Breaking News: Mwanza maeneo sugu naambiwa Umeme umewaka baada ya Mkwara Mzito wa Wenje leo Asubuhi Bungeni...Nimeshapata full Detail nasubiri idhini ya Mkuu INVISSIBLE Tujadili huu uozo

Kwani hukumsikia Spika wiki iliyopita aliposema kuwa wabunge wanaumezea uwaziri,

kila mbunge wa CCM anajiona ni waziri mtarajiwa ndo' maana haya yote yanafanyika!

Hawa wabunge wengine kama huyu Wenje naona wanajitafutia umaarufu wa kijinga. Swala la umeme wa dharura limeshajadiliwa na mitambo imepigwa picha inafungwa Ubungo na Waziri husika kisha sema mpaka December ndio ukali wa mgao utakwisha! Sasa huyu Wenje anataka blah blah za nini?

Hawa wabunge wengine kama huyu Wenje naona wanajitafutia umaarufu wa kijinga. Swala la umeme wa dharura limeshajadiliwa na mitambo imepigwa picha inafungwa Ubungo na Waziri husika kisha sema mpaka December ndio ukali wa mgao utakwisha! Sasa huyu Wenje anataka blah blah za nini?
yes it is.Hii ni aibu ya hali ya juu, ndo serikali tuliyo nayo hii

Siku tatu jiji kama la Mwanza halina maji, harafu serikali inahubiri kuwa Maji ni uhai???

Is this not a sense os stupidity?
Wenje hatafuti umaarufu hapa. LAZIMA awasemee wapiga kura wake, period.
Jiji kukosa umeme na maji kwa siku tatu mfululizo sio suala la ukali wa mgao. Hili ni janga. Hatua za kushughulikia janga hili ndo zinazotakiwa sasa... Ukali wa mgano is out of point.
Hongera WENJE KOMAA MWANANGU.

Hiyo ni kutokana na ufinyu wa kufikiri wa magamba,yaani watu wako gizani siku ya 3 sijui ya 5 leo,halafu tukae kimya mpaka desemba eti ndo walivyosema,na wasiwasi na unavyoongoza familia yako!

Muda mfupi uliopita Mbunge wa Nyamagana CDM Mh. Ezekiah Wenje amenukuu kifungu kinachoruhusu kujadiliwa kwa jambo la dharula katika Nchi na kumtaka Spika kuuahirisha Mjadala wa Wizara ya Maliasili na Utalii na Badala yake kuruhusu Mjadala wa Suala la Dharula la Umeme.

Umeme umekuwa kadhia kubwa kwa sasa na shuguli nyingine zinazotegemea Umeme zimekwama jumla kama usukumaji wa Pampu za maji, uzalishaji viwandani, usagishaji wa nafaka na masuala maengine mengi ya kiuchumi.

Katika Hali isiyokuwa ya kawaida Spika anaitaka serikali kuja na Majibu ya Uhakika...Yaaaapi hayo????????????

Jana nilipata Bahati ya kusikiliza Radio Kiss FM inayotangaza kutoka Mwz mjadala ulikuwa kuhusu hali ya Umeme na maji huko Mwanza. Jiji limekuwa zizi Ndoo na mabeseni yanabebwa kila pahala huko kwa sasa.

Nimechek na mdau huo Rocky City ananiambia baadaya Kelele za Kiss Maji yametoka saa 4 usiku na mpaka sasa yapo...Sasa Idara ya Maji walikuwa wapi mpaka kelele hizo na News ya jana Star TV usiku hii ni aibu

NGUVU ya UMMA Mbele kwa mbele
wewe Zomba hauko mwanza (mie niko Mwz) leo siku 4 bila umeme ucku n a mchana ndio maana unasema hayo. Wenje (MB) yuko sahihi kwani tunateseka na hao mawaziri walisema wameongeza MW zaidi ya 100 kwenye grid sasa zimepungua zaidi ya 100 ni lazima waeleze. Kwani wamefanya usanii baada ya budget kupitishwa tu wamekata umeme siyo Mgawo.Hawa wabunge wengine kama huyu Wenje naona wanajitafutia umaarufu wa kijinga. Swala la umeme wa dharura limeshajadiliwa na mitambo imepigwa picha inafungwa Ubungo na Waziri husika kisha sema mpaka December ndio ukali wa mgao utakwisha! Sasa huyu Wenje anataka blah blah za nini?

furedwa RFA asubui katowa kituko amesema
Kulikuwa na watu3 mchina mjapani na mtanzania
Mchina akaanza kumwaga sela kwetu kunamtu hakuwa na mikono tukachonga mikono ya bandia akaenda kushindana masumbwi akashinda
Mjapani naye sisi kunamtu hakuwa na migu yote tukachonga migu akaenda kushindana kukimbia akashinda
Zam ya mbongo yeye akaanza na kicheko cha zarau nyie madogo hayo sisi kunamtu hakuwa nakicha tukatafuta nazi akapachikwa anaendelea kuishi anacheo cha wazili
furedwa akasema sitamtaja jina mtamjuwa wenyewe alichofanya akaweka tangazo ra meneja tanesiko mwanza akafatisha wimbo umeme na maji tanzania kelo
hayo ni ya furedwa na rfa siyakwangu mufiyakicheko
Hawa wabunge wengine kama huyu Wenje naona wanajitafutia umaarufu wa kijinga. Swala la umeme wa dharura limeshajadiliwa na mitambo imepigwa picha inafungwa Ubungo na Waziri husika kisha sema mpaka December ndio ukali wa mgao utakwisha! Sasa huyu Wenje anataka blah blah za nini?
wenje tunashukuru kwa kufikisha kilio cha wanajimbo na wana mwanza ..... lakini bado tunahitaji kuelewa sababu ya mateso hayo