Malori ruksa kubeba watu kwenye kampeni za CCM

Malori ruksa kubeba watu kwenye kampeni za CCM

Nakumbuka Jeshi la Polisi lilipiga marufuku wananchi kupelekwa kwenye mikutano ya kisiasa kwa kutumia malori .Cha ajabu idadi kubwa ya malori yamekuwa yakibeba Na kushusha watu maeneo ya jangwani kwenye uzinduzi Wa kampeni za CCM ili kujaza watu.Ushauri kwa Jeshi la Polisi kama CCM wameruhusiwa basis vyama vyote navyo viruhusiwe hatutaki tena Polisi wetu mwanze visa.
11873414_883930575031199_4945020638157531889_n.jpg
 
Dar hakuna wanachama wa CCM imebidi ku import mikoa ya jirani kama Pwani, Lindi na Morogoro.

Chama kwishaaaaahhh,,,,,

Hivi hawastuki kubebwa kwenye malori na kupewa khanga moja moja wakati nchi hii ina mabasi ya kumwaga..
Yaani kamati nzima ya kampeni haijakumbuka kukodi mabasi ???? chama kimechoka kweli kweli...hata wazo la basi hakuna...
11873414_883930575031199_4945020638157531889_n.jpg
 
Nyumbu.kwa kulalamika bana! Kuna genge.la Lowasa linasafirishwa na kukesha viwanjani siku moja kabla kama walivyokesha Arusha,viwanja vya furahisha Mwanza na kwingineko hilo hamlisemi!


1.Hawalalamiki ila.wanawaonesha umejitia upofu na huoni picha hizo?
2.Mkitukanwa nyie na kuzomewa mnalalama na polisi ccm yenu kana kwamba nchi hii ni ya watu fulani!!Wewe unawaita Nyumbu ila wao wanamengine amboyo wakisema mnatafuta pa kushika.
 
1.Hawalalamiki ila.wanawaonesha umejitia upofu na huoni picha hizo?
2.Mkitukanwa nyie na kuzomewa mnalalama na polisi ccm yenu kana kwamba nchi hii ni ya watu fulani!!Wewe unawaita Nyumbu ila wao wanamengine amboyo wakisema mnatafuta pa kushika.

Hayo mengine wayaseme tu lakini watabaki ni nyumbu tu, Makongoro hataki watu kutoka mikoa mingine kwenda kwingine kama Lowasa anavyofanya.
 
Mtoa Mada Vp Mbna Unadanganya,hayo Malor Yalibeba Vifaa Na Hata Kama Yalibeba Watu,kuna Mtu Aliwapandisha?Siwalipanda Wenyewe Ukawa Vp?
 
Baada ya Diamond kuondoka Jangwani uwanja hauna watu. Kumbe waliokwenda pale walikwenda kumuona Diamond.
 
Mbona ukawa mnasafirisha watu kutoka mikoani?huo ndio uzalendo?
 
Mkuu Yanga Bwana UKAWA hatuna haja yakupelekewa malori wala kupewa nauli ili tuhudhurie mikutano ya campaign tunatoa pesa zetu mifukoni wenyewe,slogan yakuwatoa watu walipo to kwenye mikutano ni CCM na ni lazima wafanye hivyo maana kama hawakufanya basi watajikuta wamebaki kina Nape tu mkutanoni watu hamna.
 
Last edited by a moderator:
Hao ndio ccm bwana shida njaa mtindo mmoja wakiambiwa waenda chalinze kwa miguu wataenda ili mradi msosi uwepo ccm aliserema
 
Wata somba sana watu kuhudhuria mikutano yao mpaka wachoke. Watu wamewachoka
 
Back
Top Bottom