Malori ruksa kubeba watu kwenye kampeni za CCM

Malori ruksa kubeba watu kwenye kampeni za CCM

Kama wazee wanapima vijana kwa kipimo walichopimiwa wao then kiwango kimeshuka, kama vijana wanaopata elimu wanaona wenyewe kuwa inawasaidia then hakijashuka.

Japo si mzee wala kijana najua kuwa watu wanakuwa wabinafsi zaidi kadiri siku zinavyoendelea. Asipotokea mtu wa kureverse hii (hopefully JK) tunaishia pabaya very soon.

Tatizo la elimu kama lipo kwa nini halishughulikiwi? Ina maana hakuna wataalamu? Mbona kila siku wanasomeshwa?

Tunasomesha wataalamu wengi sana hatutakiwi kuwa na sector isiyokuwa na wataalamu WA KUSOLVE PROBLEMS. Sio kuandika mada.

Ni aibu kuzuzungumzia hili jambo miaka nenda rudi.

Let us do it, find a solution and stick to it.

Aibu una njaa wewe unachukuwa elfu kumi lkn sikulaumu hapo kijiweni ulipo utapata chai na lunch
 
Hivi wakipata ajali itakuaje kuhusu bima hapo maana wamebebwa na lorry
 
Washauri wa JK walimwambia ahutubie watu awaambie mafuriko ya Lowassa ni computerized!

Nae alivyo kichwa nazi akakubsli kuongea hivyo mbele za watu!
 
Watanzania nyie mnataabu sn siasa kwenu kama uadui dah hatari mnaenda siko kabisa .
Mm cjawahi siku hizi NCHI zilizo tuletea democracia wana siasa huwa wana hama kutoka chama Fulani kwende chama fulani ni Africa ndio upuuzi huuu upo.
Siyo kwel kaka hata ulaya watu wanaama vyama vyao pale wanapoona hawajatendewa haki
mfano waziri wa fedha wa russia alikihama chama baada ya putin kutangaza kurudi tena madarakan
jamaa akaingia upinzani na kuachia ngaz nyadhifa zake.kwahyo husikariri kaka
 
Kwani walifungwa kamba na kupandishwa kwenye lori. Hii ni kusaidia usafuri kwa wanachama wetu. Tatizo leo mnasahau kuwa hao wanao letwa kwa hayo malori ni wapiga kura pia.
 
Huku niliko leo tanesco hawajakata umeme au ndiyo goli la mkono hili?kuwapa ccm mazingira ya kusikilizwa na watu wengi kupitia redio na tv na kuwanyima ukawa fursa hiyo kwa kukata umeme
 
Watanzania nyie mnataabu sn siasa kwenu kama uadui dah hatari mnaenda siko kabisa .
Mm cjawahi siku hizi NCHI zilizo tuletea democracia wana siasa huwa wana hama kutoka chama Fulani kwende chama fulani ni Africa ndio upuuzi huuu upo.

Hongera wewe raia wa Ulaya.
 
View attachment 279373
Kamanda Kova, umeona hii? Askari wako wapo wapi wasikamate hawa CCM wanaotumia malori kubeba watu kuwapeleka Jangwani ili kujaza uwanja! Si jeshi lako lilipiga marufuku? Angalia ndugu, hii ni siku ya kwanza tu AMRI yako inaonekana haiihusu CCM. Vyama vingine vikianza tafadhali funga bakuli lako . Hatutaki double standards hapa. Nchi si ya CCM tafadhali. Msiivuruge nchi na kuleta machafuko kwa sababu tu ya uongozi hovyoooo wa jeshi lako la polisi na serikali dhaifu iliyopo madarakani kwa sasa.

Kaka muda sio mrefu Jk atakuambia na hiyo picha ya wana ccm wakipanda malori nayo imetengenezwa na Ukawa Ili kuichafua Ccm
 
Kwa hiyo watumie bodaboda au?!!!!!!!!!!!!!!!!????????????
 
October 25 itakua mwisho wa uhuni huu.

attachment.php

Mnaifanya JF kama kijiwe cha kahawa kwa kuleta habari zisizokuwa na ukweli wowote. Upumbavu na uongo wa aina hii ambao hata zuzu anaweza kuutunga ndio unaotufanya tuchelewe kuiondoa CCM madarakani kwasababu watanzania tumechoka na hizi siasa za kipuuzi mnazotuletea nyie nyumbu wa UKAWA, watanzania tunataka ukweli wa mambo sio blah blah!
 
Dar hakuna wanachama wa CCM imebidi ku import mikoa ya jirani kama Pwani, Lindi na Morogoro.

Chama kwishaaaaahhh,,,,,

Hivi hawastuki kubebwa kwenye malori na kupewa khanga moja moja wakati nchi hii ina mabasi ya kumwaga..
Yaani kamati nzima ya kampeni haijakumbuka kukodi mabasi ???? chama kimechoka kweli kweli...hata wazo la basi hakuna...
 
Fuso fuso wamekuwa ndizi au magunia ya mpunga!!?
Au ngombe jamani haki za binaadamu ccm ziangaliyeni jamani watu wanajazwa kama maviroba kwenye fuso!!!

Mtaongea sana na mtalaumu sana lkn jueni kwamba rais ajaye wa JMT ni Dr.John Magufuli
 
Hiki Chama Kimekufa Dodoma Muda Mrefu Kilipoanza Figisu Ya Kukatana
Ukawa Inashindana Na Marehemu
 
Na mijitu yenyewe haijitambui. Inakubali kubebwa kwenye malori kama mizigo inakenua tu
 
Back
Top Bottom