Nas Jr
JF-Expert Member
- May 15, 2018
- 7,918
- 8,713
haha
Sasa nimeelewa kumbe towashi maana yake ni kuhasiwaKwenye biblia. Towashi ni mwanaume aliyehasiwa. Miongoni mwa watumwa walichaguliwa baadhi ya wanaume kuwalinda wake wa mabwanyenye. Hawa walihasiwa kuwaondolea uwezo wa kuwaingilia kimwili wake za mabwana hao. Ukizingatia ukweli kuwa mabwanyenye hawa walioa wake wengi ambao ilikuwa muhali kuwahudumia kingono kiufanisi na kwa wakati. Hawa matowashi wangeachwa na urijali wao wangepata urahisi 'kuwanajisi' wake zao ambao waliachwa muda mrefu na mshawasha
[emoji3] [emoji3] wickBaada ya Malkia Vashti kufukuzwa na kutotakiwa kurudi Ikulu, Ikapita kipindi Mfalme hasira zimepoa akaanza mtamani arudi. Ila kwa vile ilishawekwa sheria asije samehewa kabisa, ikabidi wafanyakazi waje na Tamasha la Urembo kumchagulia Mfalme mke mzuri ndio anakuja patikana Esta/Ester. Kumbuka hili 'shindano la urembo' lilikuwa ni mabikra wanaenda kulala na Mfalme usiku mmoja mpaka atakapopata 'Papuchi' tamu!.
Malkia Vashti alikuwa ni mtoto wa Mfalme Belshazzar wa Babylonia, iliyovamiwa na hawa wa pershi (Daniel 5). Mfalme Belshazzar alipouwawa, alichukuliwa mtoto wake wa kike akaozeshwa kwa huyo Mfalme.
Kisa cha kukataa ni sababu alikulia mazingira ya ustaarabu wa kifalme na Mfalme(mumewe) alitaka aje kuonyesha uzuri wake mbele ya wageni wake (aje uchi watu waone tamuu - Esta 1:10–11).
Hakikuwa kiburi!
Kichaa aisome hiiNimependa hapo ILIKUWA KAWAIDA YA MFALME KUTAKA USHAURI KABLA HAJACHUKUA MAAMUZI.
Jamani watu wajifunze kutaka ushauri kama viongozi ili kuepuka kukurupuka
Mtu wa utani mwingi huyu wick kaongezea chumvi tuHii ni tafsiri yako. La sivyo toa reference kwa kuainisha mistari inayozungumzia hayo
La Mswati yeye si wanapita tu akimpenda anamchagua lakini lile la Esta kwanza lilifanyika mwaka mzima halafu wanalala na Mfalme mpaka alipokuja onja Esta ndio akampenda kuliko wengine!.. Soma hii[emoji3] [emoji3] wick
Kwa hiyo halikuwa shindano kama lile la king mswati kule swazland
Ni kama utani lakini story ndio ilivyokuwa Mfalme alionja Papuchi za mabikra miezi 12 na papuchi ya Esta ilionjwa mwezi wa 10 ina maana kuna papuchi 60 ziliacha kuonjwa!.. Malkia vashti hakuwa na kosa ila ni ukatili wa Mfalme ndio umefanya akaonekana na kosa.Mtu wa utani mwingi huyu wick kaongezea chumvi tu
Lakini wick imeandikwa wapewe vifaa na mafuta ili wajirembeshe zaidiLa Mswati yeye si wanapita tu akimpenda anamchagua lakini lile la Esta kwanza lilifanyika mwaka mzima halafu wanalala na Mfalme mpaka alipokuja onja Esta ndio akampenda kuliko wengine!.. Soma hii
ESTA 2:1-4
1 Baada ya hayo, hasira yake mfalme Ahasuero ilipotulia, alimkumbuka Vashti, na vile alivyotenda, na yale yaliyoamriwa juu yake.
2 Basi watumishi wa mfalme waliomhudumu walimwambia, Mfalme na atafutiwe mabikira vijana wazuri;
3 naye mfalme aweke wasimamizi katika majimbo yote ya ufalme wake, ili wakusanye pamoja mabikira vijana wazuri wote waende Shushani ngomeni, kwenye nyumba ya wanawake mikononi mwa Hegai, msimamizi-wa-nyumba wa mfalme, mwenye kuwalinda wanawake; tena wapewe vifaa vya utakaso.
4 Naye yule msichana atakayempendeza mfalme na awe malkia badala ya Vashti. Neno hilo likampendeza mfalme, naye akafanya hivyo.
Esta alibahatika kupendwa na Hegai yule muandalizi wao ambaye alimpendelea kwa vitu kibao mpaka akanona!.. Refer
ESTA 2:8-9
8 Basi ikawa, wakati iliposikiwa amri ya mfalme na mbiu yake, wasichana wengi wakakusanyika huko Shushani ngomeni mikononi mwa Hegai; Esta naye aliingizwa katika nyumba ya mfalme, mikononi mwa Hegai mwenye kuwalinda wanawake.
