Malipo ya kufundisha tuition ni kiasi gani kwa mwezi mtoto akifatwa nyumbani kwao?

Ester505

JF-Expert Member
Jul 14, 2020
794
1,030
Nawasalimu.

Naomba kwa wazoefu wanifahamishe Bei ya kumfundisha mtoto tuition akifatwa nyumbani kwao.wa darasa la tano na darasa la kwanza.

Msàada jamani.
 
Inategemea na familia yenyewe na umbali pia (kwa maana ya gharama ya usafir unazotumia njiani), Famuliaza Wahindi na Waarabu wanatoa 50,000/= mpaka 100,000 kwa siku. Wabongo 15000 mpaka 20,000 kwa siku (pia inategemea na gharama unazotumia njia kwenda na kurudi)
 
Kwa mwezi Kama upo DSM 200K

Hapo ni elimu bora ya kuwafanya wanao kuwa Extra ordinary people.
 
Ila bongo darasa la tano tuition kwel mazoea mabay sik mzaz ukiw hun uwez watot wanapon hawapat hak
 
Umenikumbusha miaka ya 2007 niliona nifundishe vitoto vya geti kali nipate vocha, nilienda siku moja tu sikyrudi, kwa vile navifundisha vyenyewe vinachukua kalamu vikuingize sikioni, mara vikuvizie vikurushie chaki. Malezi ya bundi yale
 
Tumia hawa:


Rafiki yangu watoto wake wanasoma kenya, walimu wa tuition huwatoa hapa

Huwa wanawafata watoto hadi nyumbani
 
Kwa sababu mzazi wake ana mtindio wa ubongo hawezi saidia mtoto Wake.
Majukumu mkuu.
Tunatafuta kipato kwa namna tofauti na umbali tofauti toka nyumbani na maeneo ya kutafutia ridhiki.
Wengine wanasafiri nje ya nchi au mikoani.
Think before you say anything. You might look silly and immature.
 
Inategemea makubaliano yenu, idadi ya masomo n.k.
Kwa masomo matatu au manne wengine wanataka 50,000/- hadi
90,000/-
Reasonable price ni 50,000/- masomo matatu kwa mtu wa kipato kidogo ila wakishua 90 hadi 100K.
 
Naamini mtoto anayetakiwa kusoma hiyo tution ni mtoto wa shule za kata au z serikali.

Ila huku kwingine huwa tunalipia tution fee
 
Umenikumbusha miaka ya 2007 niliona nifundishe vitoto vya geti kali nipate vocha, nilienda siku moja tu sikyrudi, kwa vile navifundisha vyenyewe vinachukua kalamu vikuingize sikioni, mara vikuvizie vikurushie chaki. Malezi ya bundi yale
🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom