Malipo ya Wabunge ni kufuru

Malipo ya Wabunge ni kufuru

Kwa mwaka mmoja mbunge hulipwa takribani million 170, pesa hizo hulipwa kutokana na mshahara ambao ni zaidi ya milioni 11 ambayo ukizidisha mara miezi 12 unapata milioni 132.

Vilevile mbunge hulipwa posho za vikao (sitting allowance) Tsh 220,000/= na posho ya kujikimu (perdiem) Tsh 80,000/=, posho hizi hulipwa kwa kipindi ambacho mbunge anakuwa bungeni ambazo ni zaidi ya siku 130 ikiwemo zile za kamati, kwa vikao tu mbunge hukunja takribani million 39 ikiwa ni nje ya mshahara, lakini pia mbunge ni diwani pia hulipwa posho mbali mbali anapokuwa kwenye vikao vya halmashauri.

Na baada ya miaka mitano hulipwa kiinua mgongo cha zaidi ya milioni 250.
MASAHIHISHO NDUGU POSHO YA KUJIKIMU NI 150,000 KWA SIKU
 
Hiyo 250M ni kama Hana mkopo bank
Ningekuwa na mamlaka ningewajengea apartments pale dom wote wakae humo. Ningekata sitting allowance niwabakishie perdiem tu. Kisha mshahara ningeukata uwe ml 4 tu.
Nothing more, nothing less
 
Kwa mwaka mmoja mbunge hulipwa takribani million 170, pesa hizo hulipwa kutokana na mshahara ambao ni zaidi ya milioni 11 ambayo ukizidisha mara miezi 12 unapata milioni 132.

Vilevile mbunge hulipwa posho za vikao (sitting allowance) Tsh 220,000/= na posho ya kujikimu (perdiem) Tsh 80,000/=, posho hizi hulipwa kwa kipindi ambacho mbunge anakuwa bungeni ambazo ni zaidi ya siku 130 ikiwemo zile za kamati, kwa vikao tu mbunge hukunja takribani million 39 ikiwa ni nje ya mshahara, lakini pia mbunge ni diwani pia hulipwa posho mbali mbali anapokuwa kwenye vikao vya halmashauri.

Na baada ya miaka mitano hulipwa kiinua mgongo cha zaidi ya milioni 250.

Ndio maana siasa inavutia wengi.kuna hela za bure bure.
 
Kwa hiyo 170m+39m+250m=459milioni ndani miaka 5.

So 459x Wabunge 390?

Hatari!
 
Kuna maana gani kumpa mtu hela zote hizo huku mahospitali hata siku moja haziwi na dawa na madaktari na wauguzi ndio kama vibarua wa zege.

Shule ziko kama magofu ya dola la kale la Songay hata vyoo tu hakuna. Nchi imekuwa ya hovyo ni hakuna mfano.
 
Ningekuwa na mamlaka ningewajengea apartments pale dom wote wakae humo. Ningekata sitting allowance niwabakishie perdiem tu. Kisha mshahara ningeukata uwe ml 4 tu.
Nothing more, nothing less
Unasema hivyo kwa vile ww haupo kwenye uwo uwezo
 
Ningekuwa na mamlaka ningewajengea apartments pale dom wote wakae humo. Ningekata sitting allowance niwabakishie perdiem tu. Kisha mshahara ningeukata uwe ml 4 tu.
Nothing more, nothing less
Ukifanya hivyo nao wabunge wakiingia bungeni wataibana serikali kwa hoja ngumu ngumu,so serikali inawapa pesa mingi wale maisha huko nje,wapige mtungi/bata kwa sana tu na kusahau kilichowapeleka huko.
 
Kwa mwaka mmoja mbunge hulipwa takribani million 170, pesa hizo hulipwa kutokana na mshahara ambao ni zaidi ya milioni 11 ambayo ukizidisha mara miezi 12 unapata milioni 132.

Vilevile mbunge hulipwa posho za vikao (sitting allowance) Tsh 220,000/= na posho ya kujikimu (perdiem) Tsh 80,000/=, posho hizi hulipwa kwa kipindi ambacho mbunge anakuwa bungeni ambazo ni zaidi ya siku 130 ikiwemo zile za kamati, kwa vikao tu mbunge hukunja takribani million 39 ikiwa ni nje ya mshahara, lakini pia mbunge ni diwani pia hulipwa posho mbali mbali anapokuwa kwenye vikao vya halmashauri.

Na baada ya miaka mitano hulipwa kiinua mgongo cha zaidi ya milioni 250.
Mkuu naomba uache uongo hapa siyo mahala sahihi huo siyo mshahara wa mbunge
 
Hivi kuna utafiti wa gharama anazoingia "mbunge" wakati wa kampeni au "kuhudumia" chama? Tafadhali sana kama kuna anayefahamu nitashukuru kupata.
Project ya kutafuta. kupata na kuwa mbunge kwa miaka 5 300 M
 
Kila msiba wa jimboni kwako lazima utoe ela
Kuna mmoja huko kwetu aliweka kabisa mabenchi na paa juu sehemu nzuri ya kupumzikia, watu walikuwa wanajaa hatari alikuwa akiwahudumia, hakuwahi kupata Kura chini ya asilimia tisini. Enzo upinzani haujaenea Sana.
 
Wanaolipwa mamilioni wala hawakatwi kodi ila nyie mnaolipwa vilaki wanatamani wawalipishe kodi kadri mnavyopumua!
 
Project ya kutafuta. kupata na kuwa mbunge kwa miaka 5 300 M
Ndio gharama anazoingia mbunge kwa process yote?😳

Nilimsoma Hayati Mkapa kwenye kitabu chake akisikitishwa na gharama za uchaguzi wanazoingia wanaosaka madaraka, nikahisi kuna tatizo ila sio kwa gharama hizi!
 
Kwa mwaka mmoja mbunge hulipwa takribani million 170, pesa hizo hulipwa kutokana na mshahara ambao ni zaidi ya milioni 11 ambayo ukizidisha mara miezi 12 unapata milioni 132.

Vilevile mbunge hulipwa posho za vikao (sitting allowance) Tsh 220,000/= na posho ya kujikimu (perdiem) Tsh 80,000/=, posho hizi hulipwa kwa kipindi ambacho mbunge anakuwa bungeni ambazo ni zaidi ya siku 130 ikiwemo zile za kamati, kwa vikao tu mbunge hukunja takribani million 39 ikiwa ni nje ya mshahara, lakini pia mbunge ni diwani pia hulipwa posho mbali mbali anapokuwa kwenye vikao vya halmashauri.

Na baada ya miaka mitano hulipwa kiinua mgongo cha zaidi ya milioni 250.
Hujaweka hela ya mfuko wa jimbo
 
Alaf kuna watu wanalipwa 460000 mwalimu wa degree take home ..af upo porini huko ngw'ang'alanga ..ma-mae Bora urudi town kuchoma mahindi
Ng'wang'alanga iko sehem gan mkuu? Mbona kama vile naiskiaga
 
Back
Top Bottom