9 Yule mwanamwali akampendeza, akapokea fadhili kwake; naye akampa upesi vifaa vya utakaso, pamoja na posho zake, na vijakazi saba walio haki yake, wa nyumbani mwa mfalme. Pia akamhamisha yeye na vijakazi wake akawaweka mahali pazuri katika nyumba ya wanawake.
Kuhusu Mfalme kuonja Papuchi mwaka mzima kila siku usiku, wakati huo mwali kapewa 'zana' zote atakazohitaji akashindwe yeye tu huko kitandani. soma;
ESTA 2:12-15
12 Basi ilipowadia zamu yake mwanamwali mmojawapo aingie kwa mfalme Ahasuero, hali akiisha kufanyiwa sawasawa na sheria ya wanawake miezi kumi na miwili; yaani, ndivyo zilivyotimia siku zao za utakaso, miezi sita kwa mafuta ya manemane, na miezi sita kwa manukato na vifaa vya utakaso wa wanawake.
13 mwanamwali huingia hivyo kwa mfalme; kila akitakacho hupewa kwenda nacho kutoka katika nyumba ya wanawake ili kuingia katika nyumba ya mfalme.
14 Huenda jioni, na asubuhi hurudi nyumba ya pili ya wanawake, mikononi mwa Shaashgazi, msimamizi wake mfalme, mwenye kuwalinda masuria. Wala haingii tena kwa mfalme, isipokuwa amempendeza mfalme, naye akaitwa kwa jina.
15 Hata ilipowadia zamu yake Esta, binti Abihaili, mjomba wake Mordekai, ambaye alimtwaa kuwa binti yake, ili aingie kwa mfalme, yeye hakutaka kitu, ila vile vilivyoagizwa na Hegai, msimamizi wake mfalme, mwenye kuwalinda wanawake. Naye huyu Esta alikuwa amepata kibali machoni pa wote waliomwona.
Na ndio kutokea hapo ndio Mfalme akampenda Esta zaidi ya wengine. Kumbuka Esta alienda onjwa 'Utamu' mwezi wa 10!.
ESTA 2:16-17
16 Basi Esta alipelekwa kwa mfalme Ahasuero, katika nyumba ya kifalme, mwezi wa kumi, ndio mwezi wa Tebethi, mwaka wa saba wa kumiliki kwake.
17 Mfalme akampenda Esta kuliko wanawake wote, naye akapata neema na kibali machoni pake kuliko mabikira wote; basi akamtia taji ya kifalme kichwani pake, akamfanya awe malkia badala ya Vashti.
Sasa jana kuna mlofwa fulani soine nilipoileta jana akaja kuipinga bila fatiria wakati ndani yake niliweka reference za esta na vashti.
Na sidhani kama mordekai angekubali binti aliyemlea mwenyewe esta baada ya wazazi wake kufa akachezewe chezewe na ahasuero kama shindano lilikuwa ni kulala na kila bintiLa Mswati yeye si wanapita tu akimpenda anamchagua lakini lile la Esta kwanza lilifanyika mwaka mzima halafu wanalala na Mfalme mpaka alipokuja onja Esta ndio akampenda kuliko wengine!.. Soma hii
ESTA 2:1-4
1 Baada ya hayo, hasira yake mfalme Ahasuero ilipotulia, alimkumbuka Vashti, na vile alivyotenda, na yale yaliyoamriwa juu yake.
2 Basi watumishi wa mfalme waliomhudumu walimwambia, Mfalme na atafutiwe mabikira vijana wazuri;
3 naye mfalme aweke wasimamizi katika majimbo yote ya ufalme wake, ili wakusanye pamoja mabikira vijana wazuri wote waende Shushani ngomeni, kwenye nyumba ya wanawake mikononi mwa Hegai, msimamizi-wa-nyumba wa mfalme, mwenye kuwalinda wanawake; tena wapewe vifaa vya utakaso.
4 Naye yule msichana atakayempendeza mfalme na awe malkia badala ya Vashti. Neno hilo likampendeza mfalme, naye akafanya hivyo.
Esta alibahatika kupendwa na Hegai yule muandalizi wao ambaye alimpendelea kwa vitu kibao mpaka akanona!.. Refer
ESTA 2:8-9
8 Basi ikawa, wakati iliposikiwa amri ya mfalme na mbiu yake, wasichana wengi wakakusanyika huko Shushani ngomeni mikononi mwa Hegai; Esta naye aliingizwa katika nyumba ya mfalme, mikononi mwa Hegai mwenye kuwalinda wanawake.
9 Yule mwanamwali akampendeza, akapokea fadhili kwake; naye akampa upesi vifaa vya utakaso, pamoja na posho zake, na vijakazi saba walio haki yake, wa nyumbani mwa mfalme. Pia akamhamisha yeye na vijakazi wake akawaweka mahali pazuri katika nyumba ya wanawake.
