Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,972
- 22,932
Unahitaji msaada wa kinabii ili ujue kuwa kudanganywa + kutotii maagizo ni sawa na kiburi tu
Nimewapa swali dogo unahisi kwanini alijuta baada ya kuwa soba!?.. Hivi unaijua historia ya Malkia Vashti lakini!?.. Ooh kwa vile unatumia biblia kama reference hutaijua Vashti ni nani na katoka wapi sababu hajaelezewa!..Sasa kama walishamuona kulikuwa na haja gani kumleta mbele za watu kumtambulisha
Kumbuka ilikuwa ni sherehe kubwa aliifanya mfalme ahasuero akamwalika kila mtu mkubwa kwa mdogo katika mji wa Susa na hii karamu ilichukua muda wa siku saba
Hiyo ni kawaida unapokaa mbali na kitu ulichokizoea hapo ndipo utakapouona umuhimu wake na ndio maana alitaka kumrudia lakini wazee wa ushauri wakamtaka aoe mwingineNimewapa swali dogo unahisi kwanini alijuta baada ya kuwa soba!?.. Hivi unaijua historia ya Malkia Vashti lakini!?.. Ooh kwa vile unatumia biblia kama reference hutaijua Vashti ni nani na katoka wapi sababu hajaelezewa!..
Historia ya huyu mwanamke ninayo yote ngoja niiwekeNimewapa swali dogo unahisi kwanini alijuta baada ya kuwa soba!?.. Hivi unaijua historia ya Malkia Vashti lakini!?.. Ooh kwa vile unatumia biblia kama reference hutaijua Vashti ni nani na katoka wapi sababu hajaelezewa!..
Rudi kasome kama council of seven ndio ilimshauri hilo wazo!.. nikikwambia hujui unachoongelea unabishaHiyo ni kawaida unapokaa mbali na kitu ulichokizoea hapo ndipo utakapouona umuhimu wake na ndio maana alitaka kumrudia lakini wazee wa ushauri wakamtaka aoe mwingine
Ukishindwa nenda Researchgate kajaribu ifatilia.Historia ya huyu mwanamke ninayo yote ngoja niiweke
Kwa sheria zao ilikuwa haiwezekani kumrudia hata angefanya nini. Sheria ikishawekwa hata Mfalme hawezi ivunja ndio maana unaona Daniel alitupwa kwenye simba, Esta lipewa muhuri asiitengue sheria ya kuwaua wayahudi ila atunge sheria nyingine akaja na Kila myahudi ajilinde, unadhani angeshindwa weka sheria hakuna kuua myahudi!?..Hiyo ni kawaida unapokaa mbali na kitu ulichokizoea hapo ndipo utakapouona umuhimu wake na ndio maana alitaka kumrudia lakini wazee wa ushauri wakamtaka aoe mwingine
Hili siwezi kukubaliana na wewe tuseme haya ni mawazo yakoEdenkimario na Titicomb mkisoma hivyo vitabu mtaona kihistoria kabla ya kwenda vitani mfalme alikuwa anawaandalia sherehe wanajeshi wake ili kuwatia morale. Na pia wakati wa kulewa ilitakiwa watoke wake wote ndani ya ukumbi then wanaingia mahawara (concubines) hawa ndio wangeonyesha mambo ya 'kishenzi' kwenye sherehe!.
Kilichotokea Mfalme akavunja protocol kwa kuamua kumuita mke wake malkia vashti ndio aje kuonyesha 'ushenzi' huo, na Malkia akaamua kurisk kila kitu akijua kabisa anaweza kuuliwa lakini akagoma kwenda kuonyesha mwili wake mbele ya wanaume walevi!.
Kingine wale mabikra waliokuwa wanaliwa na mfalme walikuwa wanageuka kuwa hawara zake ila yule atakaye chaguliwa ndio anakuwa Malkia!.
- wick
King “Ahasuerus” is known by secular historians by his Greek name Xerxes. And we know a lot about him… Xerxes was famous for his wars with Greece.Hili siwezi kukubaliana na wewe tuseme haya ni mawazo yako
Hii sherehe ya ahasuero alijisikia tu kuiandaa katika mwaka wa tatu wa utawala wake ili kufurahi pamoja na wakubwa na wadogo katika jiji kuu la Susa
Hapo hakukuwa na jeshi linaenda vitani mkuu
Ilikuwa ni sherehe ya kuonyesha ufahari wake tu kama mfalme katika utawala wake
Wakati fulani biblia inaeleweka zaidi maana ya vitu fulani vilivyo andikwa kama ikisomwa pamoja na vitabu vya kihistoria vya secular ambavyo huelezea mengi na mazingira halisi ya wakati husika.King “Ahasuerus” is known by secular historians by his Greek name Xerxes. And we know a lot about him… Xerxes was famous for his wars with Greece.
His father, Darius, had died in battle at the hands of the Greeks and he wanted to avenge his death. His army numbered 2 million men, and his navy consisted of 1200 warships. He fought the Spartans and launched an attack on Athens After several initial victories, Xerxes was ultimately defeated and returned to Persia.
John Phillips provides an unflattering summation of Xerxes’ life. “(He was) a tyrannical despot, domineering in temper, ruthless in the exercise of his power, grandiose in his schemes and ambitions, derelict in his sensuality.” The Greek historian, Herodotus, called Xerxes “incompetent and corrupt.”
