Malori ruksa kubeba watu kwenye kampeni za CCM

Malori ruksa kubeba watu kwenye kampeni za CCM

hata mimi nimetandika buku15 na costa lao sijapanda lilikuwa linatokea pugu kajiungeni
 
kwa wataalamu wa photography interpretation hii si picha ya tukio harisi la leo ..haviendani kabisa

kaka vijana wasiokuwa na mafunzo ya dini shida sana, hawaoni kuwa ni dhambi kusema na kushuhudia uongo, sie tumemwachia mungu wacha waeneze uongo tu, lakini mungu anayangaia yote yanayojiri na atatulipia
 
View attachment 279375
Huu ni uhuni ulipitiliza. We Kova upo wapi na jeshi lako la polisi? Si wewe uliyesema jeshi la Polisi limepiga marufuku vyama vya siasa kubeba watu kwenye malori? Au hawa wanaopandishwa kwenye malori nchi nzima kuja jangwani kama picha inavyoonyesha ni KUKU? Tuambie sasa au umma wa nchi hii ifanye kazi ya trafiki ya kusimamisha malori haya na kuwatimua KUKU waliopandishwa!! Tafadhali KOVA na serikali ya Kikwete, nchi hii ya Tanzania ni yetu sote. Msituletee machafuko siku ya kwanza tu ya kuanza kampeni. Kama mmeshindwa uongozi kaeni kando mapema na uchaguzi wa Oktoba hauna haja kufanyika maana sasa ni dhahiri CCM na serikali yake dhaifu mno imeshindwa kuongoza nchi. Tuipe nchi chama mbadala bila kupoteza fedha za kugharamia shughuli za uchaguzi.

Kesho na keshokutwa utakuja kuona vyama vikipigwa mkwara kubeba watu kwny malori. Hakuna fair ground kwa politiki za Tz
 
Ngoja wabwagwe wakatike viungo watelekezwe ndio watatia akili. Malori yenyewe mabovu
 
Wanakufata mlangoni kabisa
 

Attachments

  • 1440319018860.jpg
    1440319018860.jpg
    59.9 KB · Views: 270
Dah nipo maeneyo ya kibada mabasi ya sky line kama 40jamejaa kibao mwendo kama radi ccm mtauwa watu kwa mafuriko ya kutengenezak
 
Nimepishana na foso ipo speed kama inatoka nje ya sayari tunayoishi huku chalinze chonde chonde ccm mtauwa watu madereva wa fuso washapiga viroba !!

Viroba umepiga wewe unayeweweseka
 
Hapo ndipo UKAWA wanaposhindwa

Ni ujinga kuwapiga vijembe CCM kuwa wanabeba watu kwenye mafuso. Vipi mmeshatafakari kwanini watu wanakubali kupanda kwenye hayo mafuso.

Wengi mtajibu kuwa wamepewa fedha hawawezi kuziacha.

Haya itakuwaje kama kwenye uchaguzi watapewa pesa na wali waipigie kura CCM na wakafanya hivyo? Mtalaumu kuwa wamenunuliwa? Je nyie mmechukua hatua gani kuwaelimisha wasinunuliwe?

Poor reasoning yenu itawafanya daima mshindwe maana mnaongozwa na mihemko zaidi na sio uhalisia wa mambo.
 
Ukiwaona ccm,waambie mafuriko hayaandaliwi
 
Sisi tunaofanya biashara za mafuso huu ndio msimu wetu siku 64 lazima nijenge ghorofa kupitia ccm na kura hawapati
 
Sasa wanachama wao wasiwabebe acheni siasa zenu za chuki Zita waghalimu wakifanya ccm kibaya mkifanya nyie sawa hapa kazi tu.
 
Back
Top Bottom