Malori ruksa kubeba watu kwenye kampeni za CCM

Malori ruksa kubeba watu kwenye kampeni za CCM

putin2.jpg
 
Kupanda Lori kwenda mkutanoni ina shida gani? Mbona wengine wanapanda boda hawasemwi? Wengine wanakuja na chopa ,,wengine wanakuja na vigari vyao vya mikopo, wengine kwa baiskeli,,,,, malori yana shida gani?
 
Hivi Malori ya CCM ya speed ya chopa?
Maana mikutano inafanyika zaidi ya miwili na umbali kutoka unapofanyika mkutano mmoja na unaofutatia ni zaidi ya masaa 2 kwa lori la kawaida. Hapa inamaana lori kwenda na kurudi ni zaidi ya masaa 4. Swali hivi ,alori haya ya CCM yana speed ya chopa?
Hivi mnakumbuka yule baba paroko aliyenunuliwa na CCM aka Dr Slaa alipoongea na waandishi wa habari aliapa ''kuzunguka nchi nzima'' ili kuwaambia wananchi ukweli juu ya ''ufisadi'' wa Lowassa? Je, unajua kilichomfanya aghairi ghafla na kuamua kutoroka nchini na kimada wake na kutokomea USA eti kwenda ''kusoma''?
Duru zinasema ni askofu Gwajima alimtorosha! Baada ya baba Paroko kumwita Gwajima ''mshenga'' na Gwajima kuamua kujibu mapigo na kutishia kuanika siri zaidi ikabidi baba Paroko aombe ''pause'' na aishie kimya kimya.
 
Kupanda Lori kwenda mkutanoni ina shida gani? Mbona wengine wanapanda boda hawasemwi? Wengine wanakuja na chopa ,,wengine wanakuja na vigari vyao vya mikopo, wengine kwa baiskeli,,,,, malori yana shida gani?

Mie nashaangaa hayo malori yana speed gani kuhamisha mkutano mmoja hadi mwingine? Maana kufanya hivyo yanahitaji speed ya chopa kufanikisha hilo. Umenipata mkuu?
 
Eti wanachama wanabebwa jimbo moja kupelekwa jingine. Kweli ni kujitekenya na kucheka
 
Eti wanachama wanabebwa jimbo moja kupelekwa jingine. Kweli ni kujitekenya na kucheka

Mie ndo nataka nijue wanabebwa je na malori, maana yanahitaji speed ya hatari kufanikisha hilo.
Mfano mkutano umefanyika katoro baada ya masaa mawili mwingine ukafanyika Geita mjini. Ili kuhamisha umati wa katoro kuupeleka Geita unahitaji malori yanayoenda speed ya chopa, kuweza kuwaleta watu kwa wakati.
 
Kwanini ushangae malori na wala hushangai coaster zinazobeba watu kwenda harusini? Au nazo zinatoka kwenye majimbo mengine.
 
Embu tumia Akili kidogo. Kama Magufuli anatumia barabara kutoka sehemu moja ya mkutano kwenda sehemu nyingine ya mkutano tena anasimama Mara kadhaa barabarani iweje malori yashindwe kutumia barabara hizo hizo na kufika kwa wakati.
 
Mie nashaangaa hayo malori yana speed gani kuhamisha mkutano mmoja hadi mwingine? Maana kufanya hivyo yanahitaji speed ya chopa kufanikisha hilo. Umenipata mkuu?
Mkiacha wasanii mtapata majibu sahihi.
 
Hivi Malori ya CCM ya speed ya chopa?
Maana mikutano inafanyika zaidi ya miwili na umbali kutoka unapofanyika mkutano mmoja na unaofutatia ni zaidi ya masaa 2 kwa lori la kawaida. Hapa inamaana lori kwenda na kurudi ni zaidi ya masaa 4. Swali hivi ,alori haya ya CCM yana speed ya chopa?
Kwa ufahamisho tu...nchini Tanzania CCM is above the Law, jionee hizo speed za hayo malori, utadhani yamepakia magunia ya mkaa kumbe watu; bonyeza hapa chini ushuhudie mwenyewe usisubiri kuambiwa;

ccm inapendwa sana mpaka vijijini, malori hayo ni kwa sababu ya upatikanaji wa usafiri maeneo ya vijijini. Ukawa mpo mijini tu na mijini kwenyewe nyomi zenu mnanunua watu. Tafiti zikitoa ukweli mlalama tu.
 
Back
Top Bottom