Malipo ya wema wangu

Mkuu malizia story achana na wanaosema hii Ni chai ufafanuzi ulio utoa kwa wanaodai ni chai umejitosheleza na strory hii mm naamin ni ya kweli
 
Ahahahah.Umenikumbusha mbali sana.Akina mama wa zaman walikua na maarifa mengi sana.
Hapo majani ya chai yameisha basi inakaangwa sukari kidogo.
Ahahahahahah
Mpka sasa hivi ndugu inafanyika.mwezi uliopita nilienda mtembelea ndgu yangu mashambani huko nikakaanga sukari 😅😅😅fresh yan🤣🤣
 
Umenikumbusha pia kuna majani fulani ya porini pia tulikuwa tunatumia kama majani ya chai.... siku moja majani yameisha nikaenda kuyachuma nikanywa chai nyingine nikabakisha kwenye sufuria, dada yangu akaikuta akaniuliza haya majani umechemsha ya nini nikamweleza matumizi yake hakuamini kaenda kumuuliza rafiki yake eti kweli haya ni majani ya chai? Akaambiwa ni majani ndio kwani we hujawahi kuyatumia? Alikuwa ameshafikiria makubwa sana

Alihisi umechoropoa

Ha ha ha ha
 
Mpka sasa hivi ndugu inafanyika.mwezi uliopita nilienda mtembelea ndgu yangu mashambani huko nikakaanga sukari 😅😅😅fresh yan🤣🤣
Ahahaha..Na bila shaka ikakuboa chai ndio maana umeitaja hapa kwa kuipondea.Ahahahah.Ofcz huwa ina ka taste flan boring pamoja na harufu yake
 
Ahahaha..Na bila shaka ikakuboa chai ndio maana umeitaja hapa kwa kuipondea.Ahahahah.Ofcz huwa ina ka taste flan boring pamoja na harufu yake
Siwezi kuiponda,sijawahi kuiponda na sitoiponda aise...nimeitumia kichizi sitimbi huko miaka hiiiyooo.
😅😅😅😅vijana wa mjini hawaelewi hii volcano🤪🤪
 
Wajua yy ndio alikusoma na kujua kuwa ww unaweza fanya na ukaacha ushahid.
Si unakumbuka ule utopolo ulofanyaga enz ile alipofuata mshahara wilayan.Huku nyuma we ukala kumbikumbi nusu ufe sasa akahis huyu atakua kashayakoroga kama kawaida yake.
Ahahahahah
mkuu una kumbukumbu balaa
 
Back
Top Bottom