Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,029
- 52,507
Dogo wa 2000 huwezi mjua huyu.kama sisi wahenga tusivomjua chief godlove sijui naniNdo nani huko mamtoni?
Acha mbwembwe ungesema huyo mtu anafahamika vp ingetosha 😂Dogo wa 2000 huwezi mjua huyu.kama sisi wahenga tusivomjua chief godlove sijui nani
Kwa hiyo umesahau tulivyokuwa tunagegedana enzi za ujana wetu kisa umapata bahati ya kuishi marekani, siyo?Dogo wa 2000 huwezi mjua huyu.kama sisi wahenga tusivomjua chief godlove sijui nani
MhmmmmDogo wa 2000 huwezi mjua huyu.kama sisi wahenga tusivomjua chief godlove sijui nani
Ni Baba yake mkuuJe ana uhusiano na mzee Kimesera aliyeshirikiana na akina mzee Mtei kuasisi Chadema ?
Duh...!Mali tulikuwa nae primary,yeye akaenda IST,TANZIA-
Kwa masikitiko makubwa LINDA WA ATLANTA USA 🇺🇸 anasikitika kutangaza kifo cha aliyekuwa MUME wake MALI KIMESERA kilichotokea leo alfajiri NYUMBANI KWAO— inshalah MAZISHI yatafanyika siku ya IJUMAA- ratiba na adress itakuja
View attachment 3532244
RIP Mali.TANZIA-
Kwa masikitiko makubwa LINDA WA ATLANTA USA 🇺🇸 anasikitika kutangaza kifo cha aliyekuwa MUME wake MALI KIMESERA kilichotokea leo alfajiri NYUMBANI KWAO— inshalah MAZISHI yatafanyika siku ya IJUMAA- ratiba na adress itakuja
View attachment 3532244
Kwanini unatumia VPN mkuu wakati wewe ni mwanaccm tena verified?Duh...!Mali tulikuwa nae primary,yeye akaenda IST,
Wife wake Linda nikaja kumfanyia promo bussness yake。ya Half London
RIP Mali Kimesera
P
No,mimi situmii VPN,natumia samsung S 23 ultra,ina connect global through satteliteKwanini unatumia VPN mkuu wakati wewe ni mwanaccm tena verified?
watoto wao Mali na Melyi wamesoma shule moja,wazazi wao wakawa chama kimojaRIP Mali.
Pole kwa Linda, Tass na familia nzima.
Wiki hii tuna misiba inafuatana, huku kwa Mtei, huku kwa Kimesera.
Kwa ccm hii mpya hakuna na hajawahi kutokea mwanaccm mwenye akili timamu!!!Kwanini unatumia VPN mkuu wakati wewe ni mwanaccm tena verified?