Malori ruksa kubeba watu kwenye kampeni za CCM

Malori ruksa kubeba watu kwenye kampeni za CCM

wamekimbia...! kudadadek! hawarudii tena kuandika mambo wasiyoyajua,, mkamap aiai na wenzako!! ati malori yamekuwa chopa...sante sana uliowaonyesha,
 
Mie ndo nataka nijue wanabebwa je na malori, maana yanahitaji speed ya hatari kufanikisha hilo.
Mfano mkutano umefanyika katoro baada ya masaa mawili mwingine ukafanyika Geita mjini. Ili kuhamisha umati wa katoro kuupeleka Geita unahitaji malori yanayoenda speed ya chopa, kuweza kuwaleta watu kwa wakati.

Last edited by a moderator:
Mleta mada, unamaanisha haya??
 
Attachments

  • 1443027182788.jpg
    1443027182788.jpg
    34.2 KB · Views: 387
  • 1443027208010.jpg
    1443027208010.jpg
    39.8 KB · Views: 361
  • 1443027263598.jpg
    1443027263598.jpg
    16.8 KB · Views: 352
Wanachanga wenyewe waliopanda... wangeenda kwa mguu ndo ungefurahi?

Kama wangechanga wale walioachwa na kulala kwenye uwanja mpaka magari ya chadema kuwarudisha makwao walikosaje usafiri? Sina haja ya kubishana na wewe IQ yako haina tofauti na Magufuli
 
Wanachanga wenyewe waliopanda... wangeenda kwa mguu ndo ungefurahi?

Basi ️km wanachanga wasingekuwa wanaachwa uwanjani Apa tanga Nina majirani zangu waliachwa kwenye mkutano wa magufuli na hata alivyokuja samia pia walijikuta waking'aa macho uwanjan kwa kukosa usafiri wa kurudi makwao
 
Wanachanga wenyewe waliopanda... wangeenda kwa mguu ndo ungefurahi?

Nalisema hili tena kwa uchungu kabisa baada ya kuwaona kina mama na kina baba wamelala chumba kimoja baada ya kutelekezwa na mgombea wao wa ubunge wa jimbo la Ikungi magharibi kupitia CCM wakati wa ufunguzi wa kampeni zake, hawa kina mama na kina baba waliteseka sana mpaka majirani wa wakawaonea huruma na kuwapatia chumba kimoja pamoja na unga wa kupikua ili wapitishe jioni ya siku hiyo! Kesho kulipokucha malori yaliyowasomba hayakuwepo tena matokeo yake wakawa wanaomba lifti kurudi makwao.Huu ni udhalilishaji mkubwa.

Hawa kina mama na kina baba Sijui kama watadiriki kumpigia kura mgombea huyo Kutokana na mateso walioyapata! Watu wa haki za binadamu fanyeni kazi zenu huu ni udhalilishaji!

Nasikia kule Geita haya ya Ikungi magharibi tameshaanza kujitokeza jioni hii, kwamba kuna watu wa kuja wanahangaika namna ya kurudi makwao imekua shida na hawana chakula na wala hawajui ni wapi watalala.Sijui viongozi wa CCM mkoa wameenda wapi bila kuwaangalia watu hawa.

Habari zaidi ingia hapa
https://www.jamiiforums.com/uchaguz...lafu-mkutano-ukiisha-mnawatelekeza-mkome.html
 
Embu tumia Akili kidogo. Kama Magufuli anatumia barabara kutoka sehemu moja ya mkutano kwenda sehemu nyingine ya mkutano tena anasimama Mara kadhaa barabarani iweje malori yashindwe kutumia barabara hizo hizo na kufika kwa wakati.

Inabidi pia utumie akili , ni malori mangapi yanahitaji kuhamisha ile nyomi kutoka mkutano mmoja kwenda mwingine. Nafikiri yanahitaji kurudia watu kila roli zaidi ya mara 50. Mmeweka video lakini naona mengi ni magari madogo
 
Basi ️km wanachanga wasingekuwa wanaachwa uwanjani Apa tanga Nina majirani zangu waliachwa kwenye mkutano wa magufuli na hata alivyokuja samia pia walijikuta waking'aa macho uwanjan kwa kukosa usafiri wa kurudi makwao

Wakome kubebwa bebwa hiyo ndio ccm, waambie wasiwape kura kwa hasira
 
Inabidi pia utumie akili , ni malori mangapi yanahitaji kuhamisha ile nyomi kutoka mkutano mmoja kwenda mwingine. Nafikiri yanahitaji kurudia watu kila roli zaidi ya mara 50. Mmeweka video lakini naona mengi ni magari madogo

MkamaP naona umeamua kuleta ubishi kwa kurukia swali lingine hapa. Swali lako lilikuwa ni vipi hayo malori(Fuso, mabasi,Pick up nk) yawahi mkutano toka mkutano mmoja.

