Duuuh!! aisee!! sijui vijana huwa tunakoswa kitu cha kuandika!!Pamoja na masimango ya muda mrefu kwa Jeshi la Polisi angalau leo hii Wafuasi wa CHADEMA wanatambua umuhimu kwa jeshi hilo. Kama hayajakukuta, huwezi kuona umuhimu wa Polisi. Ila kwa yaliyomkuta Malisa, ana kila sababu ya kulishukuru Jeshi hilo.
Nakupongeza na kumuomba Mwenyezi Mungu akujaalie moyo wa shukrani.
View attachment 527483
Mkuu, kama wewe huoni umuhimu wa kutoa shukrani basi waache wenye moyo huoDuuuh!! aisee!! sijui vijana huwa tunakoswa kitu cha kuandika!!
Sasa hii nayo umeitengeza ukaona inafaa kuwa habari ya kutengenezea andiko??
Haya ndiyo yale ya kuandika hata mtu akipiga chafya
Wewe umeona sio Habari kwanini umeweka komenti??Duuuh!! aisee!! sijui vijana huwa tunakoswa kitu cha kuandika!!
Sasa hii nayo umeitengeza ukaona inafaa kuwa habari ya kutengenezea andiko??
Haya ndiyo yale ya kuandika hata mtu akipiga chafya
Huna jipyaMkuu, kama wewe huoni umuhimu wa kutoa shukrani basi waache wenye moyo huo
Ndo umeandika nini kamanda? Maana unatokwa na povu kwa post hii ya LizaboniOnyesha vyeti jinga wewe. Na mods wanakutetea kwa kutufungia kama wanavotufungia kwa kukemea ujinga wako.
Si ajabu ulikuwa wewe umekuja kumteka, tutajuaje? You might be the one responsible for that! All is possible na hali hii ya chuki iliyopo mioyoni ndani ya jamii hiiMkuu, kama wewe huoni umuhimu wa kutoa shukrani basi waache wenye moyo huo
Pamoja na masimango ya muda mrefu kwa Jeshi la Polisi angalau leo hii Wafuasi wa CHADEMA wanatambua umuhimu wa jeshi hilo. Kama hayajakukuta, huwezi kuona umuhimu wa Polisi. Ila kwa yaliyomkuta kama ilivyotokea kwa Malisa, ana kila sababu ya kutoa shukrani.
Nampongeza na kumuomba Mwenyezi Mungu awajaalie Makamanda wote wa CHADEMA nyoyo za shukrani.
Shukrani hizi zinahitimisha kelele za wapayukaji kutoka mtaa wa Ufipa waliokuwa wanapiga kelele eti Polisi wamevamia na kuzingira nyumba ya Malisa tangu usiku wa manane.
View attachment 527483
Siku hizi umepwaya sana!Mkuu, kama wewe huoni umuhimu wa kutoa shukrani basi waache wenye moyo huo
Polisi wenyewe wanadunguliwa.Pamoja na masimango ya muda mrefu kwa Jeshi la Polisi angalau leo hii Wafuasi wa CHADEMA wanatambua umuhimu wa jeshi hilo. Kama hayajakukuta, huwezi kuona umuhimu wa Polisi. Ila kwa yaliyomkuta kama ilivyotokea kwa Malisa, ana kila sababu ya kutoa shukrani.
Nampongeza na kumuomba Mwenyezi Mungu awajaalie Makamanda wote wa CHADEMA nyoyo za shukrani.
Shukrani hizi zinahitimisha kelele za wapayukaji kutoka mtaa wa Ufipa waliokuwa wanapiga kelele eti Polisi wamevamia na kuzingira nyumba ya Malisa tangu usiku wa manane.
View attachment 527483
Kweli Lizaboni miaka inavyokwenda na ubongo wako unayeyuka. Amka mkuu dunia inasonga na si hile ya decade ago.Duuuh!! aisee!! sijui vijana huwa tunakoswa kitu cha kuandika!!
Sasa hii nayo umeitengeza ukaona inafaa kuwa habari ya kutengenezea andiko??
Haya ndiyo yale ya kuandika hata mtu akipiga chafya