Malipo ya Wabunge ni kufuru

Malipo ya Wabunge ni kufuru

Kwa mwaka mmoja mbunge hulipwa takribani million 170, pesa hizo hulipwa kutokana na mshahara ambao ni zaidi ya milioni 11 ambayo ukizidisha mara miezi 12 unapata milioni 132.

Vilevile mbunge hulipwa posho za vikao (sitting allowance) Tsh 220,000/= na posho ya kujikimu (perdiem) Tsh 80,000/=, posho hizi hulipwa kwa kipindi ambacho mbunge anakuwa bungeni ambazo ni zaidi ya siku 130 ikiwemo zile za kamati, kwa vikao tu mbunge hukunja takribani million 39 ikiwa ni nje ya mshahara, lakini pia mbunge ni diwani pia hulipwa posho mbali mbali anapokuwa kwenye vikao vya halmashauri.

Na baada ya miaka mitano hulipwa kiinua mgongo cha zaidi ya milioni 250.
Na wbunge wanaenda kujiongezea malipo mengine
 
Malipo hayana uhusiano wowote na mikopo. Mikopo ni kitu binafsi na ni mkataba binafsi.
Ah we jamaa nae,
Hiyo Milion 250 anapata kama ilivyo kama ajakopa bank

Last bunge Kuna watu wamepata Mpaka Milion 40 kutokana na kukopa sana

Mfano Hai ni mbunge wa nyanda za juu
 
Hebu nenda straight kwenye maana yako. Ukimaanisha kuwa???
Yaani hukuweka mchanganuo wa mambo kadhaa:-
(i). Mbunge ana dereva,
(ii). Mbunge ana Katibu,
(iii). Mbunge ana Mlinzi,
(iv). Viongozi wa kisiasa wakiwa na vikao vya ndani na nje mbunge,
(v). Gari la chama likiharibika mbunge,
(vi). Wakati wa uchaguzi mkuu mbunge hutumia si pungufu 50M kwa kampeni,
(vii). Mbunge simu za msaada kwa siku anazopokea hazipungui 15 i.e ada, msiba, afya, nk

Kwa hiyo kweli mbunge ana mshahara mkubwa lkn shida anazokutana nazo za kimazoea ni nyingi sana - ni kazi inayolipa lkn mtiti wa kuupata ndiyo taaaabu
 
Malipo ya kawaida tu hayo, wabongo msifurahie uduni.
 
Kwa mwaka mmoja mbunge hulipwa takribani million 170, pesa hizo hulipwa kutokana na mshahara ambao ni zaidi ya milioni 11 ambayo ukizidisha mara miezi 12 unapata milioni 132.

Vilevile mbunge hulipwa posho za vikao (sitting allowance) Tsh 220,000/= na posho ya kujikimu (perdiem) Tsh 80,000/=, posho hizi hulipwa kwa kipindi ambacho mbunge anakuwa bungeni ambazo ni zaidi ya siku 130 ikiwemo zile za kamati, kwa vikao tu mbunge hukunja takribani million 39 ikiwa ni nje ya mshahara, lakini pia mbunge ni diwani pia hulipwa posho mbali mbali anapokuwa kwenye vikao vya halmashauri.

Na baada ya miaka mitano hulipwa kiinua mgongo cha zaidi ya milioni 250.
Safi sana lipeni kodi ili Wabunge wasikose Mishahara minono
 
Kuna hela ya maendeleo ya Jimbo, inayopatikana katika mfuko wa jimbo, pale ndio hutoa pesa za kufanya hayo...ilimradi tu madiwani wameshirikishwa wakatia saini.
bado kuna hela ya suti 9,000,000/ ambayo safari imeleta utata
bado kuna mkopo wa Gari 50,000,000. ilikuwa 90,000,000. imekatwa bado imeleta utata
hizi ni tofauti na Mshahara, posho ya Kikao na kiinua mgongo
 
Kipato wanachopata wawakilishi wa wananchi hakiendani na kipato cha wanaowakilishwa. Utafikiri tuna wabunge wa nchi iliyo Ulaya
 
Kwa mwaka mmoja mbunge hulipwa takribani million 170, pesa hizo hulipwa kutokana na mshahara ambao ni zaidi ya milioni 11 ambayo ukizidisha mara miezi 12 unapata milioni 132.

Vilevile mbunge hulipwa posho za vikao (sitting allowance) Tsh 220,000/= na posho ya kujikimu (perdiem) Tsh 80,000/=, posho hizi hulipwa kwa kipindi ambacho mbunge anakuwa bungeni ambazo ni zaidi ya siku 130 ikiwemo zile za kamati, kwa vikao tu mbunge hukunja takribani million 39 ikiwa ni nje ya mshahara, lakini pia mbunge ni diwani pia hulipwa posho mbali mbali anapokuwa kwenye vikao vya halmashauri.

Na baada ya miaka mitano hulipwa kiinua mgongo cha zaidi ya milioni 250.
kwanuni wasilogane kwa pesa hiyo
 
Wabunge wetu malipo yao yanaendana na malipo ya wabunge wa Uingereza. Ajabu uchumi wetu ni mdogo mno kulinganisha na wa Uingereza
 
Back
Top Bottom