Malisa Godlisten Joseph wa CHADEMA alishukuru Jeshi la Polisi kwa kumuokoa kutoka kwa wavamizi

Lizaboni

JF-Expert Member
Feb 21, 2013
33,852
2,000
Pamoja na masimango ya muda mrefu kwa Jeshi la Polisi angalau leo hii Wafuasi wa CHADEMA wanatambua umuhimu wa jeshi hilo. Kama hayajakukuta, huwezi kuona umuhimu wa Polisi. Ila kwa yaliyomkuta kama ilivyotokea kwa Malisa, ana kila sababu ya kutoa shukrani.

Nampongeza na kumuomba Mwenyezi Mungu awajaalie Makamanda wote wa CHADEMA nyoyo za shukrani.

Shukrani hizi zinahitimisha kelele za wapayukaji kutoka mtaa wa Ufipa waliokuwa wanapiga kelele eti Polisi wamevamia na kuzingira nyumba ya Malisa tangu usiku wa manane.
image.jpg
 
monjozee

Senior Member
Sep 19, 2016
115
500
Pamoja na masimango ya muda mrefu kwa Jeshi la Polisi angalau leo hii Wafuasi wa CHADEMA wanatambua umuhimu kwa jeshi hilo. Kama hayajakukuta, huwezi kuona umuhimu wa Polisi. Ila kwa yaliyomkuta Malisa, ana kila sababu ya kulishukuru Jeshi hilo.

Nakupongeza na kumuomba Mwenyezi Mungu akujaalie moyo wa shukrani.
View attachment 527483
Duuuh!! aisee!! sijui vijana huwa tunakoswa kitu cha kuandika!!

Sasa hii nayo umeitengeza ukaona inafaa kuwa habari ya kutengenezea andiko??

Haya ndiyo yale ya kuandika hata mtu akipiga chafya
 
Lizaboni

JF-Expert Member
Feb 21, 2013
33,852
2,000
Duuuh!! aisee!! sijui vijana huwa tunakoswa kitu cha kuandika!!

Sasa hii nayo umeitengeza ukaona inafaa kuwa habari ya kutengenezea andiko??

Haya ndiyo yale ya kuandika hata mtu akipiga chafya
Mkuu, kama wewe huoni umuhimu wa kutoa shukrani basi waache wenye moyo huo
 
Thegame

JF-Expert Member
Oct 14, 2011
2,127
2,000
Duuuh!! aisee!! sijui vijana huwa tunakoswa kitu cha kuandika!!

Sasa hii nayo umeitengeza ukaona inafaa kuwa habari ya kutengenezea andiko??

Haya ndiyo yale ya kuandika hata mtu akipiga chafya
Wewe umeona sio Habari kwanini umeweka komenti??
 
RUTAGAMBWA

JF-Expert Member
Jun 15, 2017
518
500
Sasa hapo wamemsaidia nn wakati polisi wamefika na kukuta watu wenyewe wameshaondoka kitambo? Kwa wenye akili timamu tunaelewa marisa ana maanisha nini
 
Ngamanya Kitangalala

Verified Member
Sep 24, 2012
422
1,000
Pamoja na masimango ya muda mrefu kwa Jeshi la Polisi angalau leo hii Wafuasi wa CHADEMA wanatambua umuhimu wa jeshi hilo. Kama hayajakukuta, huwezi kuona umuhimu wa Polisi. Ila kwa yaliyomkuta kama ilivyotokea kwa Malisa, ana kila sababu ya kutoa shukrani.

Nampongeza na kumuomba Mwenyezi Mungu awajaalie Makamanda wote wa CHADEMA nyoyo za shukrani.

Shukrani hizi zinahitimisha kelele za wapayukaji kutoka mtaa wa Ufipa waliokuwa wanapiga kelele eti Polisi wamevamia na kuzingira nyumba ya Malisa tangu usiku wa manane.
View attachment 527483
Mnadhulumiana huko
Kisha mnataka ionekane ni siasa
 
jogi

JF-Expert Member
Sep 25, 2010
25,394
2,000
Pamoja na masimango ya muda mrefu kwa Jeshi la Polisi angalau leo hii Wafuasi wa CHADEMA wanatambua umuhimu wa jeshi hilo. Kama hayajakukuta, huwezi kuona umuhimu wa Polisi. Ila kwa yaliyomkuta kama ilivyotokea kwa Malisa, ana kila sababu ya kutoa shukrani.

Nampongeza na kumuomba Mwenyezi Mungu awajaalie Makamanda wote wa CHADEMA nyoyo za shukrani.

Shukrani hizi zinahitimisha kelele za wapayukaji kutoka mtaa wa Ufipa waliokuwa wanapiga kelele eti Polisi wamevamia na kuzingira nyumba ya Malisa tangu usiku wa manane.
View attachment 527483
Polisi wenyewe wanadunguliwa.
Usitake kuwapa haki impasayo MUNGU.

Chadema imewawehusha kabisaaaaa.
 
Francis12

JF-Expert Member
Sep 30, 2016
7,366
2,000
Jeshi la Polisi kama sehemu wamefanya kazi kubwa kuhakikisha usalama wa raia unakuwa salama wanastahili pongezi siyo Polisi wote wanafanya kazi kama wanavyoagizwa wengine wana roho ya utu.
 
blackT

JF-Expert Member
Mar 14, 2017
925
1,000
Duuuh!! aisee!! sijui vijana huwa tunakoswa kitu cha kuandika!!

Sasa hii nayo umeitengeza ukaona inafaa kuwa habari ya kutengenezea andiko??

Haya ndiyo yale ya kuandika hata mtu akipiga chafya
Kweli Lizaboni miaka inavyokwenda na ubongo wako unayeyuka. Amka mkuu dunia inasonga na si hile ya decade ago.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom