Wick
JF-Expert Member
- Dec 19, 2012
- 8,312
- 12,200
Wakati huo Musk kaja na Tofali za bei nafuu, huyu jamaa kama bhakhressa wa ulaya sasa! kila sehemu anataka haribia biashara watu!.[emoji23]Ila asikosee, maana itakula kwake..
Wakati huo Musk kaja na Tofali za bei nafuu, huyu jamaa kama bhakhressa wa ulaya sasa! kila sehemu anataka haribia biashara watu!.[emoji23]Ila asikosee, maana itakula kwake..
[emoji3] [emoji3] huyo Lilith aliitwa hakuitika?Ningewauliza na kiburi cha Lilith ila mlishanijibu hamfikirii nje ya Bible!..
Alimgomea vingi Adam, kikubwa Pozi la kuliwa tunda, inawezekana ndo wa kwanza kukijua kibamia kikoje baada ya kumegwa na Lucifer!..[emoji3] [emoji3] huyo Lilith aliitwa hakuitika?
Ukisikia stori za kusadikika ndio hiziAlimgomea vingi Adam, kikubwa Pozi la kuliwa tunda, inawezekana ndo wa kwanza kukijua kibamia kikoje baada ya kumegwa na Lucifer!..
We kufa tu ni haki yako mkuu kikatiba, Kijamii na kidini!.. Unadhani nitakubishia basi!?..Ukisikia stori za kusadikika ndio hizi
Mpaka kufa sitaamini eti lusifer alifanya ngono na huyu mwanamke
Tatizo letu tunalitafsiri tunda kama starehe tu
Mimi sijakwambia naamini Adam na hawa ndio binadamu wa kwanzaWe kufa tu ni haki yako mkuu kikatiba, Kijamii na kidini!.. Unadhani nitakubishia basi!?..
Ila tambua kwa ubishi wako, kuna elimu kibao utazikosa!. Leo unaamini Adam na Eva ndio watu wa kwanza, nikiulizaBiblia ndani yake ina story za kusadikika, ushawahi sikia au ona Punda kaongea!?, Mungu alipopigwa na Yakobo nguvu zake aliacha wapi!?..
- Uovu Kaini alijifunzia wapi utanijibu?..
- kwanini Kaini aliomba ulinzi wa Mungu wa mataifa wakimuona wasije wakamuua?.
- Je hao wa Mataifa walitoka wapi ikiwa walizaliwa yeye na Abeli tu wakubwa!?.
- Kwanini shetani alimtumia nyoka toka viumbe vyote utanijibu!?.
- Kwanini Mungu aliweka mti ikiwa anajua Adam angekuja kaidi utanijibu!?.
Kufa tu sitakuzuia mkuu!.
kwanini usiamini wakati biblia inasema hivyo!?.. Umeanza kengeuka sio!?Mimi sijakwambia naamini Adam na hawa ndio binadamu wa kwanza
Pia inawezekana watoto walizaa na mama zao na wababa walizaa na binti zao yote inawezekana
Kwa kaini Sote tunajifunza ni wivu ulimfanya amuue abeli
Sijaikata ndio mwisho wake huombna imeisha ki mauza uza dizain kama umeikatia katikat io stor
Biblia inasema Mungu aliumba mwanaume Kisha baadae mwanamkekwanini usiamini wakati biblia inasema hivyo!?.. Umeanza kengeuka sio!?
UNASOMA BIBLIA GANI HIYO!?Biblia inasema Mungu aliumba mwanaume Kisha baadae mwanamke
Wakati huyo mwanaume anaumbwa aliwekwa huko edeni upande wa mashariki wakati huo kaini hayupo wala Abeli hayupo kwa hiyo ilipita miaka mingi sana mpaka adamu na hawa wanapokuja kufukuzwa katika bustani la edeni na huenda wakati wanafukuzwa kila mtu alienda na njia yake kama ni kuja kuonana ilikuwa Baada ya miaka mingi sana ndipo kaini akazaliwa
Unapoisoma Biblia usichukulie papo kwa hapoUNASOMA BIBLIA GANI HIYO!?
Mkuu biblia imesema vizuri huo uzuri wake aliotaka kuwaonesha ni uzuri wa uso sio tamuu.Mfalme(mumewe) alitaka aje kuonyesha uzuri wake mbele ya wageni wake (aje uchi watu waone tamuu - Esta 1:10–11).
Wick anataka kugeuza boga kuwa parachichiMkuu biblia imesema vizuri huo uzuri wake aliotaka kuwaonesha ni uzuri wa sura sio tamuu.
Esta 1:11 inasema
"11 wamlete Vashti, malkia, mbele ya mfalme, amevaa taji ya kifalme; ili kuwaonyesha watu na maakida uzuri wake, maana alikuwa mzuri wa uso."
Anachangamsha jukwaa kidogo.Wick anataka kugeuza boga kuwa parachichi
Mkuu biblia kuna maneno imetumia 'soft touch' kuyaelezea. Hata ukitumia customary laws za persian wakati huo unakuja kukuta Mfalme alichohitaji sio tu waone sura ya malkia sababu walikuwa wanaiona toka katekwa Babylonia mpaka alipoolewa!.Mkuu biblia imesema vizuri huo uzuri wake aliotaka kuwaonesha ni uzuri wa uso sio tamuu.
Esta 1:11 inasema
"11 wamlete Vashti, malkia, mbele ya mfalme, amevaa taji ya kifalme; ili kuwaonyesha watu na maakida uzuri wake, maana alikuwa mzuri wa uso."
Tabia zote za mwanamke zimetoka kwa eva kama zilivyotabia za mwanaume na Adam nyoka hazai churaKwa Eva sio kiburi Bali alidanganywa akadanganyika
Sifikirii kama kudanganywa ni kiburi
Namwelewa kabishi sanaAnachangamsha jukwaa kidogo.
Sasa kama walishamuona kulikuwa na haja gani kumleta mbele za watu kumtambulishaMkuu biblia kuna maneno imetumia 'soft touch' kuyaelezea. Hata ukitumia customary laws za persian wakati huo unakuja kukuta Mfalme alichohitaji sio tu waone sura ya malkia sababu walikuwa wanaiona toka katekwa Babylonia mpaka alipoolewa!.
Mfalme alipokuwa kalewa kwa wiki nzima hakuwa kwenye akili yake na ndio maana akaamua kuwa entertain wageni wake kwa kumtaka Malkia aje mbele yao kuonyesha uzuri wake in other words "aonyeshe umbo lake" hivi kwa lugha simple tu nikuulize unajua kwanini baada ya kutokwa na ulevi alianza Kujuta alichokuwa kafanya!?..