Malinzi acha kutudanganya , tena acha.

Malinzi acha kutudanganya , tena acha.

Bahati mbaya SAMAKI na SOKA havifanani
Duuunh haya ni hivi ili kupata support ya kisiasa mkuu kaamua kuingia kwenye soka sasa ni lazima awe na mtu hapo ili mishe zikianza iwe rahisi kupata watu huko mikoani na wilayani kupitia soka au hujui makombe ya mbuzi,jezi,mipira,viatu na vitu kama hivyo ni "catchment"??????

Mzee Madiba alitumia hii kuunganisha Taifa! !!!!!!

Sasa kama bado haya!!!!!!!
 
Na MADIBA hafanani na LOWASSA........kama hoja yako ni kweli basi Jamal kafanya kosa kama alilofanya kaka yake Dioniz mwaka 2005 kwa JK na ikamkost kwelikweli!
 
Na MADIBA hafanani na LOWASSA........kama hoja yako ni kweli basi Jamal kafanya kosa kama alilofanya kaka yake Dioniz mwaka 2005 kwa JK na ikamkost kwelikweli!
Unataka Samaki iwe kama Soka!!!!
Unataka Madiba awe kama Lowasa!!!!

Na wewe utakuwa kama nani ili mzunguko ukamilike?????
 
Nakumbuka hakujibu chochote hata issue ya ukabila hakutoa ufafanuzi na style yake ya timua timua itaangamiza kabisa soka letu,kiongozi mzuri ni yule anapochukua madaraka anaendeleza strategic plans za mtangulizi wake sasa yeye anapovuruga kila kitu ina maana anataka kutuaminisha kuwa Tenga and his team they were all wrong in everything? Kitu ambacho hakiwezekani, ona sasa anamtimua Kim kisa wachezaji ambao wame prove failure tangu enzi za maximo. Kiukweli wajumbe wa mkutano mkuu wa TFF wametuingiza mkenge kwa njaa njaa zao

hivi misingi hatakama ni mibovu ifuatwe tu!. ebu tumpe muda. pia ikumbukwe kuna timu ya wataalam wa soka ilitoa mapendekezo si ndo hayo anayofanyia kaz. tubadilike tuache uswahili uswahili.
 
rejea😀AVID MOYES na Man united
 
Nkakugambilaki? Umushule talimu kantu coz naka jangu kange kashomile!

Soon tutajikuta Enzi za FAT soka la bongo kwikwi mwanzo mwisho.
 
Napata tabu nauongozi wamalinzi !! hii fumuafumua tataona matokeo yake niswala muda tu
 
hivi misingi hatakama ni mibovu ifuatwe tu!. ebu tumpe muda. pia ikumbukwe kuna timu ya wataalam wa soka ilitoa mapendekezo si ndo hayo anayofanyia kaz. tubadilike tuache uswahili uswahili.
Misingi mibovu ni ipi kata mzizi wa fitina kwa kuitaja na mbadala wake!!!!
 
Sasa aende shule gani, za kata au St. Marian!?
Tukiacha utani na porojo TFF wameweka vigezo cha kocha anayetakiwa, kimojawapo ni kuwa awe aliwahi kuipeleka timu ya taifa (Kusini mwa jangwa la Sahara) finali za mataifa ya Afrika. Bila shaka hiki ni kigezo muhimu sana na kitawagharimu lakini kama wasemavyo wahenga kuwa 'cheap things are expensive' au "ukilata kula lazima...." - JK

Mkuu kwa mfumo wetu uliopo hapa wa hii industry ya mpira.. Hata akija Scolari au Vicente Del Bosque hapa hawataweza kuipeleka kokote soka la nchi.. Tunahitaji mapinduzi ambayo yanatakiwa yaanzie hapa hapa nyumbani.. Kama kungekuwa na uwezekano hivi vilabu viwili vikubwa vya Simba na Yanga vingefutwa ili tuanze pa kuanzia.. Maana kila baya linaloendelea katika soka lina mikono ya vilabu hivi viwili..
 
Kila cku mi nasema malinzi ni mbabaishaji lkn majitu mabishi,yaani anairudisha TFF ya ndolanga. Mi namshauri akajishughulishe na golf

I agree with you...huyu ni mwanasiasa kama wanasiasa wengine...We will miss TENGA
 
Wewe ni mshambenga tu, kwa taarifa yako Malinzi anaweza kukipa hivyo vijicent 160m.Malinzi ana uwezo kifedha siyo kama unavyofikiria.Nenda nyumbani kwake misenyi pale uone nyumbani kwake utadhani upo ulaya.Wacha majungu na usimba na uyanga.unapopata nafasi ya kuongoza taasisi husitegemee ikufanyie nini, bali wee jiulize utaifanyia nini hiyo taasisi.yeye kajitolea mwache amlipe huyo kocha na kwa taarifa yako analetwa kocha toka Uholanzi ndani ya wiki ijayo.wacha majungu.

