si wamepiga marufuku watu kwenda kwenye mikutano kwa makundi !?
hawa walafi bana..
wataua sana mwaka huu lakini kung'oka lazima.
October 25 itakua mwisho wa uhuni huu.
![]()
hata mimi nimetandika buku15 na costa lao sijapanda lilikuwa linatokea pugu kajiungeni
Hapo ndipo UKAWA wanaposhindwa
Ni ujinga kuwapiga vijembe CCM kuwa wanabeba watu kwenye mafuso. Vipi mmeshatafakari kwanini watu wanakubali kupanda kwenye hayo mafuso.
Wengi mtajibu kuwa wamepewa fedha hawawezi kuziacha.
Haya itakuwaje kama kwenye uchaguzi watapewa pesa na wali waipigie kura CCM na wakafanya hivyo? Mtalaumu kuwa wamenunuliwa? Je nyie mmechukua hatua gani kuwaelimisha wasinunuliwe?
Poor reasoning yenu itawafanya daima mshindwe maana mnaongozwa na mihemko zaidi na sio uhalisia wa mambo.
Mbona na nyie hapa Mwanza mmliwasomba?View attachment 279375
Huu ni uhuni ulipitiliza. We Kova upo wapi na jeshi lako la polisi? Si wewe uliyesema jeshi la Polisi limepiga marufuku vyama vya siasa kubeba watu kwenye malori? Au hawa wanaopandishwa kwenye malori nchi nzima kuja jangwani kama picha inavyoonyesha ni KUKU? Tuambie sasa au umma wa nchi hii ifanye kazi ya trafiki ya kusimamisha malori haya na kuwatimua KUKU waliopandishwa!! Tafadhali KOVA na serikali ya Kikwete, nchi hii ya Tanzania ni yetu sote. Msituletee machafuko siku ya kwanza tu ya kuanza kampeni. Kama mmeshindwa uongozi kaeni kando mapema na uchaguzi wa Oktoba hauna haja kufanyika maana sasa ni dhahiri CCM na serikali yake dhaifu mno imeshindwa kuongoza nchi. Tuipe nchi chama mbadala bila kupoteza fedha za kugharamia shughuli za uchaguzi.
Unataka huo mkutano wahutubie mawe? Waache wafanye siasa zao.
CCM bila kubeba watu kwenye malori hawapati hadhira!!
Tunawasubiri kwenye Sanduku la kura!!
Mbona na nyie hapa Mwanza mmliwasomba?