Kayoka
JF-Expert Member
- Jun 21, 2011
- 2,239
- 1,884
Hawa wabunge wengine kama huyu Wenje naona wanajitafutia umaarufu wa kijinga. Swala la umeme wa dharura limeshajadiliwa na mitambo imepigwa picha inafungwa Ubungo na Waziri husika kisha sema mpaka December ndio ukali wa mgao utakwisha! Sasa huyu Wenje anataka blah blah za nini?
Nadhani we ni magamba na unatumia akili za masaburi ya kichina kufikiria jambo. Wenje hataki umaarufu kama umaarufu alishaupata wakati anamtoa udenda Lawrent Masha.