Malinzi acha kutudanganya , tena acha.

Malinzi acha kutudanganya , tena acha.

Kosa la Kim ni nini? Kwanini atimuliwe? Malinzi ni Mbabaishaji tu kama hatukufika mbali na Tenga tusitegemee kwenda popote na huyu Ndolanga Mpya

halafu anasema makubaliano yao ya kuvunja mkataba ni siri. amefanya TFF ni jandoni
 
Kwenye ile thread yake nilimuuliza alifuata nini kwa Lowassa na hajajibu mpaka leo.............mbabaishaji tu.......unamuondoa Paulsen na kumpa timu Madadi?

PIC.JPG

Alienda kubadilishana mawazo na Rais mtarajiwa kuhusu kuboresha michezo kwa ujumla.
 
Piga hela MALINZI wakati wanakuchagua si uliwapa helaa?? Walidhani unaziokota?? Hadi tutakoma huu mtindo wa kuchagua viongozi kwa njia ya rushwa ndo matokeo yake
 
Nimeshtuka sana leo asubuhi, baada ya kusikia taarifa katika kituo cha RFA kipindi cha MATUKIO -michezo kuwa Jamal Malinzi Rais wa TFF atatoa pesa zake mfukoni kufidia malipo ya kukatisha mkataba wa Kocha wa timu ya taifa ndugu Poulsen.

Hapa ndo naanza kuona harufu ya ufisadi hapa na kwa sababuJamal Malinzi yuko humu basi ntamuomba aje kutoa ufafanuzi wa yafuatayo.

  • Ukiwa kama Rais wa TFF, Je shirikisho lina mgogoro wa kifedha kiasi kwamba haliwezi kabisa kulipa fidia hiyo?
  • Je huoni kwamba unatujemgea wasiwasi kua unajenga mazingira ya kujilipa hapo baadaye, tena zaidi kwa njia zisizo halali?
  • Je hii sio njia ya kuwa intimidate viongozi wengine ili waogope kuhoji baadhi ya matumizi yako ya pesa kwa kuwa tu umeanza na visingizio vya kutumia pesa zako Binafsi.
  • Je huoni kuwa hii ni conflict of interest?? Kwa nini utumie Pesa yako tena bila kuutangazia uma ni kiasi gani wakati shirikisho lina uwezo wa kulipa pia
  • kama kweli una nia hiyo thabiti, kwa nini msiwatangazie wana michezo kiasi halisi unachojitolea wewe mfukoni mwako... na kiasi anachodai Poulsen

Ndugu Jamal Malinzi, kwa watu wanaofanya "critical thinking" hii ni njia mojawapo inayotumiwa ni viongozi kujenga mazingira ya UFISADI hapo baadaye.

Tunakumbuka miaka ta tisini "CCM" iishindwa kuwalipa watumishi wake mikoani kwa takribani miezi sita, mpaka ROSTAM AZIZ alipojitolea pesa zake mfukoni na kuipa CCM ili iwalipe watumishi (nilikua pia CCM wakati huo so najua hili) lakini wote tunajua jinsi gani alijilipa hizo pesa na zaidi. mifano ya namna hii ni mingi sana.

Tupe hoja zako, unajipambanuaje katika hili??la sivyo ni kujenga mazingira ya ufisadi tuuu.

Wewe ni mshambenga tu, kwa taarifa yako Malinzi anaweza kukipa hivyo vijicent 160m.Malinzi ana uwezo kifedha siyo kama unavyofikiria.Nenda nyumbani kwake misenyi pale uone nyumbani kwake utadhani upo ulaya.Wacha majungu na usimba na uyanga.unapopata nafasi ya kuongoza taasisi husitegemee ikufanyie nini, bali wee jiulize utaifanyia nini hiyo taasisi.yeye kajitolea mwache amlipe huyo kocha na kwa taarifa yako analetwa kocha toka Uholanzi ndani ya wiki ijayo.wacha majungu.
 
Last edited by a moderator:
wewe ni mshambenga tu, kwa taarifa yako malinzi anaweza kukipa hivyo vijicent 160m.malinzi ana uwezo kifedha siyo kama unavyofikiria.nenda nyumbani kwake misenyi pale uone nyumbani kwake utadhani upo ulaya.wacha majungu na usimba na uyanga.unapopata nafasi ya kuongoza taasisi husitegemee ikufanyie nini, bali wee jiulize utaifanyia nini hiyo taasisi.yeye kajitolea mwache amlipe huyo kocha na kwa taarifa yako analetwa kocha toka uholanzi ndani ya wiki ijayo.wacha majungu.

rudi shule ndugu...............
 
Songoka nenda kwa gwajima wakakutoe hayotma inz

kama ni siri unatangaza hadharan ya nini wangemalizana sirisiri
 
rudi shule ndugu...............

