Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,585
Ashukuriwe MUNGU aliyenifanya niwe hivyo ndugu maana kwa uwezo Wangu tu nisingeweza. Hao mabaharia wanaweza kuwa na upendo zaidi ya Mimi maana moyo wa mtu no Siri huwezi jua MUNGU amewajalia vipi.Pole kwa yaliyokukuta na hongera sana kwa moyo na upendo huo wa kipekee, ambao naamini hawa mabaharia wanaonipiga sound hapa kuwa wananipenda hawawezi nitendea hata robo yake.!!![]()
Tuache utani uandishi ni mgumu jamani waandishi tuwaheshimu Sana. Mimi nilimaanisha yeye alikuwa mkondoa B Mimi nilikuwa mkondo A yaani majengo mawili tofautiMlipishana darasa, Ila Mungu aliwasaidia baada ya kumaliza std 7 mkaenda shule mojaa...![]()
Ukimaliza wewe haitakuwa true story Tena utakuwa umetuongopea![]()
Umenikumbusha kitu, Kuna jamaa alikuwa anaumwa aliomba msaada wa matibu kwa ndugu na jamaa hakuweza kujitokeza na kumsaidia, siku amefariki wale wale walioshinda kumsaidia wakajitokeza kutoa Rambirambi ndefu ambazo zingetolewa enzi za uhai wake angeweza kutibiwa na kupona.tunasubiri Part II
Na hii ni kawaida ya bongo muvie
Dhambi hiyo sio vizuri ndg![]()
Nimecheka sanaa.Duh haya bwana.Mlipishana darasa, Ila Mungu aliwasaidia baada ya kumaliza std 7 mkaenda shule mojaa...![]()
Kasoro mmoja tu kwenye hiyo list.Pole kwa yaliyokukuta na hongera sana kwa moyo na upendo huo wa kipekee, ambao naamini hawa mabaharia wanaonipiga sound hapa kuwa wananipenda hawawezi nitendea hata robo yake.!! 😅
Ahahahah.Umenikumbusha mbali sana.Akina mama wa zaman walikua na maarifa mengi sana.Tena ni ile chai ya kukaanga sukari.nahisi hovyo😅😅
Ahahahah.Umenikumbusha mbali sana.Akina mama wa zaman walikua na maarifa mengi sana.Tena ni ile chai ya kukaanga sukari.nahisi hovyo😅😅