MALIASILI UPDATES: Makinda Aipangua hoja ya dharura ya Wenje kuhusu umeme

Hawa wabunge wengine kama huyu Wenje naona wanajitafutia umaarufu wa kijinga. Swala la umeme wa dharura limeshajadiliwa na mitambo imepigwa picha inafungwa Ubungo na Waziri husika kisha sema mpaka December ndio ukali wa mgao utakwisha! Sasa huyu Wenje anataka blah blah za nini?

Nadhani we ni magamba na unatumia akili za masaburi ya kichina kufikiria jambo. Wenje hataki umaarufu kama umaarufu alishaupata wakati anamtoa udenda Lawrent Masha.
 
Hawa wabunge wengine kama huyu Wenje naona wanajitafutia umaarufu wa kijinga. Swala la umeme wa dharura limeshajadiliwa na mitambo imepigwa picha inafungwa Ubungo na Waziri husika kisha sema mpaka December ndio ukali wa mgao utakwisha! Sasa huyu Wenje anataka blah blah za nini?

Anatafuta umaaruf kwa nani hasa? Kwa mkeo?
 
narudia kusema kama kuna mbunge wa chadema aliupata ubenge akajua kazi imekwisha alikosea au anakosea kazi ndiyo kwanza imeanza Wenje komaa..
 
Jamani kwa hili mnamuonea spika.Hajatupilia mbali hoja ya Wenje bali amemtaka waziri mhusika aje na majibu ya kueleweka baadaye kuhusu tataizo hilo la umeme.Na ndio maana wapinzani wote walimpigia makofi spika baada ya kutoa uamuzi huo.Nadhani mtoa mada hajamuelewa vizuri spika.

Hivi unaelewa maana ya hoja ya dharura.? Kuna mambo hayaitaji kuxubiri bwana. Kwani ishu ya umeme imeanza leo?. Watu wamechoka ndo mana wanataka hoja ya dharura na hili swala liishe. Ss tukixema tusubiri mpaka aje na majibu,atayaleta lini sasa?
 
narudia kusema kama kuna mbunge wa chadema aliupata ubenge akajua kazi imekwisha alikosea au anakosea kazi ndiyo kwanza imeanza Wenje komaa..

Breaking News: Mwanza maeneo sugu naambiwa Umeme umewaka baada ya Mkwara Mzito wa Wenje leo Asubuhi Bungeni...Nimeshapata full Detail nasubiri idhini ya Mkuu INVISSIBLE Tujadili huu uozo
 
Hawa wabunge wengine kama huyu Wenje naona wanajitafutia umaarufu wa kijinga. Swala la umeme wa dharura limeshajadiliwa na mitambo imepigwa picha inafungwa Ubungo na Waziri husika kisha sema mpaka December ndio ukali wa mgao utakwisha! Sasa
huyu Wenje anataka blah blah za nini?

wewe ndo uatafuta umaarufu kupitia JF mgao unajulikana iunaweza kuwa wa masaa au siku moja lkn umeme kuktika kwa siku nne mfululizo bila kurudi hata kwa dk 10 unategemea nini wakati kuna mikoa ina umeme japo kwa mgao tatizo la umeme MZ niserious na linahitaji uhamuzi wa hraka sio majibu ya kisiasa tunayosikia.
 
Breaking News: Mwanza maeneo sugu naambiwa Umeme umewaka baada ya Mkwara Mzito wa Wenje leo Asubuhi Bungeni...Nimeshapata full Detail nasubiri idhini ya Mkuu INVISSIBLE Tujadili huu uozo

Ndio maana CDM wapo Bungeni. Kama wangekuwa Magamba peke yao, Mwanza umeme mngeuona baada ya mwezi.
Chadema ni Chama Dume, daima kimeishika CCM masuburini, hawafurukuti!

Hivi Mtu ukivaa yale Makombati ya Chadema, inakuwaje unakuwa so bright?! Na pia ukivaa yale Magamba ya CCM unakuwa so dull?! Au magamba yana-brainwash?!