Acha kutetea upuuzi TFF ni Taasisi haipaswi kuendeshwa kwa pesa za mtu kama anaipenda sana TFF aendeshe miradi ya kuingizia hela TFF na hizo pesa ziwe zinatoka humo sasa akianza kufadhili kwa pesa zake za mfukoni akianza kuboranga mnatoa wapi jeuri ya kuanza kumhoji Tajiri yenu hatuna interest na utajiri wake binafsi ambao hata hatuna uhakika ameupataje na Tatizo letu la soka ni kubwa kuliko Paulsen kumtimua Paulsen sio suluhisho hata umlete Ferguson kwa mtindo wetu wa uendeshaji wa soka hatuwezi fika popote.
 
hivi misingi hatakama ni mibovu ifuatwe tu!. ebu tumpe muda. pia ikumbukwe kuna timu ya wataalam wa soka ilitoa mapendekezo si ndo hayo anayofanyia kaz. tubadilike tuache uswahili uswahili.

Nakuunga mkono, inatubidi tubadilike tuwache uswahili, ndio huo huo ulio mtoa maximo.Leo tupo wapi kisoka? Tumwache Malinzi afanye kazi.
 
Nakuunga mkono, inatubidi tubadilike tuwache uswahili, ndio huo huo ulio mtoa maximo.Leo tupo wapi kisoka? Tumwache Malinzi afanye kazi.

ni ushauri wa bulee kabisa "NENDA SHULE"
 
Nashukuru Mungu umekubali hili maake up to now your empty set kabisa

Bahati mzuri sana nimelelewa ktk familia yenye maadili mema ambayo inanifanya leo hii kushindwa kujibu maneno yako ya matusi..mtoto umleavyo ndio akuavyo!.
 
Kasema yeye na wadau wapenda soka wanajitolea kumlipa paulsen,jamani watanzania tuache maneno maneno jutifunze kujitolea ni kweli TFF kifedha aipo vizuri na paulsen anadai 160,000,000 toa basi njia mbadala wa kupata pesa ya kumfidia sio kueneza majungu

Hata hivyo, Tenga alisema leo hii kiasi cha Sh. 664,000,000 kimehamishwa kutoka kwenye Akaunti za TBL kwenda kwenye Akaunti za TFF. Fedha hizo zitakuwa tayari kwenye Akaunti ya TFF ifikapo Jumanne wiki ijayo. Malipo haya yalikuwa yafanyike karibu miezi miwili iliyopita lakini yalicheleweshwa ili kutoa nafasi kwa zoezi la ukaguzi wa fedha za udhamini wa TBL kufanyika.
Tenga alisema zoezi limefanyika vyema na kufikia ukingoni, ndiyo maana malipo yamefanyika. Malipo mengine yanayofanana na hayo, ya Sh. 672,000,000 yanatarajiwa kufanyika wiki mbili kutoka sasa

haya 35,000,000 zilikua kwa AC
TBL walitoa 664 000 000 + 672 000 000

Jumla 1, 371,000,000

alizoachiwa na tenga, bado kuna makusanyo wamefanya. SASA hizo za wadau kulipa 120,000,000 zimetoka wapi ka si ufisadi

Mkuu umejenga oja nzito ngonja Mh Jamal Malinzi aje aelezee hili,watanzania wapate ukweli
 
tukumbushe tenga alipomkabidhi malinzi AC ya TFF ilikua na SH ngapi?? au umekurupuka??

Pia atupe mchanganua..yeye katoa sh ngapi na Wadau wametoa sh ngapi??

Haya mambo ya wadau haya ndo utaskia tenda ya TFF kapewa fulani kisa alitoa pesa ya kumfidia POULSEN. Mbona wakati wa TENGA Tff ilipokwama alitangaza na weananchi wote tukaanza kuichangia Timu yetu ya taifa mpaka ikaweza kwenda senegal, cameroon na pia posho za wachezaji zikapatikana. sasa hao wadau ni kina nani au ni yeye na DIONIZ??

Tff ni shirikisho la wananchi si wadau mkuu, hakuna sekata, wala institution inayoitwa WADAU hapa TZ ni UHUNI tu

Wadau ni wapenda soka,tupo watanzania mil 45 na wanaopenda soka ni kama nusu tu, na hao ndio wadau
 
Back
Top Bottom