Malkia Vashti chanzo cha kiburi kwa wanawake duniani

Malkia Vashti chanzo cha kiburi kwa wanawake duniani

Ukicheka na mwanamke atakupanda kwa dharau na jeuri!kuna jamaa huwa anatukanwa na mke wake UNAFIIIRWWA WEE MWANAUME MSSSEENGE SANA!
nikamwambia we boya mi mke wangu akinisonya tuu namkata kismi nampa akitafune
 
Kwenye biblia. Towashi ni mwanaume aliyehasiwa. Miongoni mwa watumwa walichaguliwa baadhi ya wanaume kuwalinda wake wa mabwanyenye. Hawa walihasiwa kuwaondolea uwezo wa kuwaingilia kimwili wake za mabwana hao. Ukizingatia ukweli kuwa mabwanyenye hawa walioa wake wengi ambao ilikuwa muhali kuwahudumia kingono kiufanisi na kwa wakati. Hawa matowashi wangeachwa na urijali wao wangepata urahisi 'kuwanajisi' wake zao ambao waliachwa muda mrefu na mshawasha
Aiseee "...
 
Ukicheka na mwanamke atakupanda kwa dharau na jeuri!kuna jamaa huwa anatukanwa na mke wake UNAFIIIRWWA WEE MWANAUME MSSSEENGE SANA!
nikamwambia we boya mi mke wangu akinisonya tuu namkata kismi nampa akitafune
Kwa mwanamke wako ni lazima kuwa serious kwenye mambo ya msingi la sivyo itakula kwako
 
La Mswati yeye si wanapita tu akimpenda anamchagua lakini lile la Esta kwanza lilifanyika mwaka mzima halafu wanalala na Mfalme mpaka alipokuja onja Esta ndio akampenda kuliko wengine!.. Soma hii
ESTA 2:1-4
1 Baada ya hayo, hasira yake mfalme Ahasuero ilipotulia, alimkumbuka Vashti, na vile alivyotenda, na yale yaliyoamriwa juu yake.
2 Basi watumishi wa mfalme waliomhudumu walimwambia, Mfalme na atafutiwe mabikira vijana wazuri;
3 naye mfalme aweke wasimamizi katika majimbo yote ya ufalme wake, ili wakusanye pamoja mabikira vijana wazuri wote waende Shushani ngomeni, kwenye nyumba ya wanawake mikononi mwa Hegai, msimamizi-wa-nyumba wa mfalme, mwenye kuwalinda wanawake; tena wapewe vifaa vya utakaso.
4 Naye yule msichana atakayempendeza mfalme na awe malkia badala ya Vashti. Neno hilo likampendeza mfalme, naye akafanya hivyo.

Esta alibahatika kupendwa na Hegai yule muandalizi wao ambaye alimpendelea kwa vitu kibao mpaka akanona!.. Refer
ESTA 2:8-9
8 Basi ikawa, wakati iliposikiwa amri ya mfalme na mbiu yake, wasichana wengi wakakusanyika huko Shushani ngomeni mikononi mwa Hegai; Esta naye aliingizwa katika nyumba ya mfalme, mikononi mwa Hegai mwenye kuwalinda wanawake.
9 Yule mwanamwali akampendeza, akapokea fadhili kwake; naye akampa upesi vifaa vya utakaso, pamoja na posho zake, na vijakazi saba walio haki yake, wa nyumbani mwa mfalme. Pia akamhamisha yeye na vijakazi wake akawaweka mahali pazuri katika nyumba ya wanawake.

Kuhusu Mfalme kuonja Papuchi mwaka mzima kila siku usiku, wakati huo mwali kapewa 'zana' zote atakazohitaji akashindwe yeye tu huko kitandani. soma;
ESTA 2:12-15
12 Basi ilipowadia zamu yake mwanamwali mmojawapo aingie kwa mfalme Ahasuero, hali akiisha kufanyiwa sawasawa na sheria ya wanawake miezi kumi na miwili; yaani, ndivyo zilivyotimia siku zao za utakaso, miezi sita kwa mafuta ya manemane, na miezi sita kwa manukato na vifaa vya utakaso wa wanawake.
13 mwanamwali huingia hivyo kwa mfalme; kila akitakacho hupewa kwenda nacho kutoka katika nyumba ya wanawake ili kuingia katika nyumba ya mfalme.
14 Huenda jioni, na asubuhi hurudi nyumba ya pili ya wanawake, mikononi mwa Shaashgazi, msimamizi wake mfalme, mwenye kuwalinda masuria. Wala haingii tena kwa mfalme, isipokuwa amempendeza mfalme, naye akaitwa kwa jina.
15 Hata ilipowadia zamu yake Esta, binti Abihaili, mjomba wake Mordekai, ambaye alimtwaa kuwa binti yake, ili aingie kwa mfalme, yeye hakutaka kitu, ila vile vilivyoagizwa na Hegai, msimamizi wake mfalme, mwenye kuwalinda wanawake. Naye huyu Esta alikuwa amepata kibali machoni pa wote waliomwona.

Na ndio kutokea hapo ndio Mfalme akampenda Esta zaidi ya wengine. Kumbuka Esta alienda onjwa 'Utamu' mwezi wa 10!.
ESTA 2:16-17
16 Basi Esta alipelekwa kwa mfalme Ahasuero, katika nyumba ya kifalme, mwezi wa kumi, ndio mwezi wa Tebethi, mwaka wa saba wa kumiliki kwake.
17 Mfalme akampenda Esta kuliko wanawake wote, naye akapata neema na kibali machoni pake kuliko mabikira wote; basi akamtia taji ya kifalme kichwani pake, akamfanya awe malkia badala ya Vashti.


Sasa jana kuna mlofwa fulani soine nilipoileta jana akaja kuipinga bila fatiria wakati ndani yake niliweka reference za esta na vashti.

Mimi nilipinga kuwa Ahsusero alitaka Vashti auoneshe ulimbwende wake akiwa uchi...kuhusu Wafalme kulala na bikra ama masuria hilo sio jambo geni ktk Biblia.

Wewe nipe tu mstari unaosema Malkia Vashti alipaswa kuja uchi mbele za Mfalme.
 
Mimi nilipinga kuwa Ahsusero alitaka Vashti auoneshe ulimbwende wake akiwa uchi...kuhusu Wafalme kulala na bikra ama masuria hilo sio jambo geni ktk Biblia.

Wewe nipe tu mstari unaosema Malkia Vashti alipaswa kuja uchi mbele za Mfalme.
Hii ni ya watungaji wanaojifanya wajuaji
Biblia iko wazi kuwa aliitwa ili atambulishwe mbele ya watu kuwa huyu ni malkia na mke wa mfalme akaleta kiburi na dharau
 
Ni kama utani lakini story ndio ilivyokuwa Mfalme alionja Papuchi za mabikra miezi 12 na papuchi ya Esta ilionjwa mwezi wa 10 ina maana kuna papuchi 60 ziliacha kuonjwa!.. Malkia vashti hakuwa na kosa ila ni ukatili wa Mfalme ndio umefanya akaonekana na kosa.
Hebu fikiria tu mtoto wa kifalme ambaye kalelewa aje kuolewa na mfalme, leo aolewe tena kwa nguvu halafu anaitwa aende mbele ya wanajukwaa akawaonyeshe papuchi yake watu karibu 100!.
Hakikuwa kiburi ilikuwa haki yake kufanya alofanya na ndio maana Mfalme alipokuwa sober akaanza kummisi tena.
Soma nilichowaelezea hapo juu, Shunie hearly Sky Eclat Da'Vinci zitto junior Malcom Lumumba hebu mkuje huku!..
What's up cuzin
 
Acha kutetea kiburi wewe.....
Kiburi kilikuwepo kabla ya Varshit hivyo tusimsingizie ex queen wa Ahasuero kuwa ni muasisi wa kiburi cha wanawake.

Eva ndie muasisi wa kiburi kwa kujitenga na Adamu kisha akapiga story na nyoka hadi akadanganywa na kuleta dhambi ulimwenguni.

Mie sitetei kiburi mkuu
 
Kiburi kilikuwepo kabla ya Varshit hivyo tusimsingizie ex queen wa Ahasuero kuwa ni muasisi wa kiburi cha wanawake.

Eva ndie muasisi wa kiburi kwa kujitenga na Adamu kisha akapiga story na nyoka hadi akadanganywa na kuleta dhambi ulimwenguni.

Mie sitetei kiburi mkuu
Kwa Eva sio kiburi Bali alidanganywa akadanganyika
Sifikirii kama kudanganywa ni kiburi
 
Back
Top Bottom