Wewe ndio uende tena shule kusudi uwache wivu wa kike.amesema ata cover hizo gharamma na washikadau wa soka wewe unakuja na mapovu kibao.
 
rudi shule ndugu...............
Sasa aende shule gani, za kata au St. Marian!?
Tukiacha utani na porojo TFF wameweka vigezo cha kocha anayetakiwa, kimojawapo ni kuwa awe aliwahi kuipeleka timu ya taifa (Kusini mwa jangwa la Sahara) finali za mataifa ya Afrika. Bila shaka hiki ni kigezo muhimu sana na kitawagharimu lakini kama wasemavyo wahenga kuwa 'cheap things are expensive' au "ukilata kula lazima...." - JK

Toka lini LOWASSA akawa mdau wa soka? Monduli hata uwanja wa mpira hakuna acha timu.........Arusha hakuna timu kwenye VPL

Wanaopenda samaki sio wote wavuvi na sio wote wana vyombo vya uvuvi na sio wote huenda feri au mwaloni!!!!!!

Mkuu hebu unganisha dots leo umekuwaje?????
 
Ha ha ha, umeeleza kwa ufasaha sana

Nimechoka kabisa kuona gharama yake imekuwa obvious kiasi hiki.
Ndio maana nakupenda my dada yaani kama sponge na maji unyevu kidogo tu fasta lishafyonza!!!!!!

Unaakili na am proud of you my dada Kongosho
 
Last edited by a moderator:
Mimi naona kabisaaaaaaaa soka letu kupotea malinzi hajaweka wazi tatizo la kim na sababu za yeye kumsimamisha kazi naanza kupata kizunguzungu juu ya tff hii.

Sawa mkataba umevunjwa je kwann hakukuwa na mdahalo wa wazi ili kushirikisha wadau watoe mawazo yao maana mpira c wa jamali na hao wadau wako mpira unawahusu watanzania wote.

Ikiwa tff inaanza kujitenga na kuvunja mkataba wa kocha iwe siri basi tushuhudie mengi ya siri hapo tff,wajibu wao n kuelewa kuwa wapenzi wa mpira wanamawazo pia na mchango wa kuendeleza soka letu wekeni mdahalo wa kitaifa.

Mimi namshaka na uteuzi huu wa timu ya sasa na tunaenda kwenye mechi ya kugombania viwango vya fifa cjui ngoja tuone.

TFF kuweni na muelekeo unaofaa kwa mustakabali wa taifa letu kuna maswali ambayo great thinkers wamemuuliza malinzi humu kakosa majibu nashauri ofisa habari wa tff awe na nafasi ya kufika huku kujibu maswali inawezekana rais wake yupo buzy
 
Nimeshtuka sana leo asubuhi, baada ya kusikia taarifa katika kituo cha RFA kipindi cha MATUKIO -michezo kuwa Jamal Malinzi Rais wa TFF atatoa pesa zake mfukoni kufidia malipo ya kukatisha mkataba wa Kocha wa timu ya taifa ndugu Poulsen.

Hapa ndo naanza kuona harufu ya ufisadi hapa na kwa sababuJamal Malinzi yuko humu basi ntamuomba aje kutoa ufafanuzi wa yafuatayo.

  • Ukiwa kama Rais wa TFF, Je shirikisho lina mgogoro wa kifedha kiasi kwamba haliwezi kabisa kulipa fidia hiyo?
  • Je huoni kwamba unatujemgea wasiwasi kua unajenga mazingira ya kujilipa hapo baadaye, tena zaidi kwa njia zisizo halali?
  • Je hii sio njia ya kuwa intimidate viongozi wengine ili waogope kuhoji baadhi ya matumizi yako ya pesa kwa kuwa tu umeanza na visingizio vya kutumia pesa zako Binafsi.
  • Je huoni kuwa hii ni conflict of interest?? Kwa nini utumie Pesa yako tena bila kuutangazia uma ni kiasi gani wakati shirikisho lina uwezo wa kulipa pia
  • kama kweli una nia hiyo thabiti, kwa nini msiwatangazie wana michezo kiasi halisi unachojitolea wewe mfukoni mwako... na kiasi anachodai Poulsen

Ndugu Jamal Malinzi, kwa watu wanaofanya "critical thinking" hii ni njia mojawapo inayotumiwa ni viongozi kujenga mazingira ya UFISADI hapo baadaye.

Tunakumbuka miaka ta tisini "CCM" iishindwa kuwalipa watumishi wake mikoani kwa takribani miezi sita, mpaka ROSTAM AZIZ alipojitolea pesa zake mfukoni na kuipa CCM ili iwalipe watumishi (nilikua pia CCM wakati huo so najua hili) lakini wote tunajua jinsi gani alijilipa hizo pesa na zaidi. mifano ya namna hii ni mingi sana.

Tupe hoja zako, unajipambanuaje katika hili??la sivyo ni kujenga mazingira ya ufisadi tuuu.

huko ulipo hamia huwa mnataratibu za kuhojiana mapato na matumiz au ndo unaanzia TFF kwa!!!. kumbukumbu zinaonyesha upo hamia kunabinaadam kuvuliwa nyadhifa zake kwa kuhoji ruzuku!!!!!.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom