poleni kwa kuzomewa na msipoangalia hata kwenye box la kura mtazomewa hivyohivyo jirekebisheni
Mkuu huo mbona uwanja wa jamhuri Dom na mliileta kipind cha kampeni za Domwana jf kuna mda nilitoa habari hapa huku mtowambu magufuli kazomewa tumepigwa mabomu ila waliutoa huzi hule mapema sana
Tulipakiwa na mafuso mpaka Arusha mjini tulikuwa na fuso nne moja ilipata hitilafu kidogo wananchi walituzomea sana
Mkuu huo mbona uwanja wa jamhuri Dom na mliileta kipind cha kampeni za Dom