Viva Chadema!!
 
Si gwanda linaitwa kombati la kaki nowdays vipi Mkuu
 
Naanza kuamini aliyesema kuwa kuna hujma kwenye majimbo ya CDM ili siku ya campaign waseme mbunge wenu kashindwa kuwaletea huduma hzi!!
 
spika hana huruma na wananchi...hatufai tumng'oe huyu mama
Hahahaaa, wananchi mfanye maandamano ya kumngóa speaker? Too funny!! Yaani msiandamane kumngóa rais mliyempigia kura, mnataka mmngóe speaker ambaye hata hamkumchagua?
 
Muda mfupi uliopita Mbunge wa Nyamagana CDM Mh. Ezekiah Wenje amenukuu kifungu kinachoruhusu kujadiliwa kwa jambo la dharula katika Nchi na kumtaka Spika kuuahirisha Mjadala wa Wizara ya Maliasili na Utalii na Badala yake kuruhusu Mjadala wa Suala la Dharula la Umeme.

Umeme umekuwa kadhia kubwa kwa sasa na shuguli nyingine zinazotegemea Umeme zimekwama jumla kama usukumaji wa Pampu za maji, uzalishaji viwandani, usagishaji wa nafaka na masuala maengine mengi ya kiuchumi.

Katika Hali isiyokuwa ya kawaida Spika anaitaka serikali kuja na Majibu ya Uhakika...Yaaaapi hayo????????????

Umeme sio issue ya dharula tena kwa serikali ya Tanzania.Yaani kujadili swala la mgao wa umeme kama dharula ni sawa na kujadili ugonjwa wa ukimwi kama dharula! kwa serikali hii tuliyonayo tatizo la umeme na maji yatakuwepo milele na milele amina.
 
Mkuu uatakuwa huajelewa vema Hoja ya Dharura kinakusudiwa nini hapo.
 
<span style="font-family: times new roman"><font size="4"><font color="#ff0000"><b><i>Breaking News</i></b>: Mwanza maeneo sugu naambiwa Umeme umewaka baada ya Mkwara Mzito wa Wenje leo Asubuhi Bungeni...Nimeshapata full Detail nasubiri idhini ya Mkuu INVISSIBLE Tujadili huu uozo

Hapa kuna akina zomba rejeo na ritz inabidi na uwa PM kuonesha msisitizo..
 
Hahahaaa, wananchi mfanye maandamano ya kumngóa speaker? Too funny!! Yaani msiandamane kumngóa rais mliyempigia kura, mnataka mmngóe speaker ambaye hata hamkumchagua?

Vigezo na mashariti kuzingatiwa...IMO
 
Dawa ya CCM ni wabunge kama kina SAKAYA viti maalum CUF urambo aliyeeleza uozo na unyama waliofanyiwa Wafugaji wa Urambo mpaka waziri mkuu ameahidi kuundwa Tume ya kuchunguza unyama huo.
 
Hawa wabunge wengine kama huyu Wenje naona wanajitafutia umaarufu wa kijinga. Swala la umeme wa dharura limeshajadiliwa na mitambo imepigwa picha inafungwa Ubungo na Waziri husika kisha sema mpaka December ndio ukali wa mgao utakwisha! Sasa huyu Wenje anataka blah blah za nini?

We nunda unaonekana mgumu kuelewa na mwepesi kusahau, hajasema umeme wa dharula amesema "mjadala wa dharura kuhusu hali ya umeme" umerogwa?
 
Sijui kama wabunge wetu wanajua madhara ya kutokuwa na umeme na maji tena kwa muda mrefu ndani ya miji mikubwa ka hii!! Nawashauri kama wanaweza, wawe wanajumulisha na idadi ya madhara yanayotokana na umeme na maji kutokuwepo, hii itasaidia baadae kurejea kama habibu za rejea ili tuwafunge hawa wahusika.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom