Malkia Kwenye Picha Na Mashujaa

Ndallo

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
7,619
4,292
Siku Malkia alipopiga picha na mashujaa!
Malkia.jpg
 
Mashujaa gani hawa wamevaa sketi halafu hawana hata chupi? Hii ni real au ya kuigiza, huyu wa kulia kwa malkia niaje tena? This is just a photoshop at work.

Kuvaa sketi ni utamaduni wao na wa-scotch wanaume akivaa hyo skirt kwa utamaduni wao havai chupi...,
 
Back
Top Bottom