Malinzi acha kutudanganya , tena acha.

Malinzi acha kutudanganya , tena acha.

Kasema yeye na wadau wapenda soka wanajitgolea kumlipa paulsen,jamani watanzania tuache maneno maneno jutifunze kujitolea ni kweli tff kifedha aipo vizuri na paulsen anadai 160,000,000 toa basi njia mbadala wa kupata pesa ya kumfidia sio kueneza majungu

kwanini hao wadau wasijitolee kuwekza soka hususani soka la vijana? hizo pesa za kukatisha mkataba kwanini zisingetumika kuleta kontena 2 za viatu vya bure vilivyotlewa huko UK? kwanini hizo pesa za kuvunja mkataba sizingetumika kujenga vituo vya michezo vya vijana? ama kwa nini pesa hizo za kumlipa kocha baada ya kuvunja mkataba zisingetumika kuwaendelea vijana wanaopataikana ktk lile kombe la cocacola ili tuweze kupata vijana wenye weledi wa soka tangu wakiwa wadogo?
Loading...............................
 
I am getting disapointed....rais wa shirikisho anaposema ntasema yasiyosemekana!!!!!!!
As good as a secret society!!!!!!!

Bado sana...
 
Kasema yeye na wadau wapenda soka wanajitgolea kumlipa paulsen,jamani watanzania tuache maneno maneno jutifunze kujitolea ni kweli tff kifedha aipo vizuri na paulsen anadai 160,000,000 toa basi njia mbadala wa kupata pesa ya kumfidia sio kueneza majungu

:A S 13:.............warithi wakigundua lazima wakushtaki !
 
kaka yangu Jamali malinzi nakupongeza sana kwa kuweza kujibu maswali ya wadau kwa ufasaha na kadri ulivyo weza. Kwa hakika baadhi ya maswali ya wadau yatakujenga katika mabadiliko ya utendaji wako. Ila tambua maswali mengine yanatoka kwa wapinzani wako ambayo kimsingi utayafahamu tu. Uvumilivu na hekima uliyo nayo ndio msingi. Ushauri wangu kwako gawa majukumu kwa asilimia 75 na wewe ubakiwe na asilimia 25. Ni hilo tu kaka.

Mkuu hayo maswali yanayotoka kwa wapinzani ndio yanayohitajika au ulitaka aulizwe na Team Malinzi.?

Sasa nimeanza kuwaelewa wadau waliohoji kwa nini kajaza wahaya wenzie pale TFF.!
 
Last edited by a moderator:
Likewise,yaani president wa tff ndo maneno yako??

Wengine tutaonekana wajeuri ila ni kwa sababu kiongozi asiyejua nini cha kusema, wapi ,mbele ya nani,lini na kwa nini?????!!!!!

Huyu hawezi kuwa kiongozi makini come shine come rain!!!!!!
 
Mkuu hayo maswali yanayotoka kwa wapinzani ndio yanayohitajika au ulitaka aulizwe na Team Malinzi.?

Sasa nimeanza kuwaelewa wadau waliohoji kwa nini kajaza wahaya wenzie pale TFF.!

Hata hayo yaliyojibiwa kwa ufasaha yako wapi???!!!
 
Ile taasisi iitwayo TFF inaanza kuwa kijiwe....kama ile FAT....
 
MALINZI Hiyo TFF ipo kwaajili ya uma ndio maana umewekwa hapo kwa kura na sio kampuni ya mtu mmoja, kama tff haina fedha za kusitisha mkataba je?za huyo kocha mnae mleta mtatoa wapi? Au ndo utamlipa tena wewe!
 
by lowestein;
Tatizo la watanzania ni kwamba eti hata ukifanya kosa either la ukweli ama urongo basi lazima utengwe, why??? Kwani lowassa na malizni hawawezi kuwa marafiki???? Mbona tuna mawazo finyu sana... kwamba nikiongea na lowassa badi ninampango nae!!! Acheni kuwa na fikra potofu sio kila muongea na muhalifu basi nae ni muhalifu na huyo lowassa mna mhukumu wakati hamjui ni nini kilichopo nyuma ya pazia sisis tuna hukimu kwa kusikia maneno ya waandishi amabao wengi wauongo..


Naona bosi mkuu umeingia na Id nyingi!
 
Jacobus i happen to be still around,la electronic nilikujibu,kama ulitaka yatokee maafa niambie.Tukisharekebisha kasoro utaratibu wa electronic ticketing utarudi,tuwe na subira.Unless Jacobus una alternative idea.
Mkuu, nikuweka msisitizo kwani wajanja wameligeuza soka letu kuwa mradi wao ndo maana baadhi ya viongozi wa vilabu fulani hawataki mechi zao zioneshwe moja kwa moja na TV.
 
Rais wa TFF naposema kuwa "watamlipa Kim pesa zao binafsi ili mkataba uvunjwe"ni kauli ya kuiogopa sana!
Je TFF haikopesheki?
Je Wataendelea kutumia hela zao binafsi hadi lini?

Siku ya kwanza tu ya uongozi wa Malinzi na uteuzi wake wa kwanza niliisha jua kitu kama hii itakuja!Unamfukuza Kim unampa team Madadi aliyepata leseni ya ukocha CAF kabla mm sijazaliwa na hamna kumbukumbu zozote kwenye website ya CAF kama alinolewa hivi karibuni kusomea soka la kisasa!Madadi is out-dated coach
 
Back
Top Bottom