Malori ruksa kubeba watu kwenye kampeni za CCM

Malori ruksa kubeba watu kwenye kampeni za CCM

Kwani wamelazimishwa kupanda?siamini mtu mzima unaweza lazimishwa kwenda sehemu Ni kwa kupenda kwao.
hata ninyi wake mnaowasomba pia walipenda.tafadhali Sana wapeni nafasi hawajawaomba nauli.
 
Kwani wamelazimishwa kupanda?siamini mtu mzima unaweza lazimishwa kwenda sehemu Ni kwa kupenda kwao.
hata ninyi wale mnaowasomba pia walipenda.tafadhali Sana wapeni nafasi hawajawaomba nauli.
 
Nimepishana na foso ipo speed kama inatoka nje ya sayari tunayoishi huku chalinze chonde chonde ccm mtauwa watu madereva wa fuso washapiga viroba !!
 
Watanzania nyie mnataabu sn siasa kwenu kama uadui dah hatari mnaenda siko kabisa .
Mm cjawahi siku hizi NCHI zilizo tuletea democracia wana siasa huwa wana hama kutoka chama Fulani kwende chama fulani ni Africa ndio upuuzi huuu upo.
 
Cha msingi tusiambiwe majina hayapo wakati huo kadi Niko nayo
 
Hawa majamaa ni mabingwa wa maigizo
 

Attachments

  • 1440317196395.jpg
    1440317196395.jpg
    30.7 KB · Views: 567
Ulitaka wabebwe kwenye treni?
Fuso fuso wamekuwa ndizi au magunia ya mpunga!!?
Au ngombe jamani haki za binaadamu ccm ziangaliyeni jamani watu wanajazwa kama maviroba kwenye fuso!!!
 
We jamaa unanikosha sana, kwa jinsi ulivyo-change. I wish umehama na watu wa kutosha, hongera sana.

Unataka huo mkutano wahutubie mawe? Waache wafanye siasa zao.

CCM bila kubeba watu kwenye malori hawapati hadhira!!

Tunawasubiri kwenye Sanduku la kura!!
 
Kwa wataalamu wa photography interpretation hii picha si ya jangwani na wala si ya leo na pia hapa si Dar ..mmechemka mbaya sana team Lowassa
 
View attachment 279375
Huu ni uhuni ulipitiliza. We Kova upo wapi na jeshi lako la polisi? Si wewe uliyesema jeshi la Polisi limepiga marufuku vyama vya siasa kubeba watu kwenye malori? Au hawa wanaopandishwa kwenye malori nchi nzima kuja jangwani kama picha inavyoonyesha ni KUKU? Tuambie sasa au umma wa nchi hii ifanye kazi ya trafiki ya kusimamisha malori haya na kuwatimua KUKU waliopandishwa!! Tafadhali KOVA na serikali ya Kikwete, nchi hii ya Tanzania ni yetu sote. Msituletee machafuko siku ya kwanza tu ya kuanza kampeni. Kama mmeshindwa uongozi kaeni kando mapema na uchaguzi wa Oktoba hauna haja kufanyika maana sasa ni dhahiri CCM na serikali yake dhaifu mno imeshindwa kuongoza nchi. Tuipe nchi chama mbadala bila kupoteza fedha za kugharamia shughuli za uchaguzi.
 
Fuso fuso wamekuwa ndizi au magunia ya mpunga!!?
Au ngombe jamani haki za binaadamu ccm ziangaliyeni jamani watu wanajazwa kama maviroba kwenye fuso!!!

Kwani wanalazimishwa? Ukiona watu wanakubali kupanda humo basi ujue wana mapenzi ya dhati na chama chao.
 
Jamani bila kufanya hivyo mlitaka iweje? Mkulu mwenyewe anadhani pengine wataisha na kubaki yeye na Makomeo yake tuu,
ImageUploadedByJamiiForums1440317700.913652.jpg
 
Back
Top Bottom