Alikuwa amepoteza wazazi wake yeye na rafiki yake walikuwa yatima na hapohapo alikuwa anaomba pesa kwa baba yakeMlipishana darasa, Ila Mungu aliwasaidia baada ya kumaliza std 7 mkaenda shule mojaa...
Mimi pia nilikuwa na bamkubwa kaka rafiki yangu so kusema baba yangu nilimaanisha bamkubwa, labda ningesema baba yangu mzazi hapo ningekuwa wrong.Alikuwa amepoteza wazazi wake yeye na rafiki yake walikuwa yatima na hapohapo alikuwa anaomba pesa kwa baba yake
Pia alikua akuchukua ushauri kwa wazaziAlikuwa amepoteza wazazi wake yeye na rafiki yake walikuwa yatima na hapohapo alikuwa anaomba pesa kwa baba yake
Umenikumbusha pia kuna majani fulani ya porini pia tulikuwa tunatumia kama majani ya chai.... siku moja majani yameisha nikaenda kuyachuma nikanywa chai nyingine nikabakisha kwenye sufuria, dada yangu akaikuta akaniuliza haya majani umechemsha ya nini nikamweleza matumizi yake hakuamini kaenda kumuuliza rafiki yake eti kweli haya ni majani ya chai? Akaambiwa ni majani ndio kwani we hujawahi kuyatumia? Alikuwa ameshafikiria makubwa sanaAhahahah.Umenikumbusha mbali sana.Akina mama wa zaman walikua na maarifa mengi sana.
Hapo majani ya chai yameisha basi inakaangwa sukari kidogo.
Ahahahahahah
Ukisema baba sio lazima uambatanishe na neno mzazi watu tunajua ni mzazi wakoMimi pia nilikuwa na bamkubwa kaka rafiki yangu so kusema baba yangu nilimaanisha bamkubwa, labda ningesema baba yangu mzazi hapo ningekuwa wrong.
noma sana, ila walau hapo ametoa maelezo kuwa walikuwa kwa baba mkubwa wa yule rafiki yakePia alikua akuchukua ushauri kwa wazazi
Haha..!Kasoro mmoja tu kwenye hiyo list.
Ahahahha.Alikuwa ameshafikiria makubwa sana
🤗🤗🤗Haha..!
and who's that??
eeh ndio alichokuwa anafikiriaAhahahha.
Akahis abortion moja hiyo ahahah
Ahahahahah.Pole sana.Alikua anakujali sanaeeh ndio alichokuwa anafikiria
Huo ushahidi ukiruhusiwa na Nani ndio utauweka hapa?Umenikumbusha kitu, Kuna jamaa alikuwa anaumwa aliomba msaada wa matibu kwa ndugu na jamaa hakuweza kujitokeza na kumsaidia, siku amefariki wale wale walioshinda kumsaidia wakajitokeza kutoa Rambirambi ndefu ambazo zingetolewa enzi za uhai wake angeweza kutibiwa na kupona.
Mimi ni mvivu wa kuandika lakini hii ni true story sio bongo muvi. Nikiruhusiwa nitaweka na ushahidi wote hapa hapa.
sasa kunijali kunakujaje hapo? Kama ni abortion si ingekuwa umeshafanyika? Na yeye kweli hivi naweza kufanya huo utopolo halafu niache na ushahidiAhahahahah.Pole sana.Alikua anakujali sana
Kwani Kuna tatizo mfano mmoja 2020 mwengine 2021 wote azaniaMlipishana darasa, Ila Mungu aliwasaidia baada ya kumaliza std 7 mkaenda shule mojaa...
Wajua yy ndio alikusoma na kujua kuwa ww unaweza fanya na ukaacha ushahid.sasa kunijali kunakujaje hapo? Kama ni abortion si ingekuwa umeshafanyika? Na yeye kweli hivi naweza kufanya huo utopolo halafu niache na ushahidi
Mimi. Castr.Haha..!
and who's that??