Nyani Ngabu, Mzee wa Mwanza, mzee wa inueni moyo....
Unataka tuanze malumbano kama BCS au unajaribu kuongeza posts zako humu?!!! OK mimi sijasomea popote kutazama shilingi pande zote, ila ninawasikiliza watu mbali mbali kabla ya kufanya maamuzi. Hata "mafala" pia ninawasoma na kuwasikiliza, na hata "WAJANJA" kama wewe pia ninawasikiliza na kuwajibu hata kama wameandika "VIZURI" sana kama unavyoandika wewe.
FD