The story of Esther begins in the year 438 BC, which chronologically places it between Ezra 6 and 7 – between the return of Zerubbabel and that of Ezra.
King Xerxes was organizing for war “when he showed the riches of his glorious kingdom and the splendor of his excellent majesty for many days, 180 days in all.”
Between chapters 1 and 2 four years elapse. And they’re tough years for King Ahasuerus. He goes to battle with the Greeks and returns home in defeat. At the Battle of Marathon the Spartans stop his troops, and sink 200 of his ships.
He returns to Shushan battered and beaten. He looks forward to forgetting his miseries, and cuddling with his wife when he remembers what he did to Vashti.
And in Persia when a king uttered a decree it was irrevocable. Even the king himself couldn’t recant an order once given. This is why Xerxes’ father, Darius, had to throw Daniel in the lion’s den. He couldn’t revoke his own decree. Ahasuerus can’t bring back Vashti, so he decides to remarry...
Kuhusu mahawara, jamaa akaendelea sema;
“In the evening she went, and in the morning she returned to the second house of the women, to the custody of Shaashgaz, the king's eunuch who kept the concubines. She would not go in to the king again unless the king delighted in her and called for her by name.” Each girl had one shot to make an impression.
All the girls remained the king’s concubine, but only one was made queen.
Huyu kachukua kitabu kwenye biblia kinaitwa Ester kabadirisha majina yani flow ni ile ile na kila kitu kasoro majinaChanzo cha habari yako
King Leonidas alimwambia Xerxes, "the world will know that free men stood against a tyrant, that few stood against many, and before this battle was over, even a god-king can bleed"King “Ahasuerus” is known by secular historians by his Greek name Xerxes. And we know a lot about him… Xerxes was famous for his wars with Greece.
His father, Darius, had died in battle at the hands of the Greeks and he wanted to avenge his death. His army numbered 2 million men, and his navy consisted of 1200 warships. He fought the Spartans and launched an attack on Athens After several initial victories, Xerxes was ultimately defeated and returned to Persia.
John Phillips provides an unflattering summation of Xerxes’ life. “(He was) a tyrannical despot, domineering in temper, ruthless in the exercise of his power, grandiose in his schemes and ambitions, derelict in his sensuality.” The Greek historian, Herodotus, called Xerxes “incompetent and corrupt.”
The story of Esther begins in the year 438 BC, which chronologically places it between Ezra 6 and 7 – between the return of Zerubbabel and that of Ezra.
King Xerxes was organizing for war “when he showed the riches of his glorious kingdom and the splendor of his excellent majesty for many days, 180 days in all.”
Between chapters 1 and 2 four years elapse. And they’re tough years for King Ahasuerus. He goes to battle with the Greeks and returns home in defeat. At the Battle of Marathon the Spartans stop his troops, and sink 200 of his ships.
He returns to Shushan battered and beaten. He looks forward to forgetting his miseries, and cuddling with his wife when he remembers what he did to Vashti.
And in Persia when a king uttered a decree it was irrevocable. Even the king himself couldn’t recant an order once given. This is why Xerxes’ father, Darius, had to throw Daniel in the lion’s den. He couldn’t revoke his own decree. Ahasuerus can’t bring back Vashti, so he decides to remarry...
Kuhusu mahawara, jamaa akaendelea sema;
“In the evening she went, and in the morning she returned to the second house of the women, to the custody of Shaashgaz, the king's eunuch who kept the concubines. She would not go in to the king again unless the king delighted in her and called for her by name.” Each girl had one shot to make an impression.
All the girls remained the king’s concubine, but only one was made queen.
Biblia bila kuihusisha na vitabu vingine unaweza usipate clear picture sababu kuna baadhi ya sehemu waandishi wake walikuwa slight or very bias!..Wakati fulani biblia inaeleweka zaidi maana ya vitu fulani vilivyo andikwa kama ikisomwa pamoja na vitabu vya kihistoria vya secular ambavyo huelezea mengi na mazingira halisi ya wakati husika.
Thanks mkuu kwa kipande hiki.
Esta ndio moja ya vitabu pekee Mungu hajaongelewa ndani yake!. Na Esta kuwaokoa kutoka kuuliwa wayahudi wote kwa kuweka decree wajilinde ndio ikatokea sikukuu ya kiyahudi wanaiadhimisha hadi leo.King Leonidas alimwambia Xerxes, "the world will know that free men stood against a tyrant, that few stood against many, and before this battle was over, even a god-king can bleed"
Xerxes alikuwa anataka tawala Ugiriki akawa amechukua falme nyingi za Ugiriki akiwa na jeshi moja matata sana ila akaja kukutana na King Leonidas ambaye alikuwa na jeshi la watu 300 tu, alimsumbua sana mpaka aliposalitiwa akazungukwa na kuawa lakini morali ilisambaa kwa falme nyingine ambazo zilikuwa zinamuogopa Xerxes baada ya kuona kama watu 300 wamekomaa hivi kumbe huyu anaweza kupigwa tukiungana.
Basi sawa hakuna taabuBiblia bila kuihusisha na vitabu vingine unaweza usipate clear picture sababu kuna baadhi ya sehemu waandishi wake walikuwa slight or very bias!..
Inabidi muelewe Vashti hakuleta kiburi alitetea thamani yake!.
Thanks tumeelewana!.