Malipo ya wema wangu

fakin du maki......shubaaamiti baki na stori yako au kama unaona dili kasimulie ndugu zako huko......
 
Niko room ninalia kwa pilipili kweny çhai ya leo , ila umeme ukirudi unitag ndugu mpishi
 
Sijaelewa ulikuws yatima na Bado ulikuwa wapewa pesa na baba yako🤔..ni Mimi sijaelewa au ni hii hangover ya usingizi..!!
Ata mm sjaelewa apo...wote walikuwa marafiki mayatima afu mmoja akapewa pesa na baba ake..
 
Wote mlikuwa ni Yatima, ila huku mbele unakuja kutuambia ulimuomba Baba yako Pesa isaidie Familia ya rafiki yako.

Yaani Kwakweliii(in Kingwenduz Voice)
 
Muda wote aliokuwa anautumia kuwajibu wana humu angeishaandika parefu tu.
Waswahili bana
 
Back
Top Bottom