Ngoja nikujibu pia. Mpango wa CCM kutafuta watu wakuja kwenye mkutano ili kujaza watu unakwenda kwa mbinu nyingi sana, Maroli au mabasi ni njia moja tu ila zipo zaidi ya njia Tano.
Kwa mfano mkutano Wa ufunguzi Wa kampeni za CCM Dar, idadi ya Fuso zilizobeba watu kuwaleta uwanjani zilikuwa sio chini ya 40 na kila fuso ilikuwa na wastani Wa watu 50.
 
OK
Chukulia Fuso zilikuwa 200 na kila fuso inauwezo wa kubeba watu 70 hao jumla ni 14,000 je mikutano ile inawatu 14,000 tu?
Swali langu nafikiri hukulielewa, swali lilikuwa kiuhalisia ni hivi, unahitaji malori mangapi kuhamisha ule umati kutoka sehemu moja kwenda sehemu nyingine?
Hao mnaowapiga picha ni usafiri wanasafiri wenyewe kama ulivyoona magari madogo. Mikutano inafanyika makao makuu ya jimbo mara nyingi, sasa wanakijiji wa walio mbali na jimbo wakitaka kuja kumsikiliza mgombea watakuja vipi? sio sehemu zote kuna daladala ama ma busi.
 
MkamaP naona umeamua kuleta ubishi kwa kurukia swali lingine hapa. Swali lako lilikuwa ni vipi hayo malori(Fuso, mabasi,Pick up nk) yawahi mkutano toka mkutano mmoja.

Ngoja nikujibu pia. Mpango wa CCM kutafuta watu wakuja kwenye mkutano ili kujaza watu unakwenda kwa mbinu nyingi sana, Maroli au mabasi ni njia moja tu ila zipo zaidi ya njia Tano.
Kwa mfano mkutano Wa ufunguzi Wa kampeni za CCM Dar, idadi ya Fuso zilizobeba watu kuwaleta uwanjani zilikuwa sio chini ya 40 na kila fuso ilikuwa na wastani Wa watu 50.

Sasa 25 Oktoba watawasafirisha watu? kujaza watu mikutanoni kwa mafuso sio sawa na kupiga kura. Hivi hawa CCM wamelifikiria hilo pia? Watapata aibu
 
Kwa ufahamisho tu...nchini Tanzania CCM is above the Law, jionee hizo speed za hayo malori, utadhani yamepakia magunia ya mkaa kumbe watu; bonyeza hapa chini ushuhudie mwenyewe usisubiri kuambiwa;

Mkuu wengine hatuko Facebook unaonaje ukaitupia hiyo tukaiona kupitia YouTube.
 
mkuu malori yapo mengi.....
kila jimbo lina lori la kusomba watu toka mashamban
 
Waende wenyewe bila ya kulazimishwa, mnafanya nyomi feki za kukusanya watu. Pesa zote hizo mnazokodi malori zinatoka wapi?

Waambie Mkuu, Mkutano wa Ukawa Morogoro walikuja na swaga eti Baiskeli ni nyingi sana, Mi nikawambia kua hiyo ni kudhihirisha kua CDM/UKAWA hawasombi watu bali wanakuja wenyewe kwa gharama zao na wakisikia kwenye Mkutano wanakichangia Chama kwa kununua:
Kofia za Chama.
Picha za Mgombea.
T-shirt za Chama.
Na kitu chochote kile chenye nembo ya CDM na UKAWA.
 
Attachments

  • 1443069009180.jpg
    1443069009180.jpg
    47.7 KB · Views: 170
Ccm Ilishindwa Zamani Sana Yaani Kampeni Zilipoanza Tu, Watunatumia Kodi Za Wananchi Na Magari Ya Halmashauri Nchi Nzima

Sasa Kwa Malori Huo Ndiyo Utamaduni Wao
 
Mie nashaangaa hayo malori yana speed gani kuhamisha mkutano mmoja hadi mwingine? Maana kufanya hivyo yanahitaji speed ya chopa kufanikisha hilo. Umenipata mkuu?

Kwani ni lazima yatumike yaleyale?Na unataka kuongopa kwamba lazima wabebwe watu walewale?Kwa uzi huu unataka kumwambia nani kuwa huwa haoni wanavyosomba watu na malori?Vipi,malori hayana speed kali mnapendelea mabasi new model au chopa?:thumbdown::thumbdown:😀😀
 
Back
Top Bottom