Kuhusu Mfalme kuonja Papuchi mwaka mzima kila siku usiku, wakati huo mwali kapewa 'zana' zote atakazohitaji akashindwe yeye tu huko kitandani. soma;
ESTA 2:12-15
12 Basi ilipowadia zamu yake mwanamwali mmojawapo aingie kwa mfalme Ahasuero, hali akiisha kufanyiwa sawasawa na sheria ya wanawake miezi kumi na miwili; yaani, ndivyo zilivyotimia siku zao za utakaso, miezi sita kwa mafuta ya manemane, na miezi sita kwa manukato na vifaa vya utakaso wa wanawake.
13 mwanamwali huingia hivyo kwa mfalme; kila akitakacho hupewa kwenda nacho kutoka katika nyumba ya wanawake ili kuingia katika nyumba ya mfalme.
14 Huenda jioni, na asubuhi hurudi nyumba ya pili ya wanawake, mikononi mwa Shaashgazi, msimamizi wake mfalme, mwenye kuwalinda masuria. Wala haingii tena kwa mfalme, isipokuwa amempendeza mfalme, naye akaitwa kwa jina.
15 Hata ilipowadia zamu yake Esta, binti Abihaili, mjomba wake Mordekai, ambaye alimtwaa kuwa binti yake, ili aingie kwa mfalme, yeye hakutaka kitu, ila vile vilivyoagizwa na Hegai, msimamizi wake mfalme, mwenye kuwalinda wanawake. Naye huyu Esta alikuwa amepata kibali machoni pa wote waliomwona.
Na ndio kutokea hapo ndio Mfalme akampenda Esta zaidi ya wengine. Kumbuka Esta alienda onjwa 'Utamu' mwezi wa 10!.
ESTA 2:16-17
16 Basi Esta alipelekwa kwa mfalme Ahasuero, katika nyumba ya kifalme, mwezi wa kumi, ndio mwezi wa Tebethi, mwaka wa saba wa kumiliki kwake.
17 Mfalme akampenda Esta kuliko wanawake wote, naye akapata neema na kibali machoni pake kuliko mabikira wote; basi akamtia taji ya kifalme kichwani pake, akamfanya awe malkia badala ya Vashti.
Sasa jana kuna mlofwa fulani soine nilipoileta jana akaja kuipinga bila fatiria wakati ndani yake niliweka reference za esta na vashti.
Huu mstari umeusoma!?.Lakini wick imeandikwa wapewe vifaa na mafuta ili wajirembeshe zaidi
Tangu lini kujirembesha kukawa kulala nao
ESTA 2:10-11Na sidhani kama mordekai angekubali binti aliyemlea mwenyewe esta baada ya wazazi wake kufa akachezewe chezewe na ahasuero kama shindano lilikuwa ni kulala na kila binti
20 Esta alikuwa hajadhihirisha jamaa yake wala kabila yake, kama vile Mordekai alivyomwagiza; kwa maana Esta alikuwa akiyashika maagizo ya Mordekai, vile vile kama wakati alipolelewa naye.Sifa za esta ambazo Biblia inatusimulia alikuwa msichana mzuri wa sura na umbo hii ilitosha kumfanya mfalme adate lakini tunaona yule mlinzi hegai kama asingekuwa amehasiwa basi angelala na esta maana alifurahishwa nae hata akampendelea kuliko wengine kwa kumpa mafuta na chakula maalum
I rest my case here mate!..Na Biblia haituambii alifanya nao mapenzi walipokuwa wakipelekwa mmoja mmoja kwa mfalme
kweli yaani hata wakiwa wanasoma habari inayohusu ajali huwa siamini mpaka niangalie ITVNdugu yangu ukisikia habari yoyote chanzo ni TBC ibabidi ujiulize mara mbili.
Sawa hakutaja kabila kwa sababu mordekai alihofia usalama wa esta kama angesema anatoka kabila la benyamini angeonekana ni mtumwa na mfalme haruhusiwi kuoa watumwaESTA 2:10-11
10 Walakini Esta hakudhihirisha kabila yake wala jamaa yake, kwa maana ndivyo alivyomwagiza Mordekai asiwadhihirishe.
11 Na yule Mordekai akawa akitembea kila siku mbele ya ua wa nyumba ya wanawake, ili ajue hali yake Esta, na hayo yatakayompata.
Hapo vipi!?..
Kama ingekuwa hivyo hata cheo cha uwaziri mkuu haman asingepewa maana alikuwa bado hajawa waziri mkuuNakubaliana nawe kuhusu kifo hicho.
Ila kwa akili ya Hamani nafikiria kuwa alimchukua Vashti na kumfanya mchepuko wake , uasi ni pamoja na kusalandia ex wa mfalme.
Ninewaza tu[emoji2] [emoji2]